Toka 1992 mpaka Sasa Hakuna mlichokifanya tukakiona
Miaka ya sasa eti upinzani wanasimama wanajisifu kuzaja watu, wanajisifu kutua na chopa, wamekaa miaka 10 majimboni walishindwa hata kujenga ofisi zao wenyewe Kama wabunge, na kwenye mikutano virambo vilipitishwa.
Ndugu Watanzania tuwakatae...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli kuwa kwa Sasa Hakuna mpinzani au mtu yeyote kutoka upinzani mwenye uwezo wa kushindani na Rais Samia Jukwaani Na hata katika sanduku la kura, kwa Sasa Rais Samia ndiye kiongozi mwenye ushawishi mkubwa Sana hapa Barani Afrika na ukanda huu wa Afrika...
Nimekuwa nikijiuliza Katika mazingira ya nchi yetu, iliyobarikiwa na Mungu, rasilimali za kila aina, kama vile, gesi, madini ya kila aina, ardhi yenye rutuba, inayoweza kustawisha mazao ya biashara na chakula kwa kipindi chote cha mwaka.
Hivi Katika mazingira hayo, ndiyo watawala wetu wameona...
Dalili ya mvua ni Mawingu, na ukweli usiposemwa adharani utasema sirini. Hali ni ngumu, miyoyo ya watu imekunjamana, wanacheka na wewe ukiondoka wanakung'ong'a. Inshort huna watu nyuma yako na hakutatokea miujiza ukawa na watu nyuma yako Hadi pale utakaruhusu maridhiano ndani ya chama.
Ni...
Mapema leo spika Bunge, Job Ndugai alizielezea kamati za bunge na kusema wataziunda bunge lijalo kwa sababu serikali itakuwa imeshatengenezwa, pia akaongelea vyama ambavyo bado havijaleta wabunge japo wana fursa hizo hasa wabunge wa viti maalum ambapo makundi yaliyo bado ni matatu, mengine...
Takwimu za tume ya Taifa ya uchaguzi zinaonyesha wapiga kura waliopiga kura upinzani ni takribani milioni tatu kati ya milioni kumi na tano waliojitokeza na kati ya milioni 29 walioandikishwa.
Pamoja na watanzania hawa kuwa wachache kwa msingi wa tume ya uchaguzi ila mtaani inaonekana nguvu yao...
Ndugu zangu Great Thinkers hebu tujiulize haya yanayotokea na uhalali wake. Na sasa tufike mahali tuseme sote tena tukiwa na akili timamu kabisa pasipo shaka na pasipo ushabiki wowote kwamba sanduku la kura ndio suluhisho la kupata viongozi ambao wananchi wanawataka kwa ridhaa yao ili waweze...
Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Kilwa Kaskazini
Francis Ndulane (CCM) - Kura 20,501
Vedasto Ngombale (CUF) - Kura 8,513
Kilwa Kusini -...
Kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi kifungu cha 58 kifungu kidogo cha 1, sanduku la kura linatakiwa kutengenezwa kwa namna ambayo inamruhusu mpiga kura kuweza kuweka karatasi ya kura bila kuweza kuitoa
Kifungu kidogo cha pili kinasema kuwa kabla mchakato wa kupiga kura haujaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.