sata

  1. Mpinzire

    INAUZWA Jipatie SSD SATA (SATA III) 512 GB kwa Tsh 100,000/= tu

    Kwa wale ambao Computer Laptop au Computer Desktop zao ni nzito mpaka unahisi kero usijali. Mzigo huu hapa SSD SATA III GB 512 kwa Tsh 80,000/= tu unafurahia maisha kwa Computer yako kuwa chap! Napatikana Dar es Salaam, Lindi na Msimbazi Street (Kariakoo) #0622901670
  2. J

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ndugulile afungua mkutano wa 41 wa Sourthern Africa Telecom Association(SATA) wa nchi za SADC

    Waziri wa Mawasiliano Teknolojia na habari Dkt. Faustine Ndugulile amefungua Mkutano wa 41 wa mashirika na makampuni ya mawasiliano katika nchi za Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC) unaojulikana kama Sourthern Africa Telecom Association (SATA) ambapo nchi ya Tanzania kupitia Shirika la...
Back
Top Bottom