sarafu

  1. A

    KERO Sarafu za Sh. 100 na 200 zimepotea mtaani

    Hili suala la sarafu kuadimika limekaaje? Niliona kwenye forum Moja ya Mwananchi wakiuliza kwa Afisa Sarafu B.O.T kuhusu kuadimika kwa sarafu hasa Tsh 100, Tsh 200 lakini alijibu kua hakuna shida hio na sarafu zipo. Sasa swali ni kua nini kinaendelea kwa sababu mtaani hazionekani kweli na Kuna...
  2. Zuella zuu

    Serikali ina mpango gani na sarafu yetu?

    Hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? Kwamba ndio tuanze kutumia mia tano kama sarafu ndogo kuliko? Na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? Wataalam naombeni mnifafanulie tafadhali
  3. I

    Sarafu ya Iran Yaporomoka Dhidi ya Euro

    https://www.instagram.com/p/DTa9jEmklYS/?igsh=MzR4ZzViZDFqOXly
  4. Amba Samedi

    Soko la Sarafu za Rupia

    Habari wanaJF, Nauliza swali kwa niaba. Kuna dogo nnaye hapa anadai ana Rupia zile za zamani. Hivi soko lake lipo hapa nchini? Kama jibu ni ndio, aende wapi? Asanteni.
  5. ngara23

    BoT tupeni majibu sarafu ya Tsh 100 imetoweka mtaani

    Kutoweka Kwa sarafu ya sh 100 kama ilivyo ya sh 50 hii ni hatari kiuchumi Hizi sarafu mnazitoa kwenye mzunguko makusudi ili iweje Kenya Kwa sarafu ya KSH 20 unanunua mkate wa familia vocha n.k ila huku tushasahau BOT tupeni majibu Tsh 50, 100, 200 hazionekano kwenye mzunguko
  6. Gudasta

    Kwa sasa sarafu mtandao ya PI ina thamani ya Dola ngapi?

    Wazee wa PI naomba kuuliza sasa hivi ina thamani Gani kwenye soko la fedha..?
  7. Setfree

    Pigo zito kwa wapinzani wa Biblia: Wanaakiolojia wagundua sarafu za kale zinazothibitisha ukweli wa Biblia!

    Kuna watu wanaodai kwamba Biblia ni hadithi zilizotungwa tu ili kuwahadaa watu weusi!! Hata hivyo mara kwa mara sayansi ya akiolojia imekuwa ikifuta hoja hizo dhaifu kwa ushahidi ulio dhahiri. Hivi majuzi, wanaakiolojia wamegundua sarafu za kale mjini Yerusalemu, zenye alama na picha za kifalme...
  8. Waugwadu

    Wema na uovu ni kama pande mbili za sarafu!

    Ikiwa utatangaza nia yako ya kuuangamiza ouvu, tambua ya kuwa hayatakuwa mapambano ya wazi. Mchezo wa ouvu ni wa vita ya kisaikolojia, si vita wa kimwili. Unasema utauangamiza uovu. Uovu hautopinga azimio lako. Badala yake, utakupatia zana na rasilimali nyingi zinazoonekana kutokuwa na mwisho...
  9. N

    Je, kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja (Karume)kwenye sarafu (200 na 500) za aina tofauti?

    Kuna umuhimu gani wa kutumia sura ya kiongozi mmoja kwenye sarafu za aina tofauti? Kwenye sarafu ya 200 na 500 kote Kuna mtu sura ya Abeid Karume. Je, hakuna viongozi au mashujaa wengine? Je, BOT waliishiwa ubunifu? Je, ni upendeleo au kuabudu mtu mmoja pekee badala ya urithi mpana wa taifa...
  10. mcTobby

    Niliwahi kumeza sarafu ya shilingi 50. Je, itakuwa tu tumboni?

    Hili tukio lilitokea miaka ya nyuma nikiwa chalii mdg enzi za Msoga regime first term. Jioni moja hivi nilitumwa mafuta ya taa dukani. Sasa katika kucheza na ile hela nikaiweka mdomoni huku na gari langu( nadhani nilikuwa naendesha tairi la baiskeli au mfuniko wa ndoo🤣). Mara Kaab 🥶mate...
  11. D

    200 na 100 ni sarafu hadimu saana haswa hapa jijini mwanza

    Mwanza sarafu za 100 na 200 ni kama hazipo tena tunapata tabu kubadilishana pesa na bidhaa hasa hizo sarafu.
  12. nzalendo

    Huyu kasema kweli Sarafu Afrika

    Africa needs a single currency, it will c.rush the dollar - Nigerian journalist Kemi Olunloyo Nigerian journalist and chemist, Dr. Kemi Olunloyo, has stirred fresh debate on African economic integration with a bold call for a single continental currency. In a Facebook post sighted by Ghbase...
  13. Davidmmarista

    Hivi watu Wanaonunua hizi sarafu za zamani huwa wanaenda kuzifanyia nini?

    Hizi pesa nimewahi kusikia zikitafutwa sana Leo nimekaa nikajiuliza je huwa hizi pesa wananaonunua kwa value ya juu huenda kuzifanyia nini?
  14. J

    David Kafulila: Msitishike na kupanda au kushuka kwa shilling hata dola ya Marekani ni sarafu ya 10 lakini Marekani ndio kinara wa uchumi wa dunia

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege. Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
  15. nzahaksm

    Je, ni kweli sarafu za zamani zina thamani kubwa sasa?

    Naomba kuuliza ukweli kuhusu sarafu za Kitanzania na nchi zinginezo kama kweli zina thamani kubwa sasa. Mtaani wengi wanazitafuta kwa matumizi mbalimbali. Upi ukweli?
  16. N

    China yatengeneza betri ndogo za nyuklia zenye ukubwa wa sarafu

    Watengenezaji wa betri wa China Betavolt wamezindua BV100, betri ya nyuklia ya ukubwa wa sarafu inayoendeshwa na isotopu ya nikeli-63 yenye mionzi, yenye uwezo wa kudumu kwa miaka 50 bila chaji au matengenezo. Betri hiyo hutumia teknolojia ya kizazi cha nne ya semicondukta ya almasi ya China...
  17. Rorscharch

    Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? 👇👇👇👇👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  18. Mstahiki Mea

    Orodha ya nchi zenye sarafu dhaifu Afrika 2025 ukilinganisha na dollar

    Top 10 African countries with the weakest currencies in Africa 2025 1)-São Tomé and Príncipe 🇸🇹 22,281.8 Dobra 2)-Sierra Leone 🇸🇱20,969.5 Sierra Leonean Leone 3)-Guinea 🇬🇳 8,626.3 Guinea Franc 4)-Uganda 🇺🇬 3,673.6 Ugandan Shilling 5)-Burundi 🇧🇮 2,954.3 Burundian Franc 6)-Democratic...
  19. Lycaon pictus

    Naona 500 ndiyo sarafu pekee imebaki mtaani

    Sijaona sarafu nyingine. Hata vitu kununua bei zinapangwa kuanzia 500. Labda viwili miatano au vitatu 1000. Ni ishara ya mfumuko wa bei?
  20. I

    Dola ya Marekani inavyonyanyasa sarafu mbalimbali duniani kwa mwaka 2025 na kufanya ndoto ya Brics kufifia kabisa

    Muungano wa BRICS ambao ulianzisha ajenda ya kuondoa dola ya kimarekani sasa uko chini ya rehema ya dola ya Marekani mwaka wa 2025. Dola ya Marekani ilisalia katika kijani kibichi kwa siku tisa mfululizo katika faharasa ya DXY na kukanyaga sarafu nyingine za ndani. Rupia ya India imeshuka hadi...
Back
Top Bottom