sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Pole sana Mrisho Gambo, nadhani umeona mwenyewe unachopanda ndicho utakachovuna. Karibu mtaani

    Gambo umejionea mwenyewe . Lema yupo na Access ya Canada Familia yake inaishi na watoto wanasoma ulaya . Ulimfanyia Figisu Akakosa ubunge Ukaharibu reputation yake But now it is ur time to reap ur karmic debt . Pole Sana , What you sow you shall reap. Hii ndo universe utamfanyia MTU ubaya...
  2. JamiiForums Tanzania Nimelala na mke wa mtu, roho inaniuma sana

    Habari zenu wakuu, niko kitandani hapa nikiwa na masikitiko makubwa sana kwa kulala na mke wa mwana JamiiForum mwenzangu. Huyu mwanamke nilikutana naye facebook, chanzo hasa mpaka cha kukutana facebook ilikuwa hivi, Baada ya kuona kuwa na mpenzi hapa mjini ni gharama sana, niliingia facebook...
  3. JamiiForums Tanzania EBM Scholar (Makulilo) anazungumza Kiingereza kizuri sana

    Mwamba kashachukua uraia. Kiingereza kimenyooka kuzidi wazawa. Asante Kigoma.
  4. JamiiForums Tanzania ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 (PICHANI NI 3BEDROOMS SIMPLE HOUSE ON 25X13M PLOT)

    ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏 Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati Wanajamii Forums kwa sapoti kubwa mliyonipa mwezi huu. Kwa neema ya Mungu na msaada wenu, nimeweza kufanya kazi na wateja wengi waliotoka moja kwa moja kupitia hii forum. 💼🏗️ Naahidi kuendelea kutoa huduma...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kuelekea Msumi ni mbovu sana kupelekea foleni kila kukicha

    Ni kero ya muda mrefu na inaendelea kutuumiza wakazi wa makabe kuelekea Msumi. Porojo za siasa zimekuwa nyingi huku wananchi wanateseka huku wahusika wakikaa kimya . Muda huu kuna foleni kubwa sana na njia mbovu . Mkuu wa wilaya ya Ubungo ahadi zako hazitimizi huku wananchi wanateseka
  6. JamiiForums Tanzania Kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana asubuhi halafu unajamba inatokana na nini?

    Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,? Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa pyeeee😂😂😂😂 Unapata fezeha atari 🤩 yaaani pyeeee Tunaomba Ushauri jinsi ya kuzuia
  7. JamiiForums Tanzania Usiuze kwanza Subiri Mji Ukue hapo pakishachangamka patakulipa sana

    Wakuu, katika kitu kuna Mzee wangu mmoja kila tukikaa anajutia ni kuuza eneo maeneo fulani ya Dar ambapo kipindi hicho palikua ni km Chaka la Simba tu. Enzi hizo kitambo sana akapaona sio kitu akauza akahama anakwambia leo hii akirudi kupaangalia pale alipouza anajuta ni mji pameshushwa ghorofa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwanzo nilikua nawashangaa sana Kataa ndoa, sasa hivi nawakubali kinoma

    NRNE. kama ujumbe unavyosoma hapo juu.
  9. JamiiForums Tanzania Madhara 5 Ya Kutosamehe Mchumba/Rafiki Uliyempenda Sana Akakuacha

    Nanyi, kila msimamapo na kusali, sameheni, mkiwa na neno juu ya mtu; ili na Baba yenu aliye mbinguni awasamehe na ninyi makosa yenu. [ Lakini kama ninyi hamsamehe, wala Baba yenu aliye mbinguni hatawasamehe ninyi makosa yenu.] Mk 11:25-26 SUV Kama kuna jambo ambalo wengi wetu huwa hatulioni...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana kusikia kwa Mchungaji kuwa kumbe makahaba na watoza ushuru wataurithi Ufalme wa Mungu

    Ni kwenye mahubiri ya wiki iloisha nimefarijika sana
  11. T

    JamiiForums Tanzania Nimejitahidi sana nitafute kitu cha kusifia kwenye huu utawala sijakiona kama kuna ameona nisaidie labda tafsiri yangu Ina shida

    Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe akili yake ili asifiwe kwa maslahi binafsi. Niwaambie ukweli sioni chochote cha kusifia kwa sababu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Moles mlio wekeana mwisho utakuwa mbaya sana

    Moles kila mahali mnafitiana mnasemana vibaya mkifikiri ni sifa uhuru wa mawazo umbea na uzandiki kwa wengine. Haya sasa mmoja katangaza nia... mwingine kasifia nia ya mwenzake ila mwisho kajitoa ina manisha nini kwa wasomi wa alama za siri.... Haya mwingine ana endelea ila wengine wana drop on...
  13. JamiiForums Tanzania CCM mbona wanahangaika sana! Propaganda za kipuuzi kama, haziwezi kuimaliza nguvu CHADEMA ya Lissu labda angekuwa Mbowe

    Lissu anakubalika kama shujaa na mkombozi wa kweli acheni siasa za kiduanzi 👇
  14. JamiiForums Tanzania Combination iliyopo kwenye hii picha ni hatari sana

    Hii nchi kama unataka kuchukia watu bila sababu unaweza kufa kabla ya wakati. Hii nchi kama una akili timamu kabisa jidai huna utaishi kwa amani kabisa. Jipendekeze kwa sana na kuwalamba miguu watawala,utakula mema ya nchi
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hili ni bora Wanawake wenyewe mjadiliane kisha mtupe majibu ya Kueleweka sisi Wanaume ni kwanini kwa sasa huwa mnatufanyia sana Faraghani?

    Na kibaya zaidi sasa 75% ya Wanawake wanaopenda hii Dhambi huwezi amini ni Wasomi wazuri tu na Walokole hasa wale ambao Wanaabudu kwa Matapeli Wawili maarufu wa Kawe na Kimara Temboni. Sasa kazi yangu ni kusoma tu Comments zenu. Kudadadeki....!!!!!!!
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro kuna pisi sana

    Nimekuja mkoa wa Kilimanjaro kusherekea Sikukuu yangu ya Kuzaliwa. Huu mkoa una warembo sana, nimekaa Moshi mjini vijijini na Arusha balaa. Jisafirishe mwenyewe urudi na mtu.
  17. V

    JamiiForums Tanzania Je, Kuongezeka kwa Watu wa Imani Tofauti Kwenye Mitandao ya Kijamii wakifundisha Iman ni Dalili ya Nchi Kubarikiwa sana?

    Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia ongezeko kubwa la watu wanaodai kuwa ni watumishi wa Mungu au waumini wa dini fulani wakijitokeza kwenye mitandao ya kijamii Hasa tiktok, instragram na X, Kwakutoa mafundisho, maombi, na ushauri wa kiroho kwa watu. Je Kwa mtazamo huo wa juu juu, hali...
  18. JamiiForums Tanzania Ndio maana nikiona Familia zinaendeshwa bila Baba hua naumia sana

    Wakuu, leo ngoja nitembee kivingine leo mimi nitaongelea kidogo japo kwa uchache kuhusu Baba km nguzo imara na msingi wa Familia Imara. Ni kwamba Familia yoyote chunguza km unaweza kuchunguza Familia inayoongozwa na Baba inakua haiteteleki wala kupata misukosuko maana Baba likitokea lolote la...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Madonda ya tumbo yananitesa tumbo linauma sana

    Habar wakuu nimekua nikisumbuliwa na vidonda vya tumbo mda Sasa tangu 2019 nilipima mpaka endoscopy nkaonekana na vitatu vidonda na acid,,nimetumia dawa za hospital kila aina Bado msaada wenu wa tiba kwa waliopona kupata changamoto ya Madonda ya tumbo sugu
  20. JamiiForums Tanzania Hizi tuhuma ni nzito sana, au ndo funika kombe mwanaharamu apite?

    Wasalaam. Kwa mujibu wa kumbukumbu kutoka maktaba inasemekana mzee kikwete alihusika kuuza migodi yote ya madini kwa mikataba mibovu ambayo inalitafuna taifa mpaka leo. Sikiliza mwenyewe kutoka bungeni kisha angalia leo hii mh alivyokaribu na madam, je tutapona? au ndo tunaenda kupigwa bei sisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…