sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukikwepa sana ghalama za ujenzi utaharibu ubora wa nyumba yako

    Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama. Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania IT mpo? AI inachukua kazi zenu kimyakimya, Mjipange !! Karinga kunitengenezea website ndogo kwa elf 10 nimemaliza kila kitu kwenye ChatGPT bure.

    Leo nilikuwa napitia uzi flani humu ndani wa kero ya kutambua mitandao kwa namba za simu. Nikaona nifanye kiproject simple cha kutatua tatizo hili, nikaandika orodha ya namba pamoja na mitandao yake. Nikaenda kwa IT flani yupo tu kitaa atengeneze website ndogo ya kurahisisha kwa dau la elfu 5...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba mnifundishe kiswahili cha Kenya maana nateseka sana huku, natongoza nakataliwa

    Habari gani wana JF. Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing). Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya...
  4. JamiiForums Tanzania KERO CRDB Sim banking haifanyi kazi zaidi ya saa nne

    Kila kitu hoi, customer service hawapokei. CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
  5. JamiiForums Tanzania Eminem alimchana sana Mama yake kwenye hii ngoma ya 'Cleanin Out My Closet' akionesha Dunia chuki ya wazi kwa Bi Mkubwa ambaye alikuwa mzinguaji enzi

    Wakati Dr. Dre anapelekewa Eminem ili amsaini, alimshangaa, hakuwa akiamini kama Mzungu huyo angeweza kuchana kama watu weusi lakini alipomsikiliza, sasa akawa na uhakika alimpata mwamba, mtu aliyekuja kuwa na ukubwa usio wa kawaida. Huyu Eminem hakuwa na mahusiano mazuri na mama yake kama...
  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya huyu mpenzi wangu imenitafakarisha sana

    Wakuu siku za hivi karibuni niliutaarifu umma wa JF kwamba niko penzini na single mama mwenye mtoto mmoja ambaye pia nimemkuta na mimba changa. Penzi bado ni tamu ila jana usiku kuna kauli katamka ikanivuruga. Iko hivi... sisi wote ni wajasiriamali. Mimi nina biashara yangu na yeye ana yake...
  7. JamiiForums Tanzania Maslahi ya nje ya mikataba ya kazi yanalipa sana kuliko mshahara

    Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa. Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba...
  8. JamiiForums Tanzania Simba kuweni makini Yanga niwajanja sana

    Kuelekea mechi ya watani yanga nikama wanataka kuanza kushinda nje ya uwanja , drama wanazofanya kwa vyovyote vile zinadhoofisha maandalizi ya Simba , wanataka kuwin kwa simba kuchukulia mchezo wa watani kama mechi ya kawaida. Simba tubatakiwa kujipanga sana ili kupata walau alama kwenye huo...
  9. JamiiForums Tanzania Nilifungua Website ya Kimataifa Mwezi wa Kwanza nikapokea Maoni mengi sana

    Sasa imefikia hatua hii, Naombeni maoni yenu 🙏 https://fntaz.com/
  10. D

    JamiiForums Tanzania I love ccm Sana ila they are walking blindly. thinking they are too big fail. it's not good

    I will be short kuna theory inasema " NOTHING IS TO BIG TO FAIL" ONCE ukifikilia uko mkubwa uwezi anguka unakuwa umelegea. thinking chochote kinaweza kwenda and others are innovating to take you down permanently. so to stay in power you have to innovate and improve every single day...
  11. JamiiForums Tanzania Darasa la saba ni elimu ndogo sana

    Mm sio muumini wa makaratasi Ila darasa la saba hafai kuwa mbunge Hivi MTU mwenye Elimu ya darasa la Saba anaweza kuchangia nini bungeni ?.
  12. JamiiForums Tanzania Huyu Mwalimu alini motiveti na kuni INSPAYA sana

    Enzi zetu kupata kazi kama umesoma haikuwa '' a big deal''...sasa watu wengi walikuwa na maringo ya kuchagua mikoa ya kufanya kazi....kuna baadhi ya maeneo mtu akipangwa na kazi anaacha kabisa kabisa. Sasa huyu ni Mwalimu wa shule ya msingi akapangiwa kwenda kufundisha mkoani halafu kijijini...
  13. JamiiForums Tanzania Jubilee Insurance hapa mmfeli vibaya sana

    Kwenye pitapita zangu nimekutana na tangazo hili kutoka kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance ikitangazia umma kuhusu Bi Neema Vegula kuwa sio sehemu ya familia ya Jubilee Insurance. Ukilisoma tangazo hili limekaa kimtego sana na kwa upande mwingine sidhani kama linafuata miongozo na sera za...
  14. D

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Uhasibu inaenda kuwa na tatizo kubwa sana kwenye ajira, kuna utitiri wa vyuo vingi sana mikoa mingi

    Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni. Hivi ni baadhi tu ya vyuo TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wazabuni wa Taasisi za Serikali tunapata tabu sana kulipwa madai yetu

    Hivi najiuliza hawa viongozi wa taasisi za umma wanaotoaga order za mahitaji kwa wazabuni, wanadhani wazabuni wana visima vya pesa. Hawajali kabisa kulipa kwa wakati!! Nakumbuka Magufuli aliwahi kuwaambia hizi taasisi za umma kama huna hela usiagize bidhaa kwa mzabuni, ila sasahivi Jamaa kama...
  17. JamiiForums Tanzania Hili neno tumeokoa milion 300/400/600 wahusika mbona amtuambii wanafika lini mahakamani

    Hakuna taarifa naumia nikisikia kwenye tv ... Tumeokoa mil300-500 Hawa waliohusika mnewafanya nn lini wanaenda mahakaman jamani Hizi pesa xinaumiza mjue hapo n zahanati kadhaa vijijini Tuwaombe mkichunguxa mkaokoa haya mtuonyeshe na hao wahuni wakienda mahakaman na kufungwa Else mambo ya...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Luhaga Mpina: Rais hana kinga ya kutokosolewa. Watu wanatekwa ninyi mnapongezana, wanaoikosoa serikali wasizuiliwe

    CCM Kuna Watu wachache Wazalendo kwelikweli, Juzi alisiamam Dr Gwajima , Leo kasimama Mwanasiasa machachari , Luaga Mpina ============== Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameibuka na kukemea vikali vitendo vya utekaji vinavyoendelea kuripotiwa nchini Tanzania, akitaka uwajibikaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Waafrika tungekua na akili tungekua upande wa urusi wazungu wametuua na kutunyonya sana

    Wakuna race iliyoua waafrica wengi toka dunia iumbwe zaidi ya wazungu, wametufanyia Kila hila kila nyanyaso na Kila ubaya lkn ukikaa vijiwe vya kahawa unakuta ngozi nyani/Tako zinakaa zinaionea huruma Ukraine eti urusi anaua watu!!! Lkn hapohapo anashangilia Israel anavoua watu Gaza. Sasa mm...
  20. JamiiForums Tanzania Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

    GT. Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule Yote haya ni kumkamata Lissu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…