sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hawa wajinga wanaukosea sana uislamu, wanataka tuonekane wote ni wajinga

    Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu? Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wa CCM, sasa wanaongeza na kueneza chuki za kidini? Uislamu ni dini ya HAKI. Uislamu ni dini ya...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania tujenge utamaduni wa kujadiliana kwa hoja zenye staha hata pale tunapotofautiana kimtazamo

    . Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa. Matusi, kejeli na dhihaka haziwezi kuleta suluhu ya changamoto zetu kama Taifa. Badala yake, huchochea hasira, kuharibu...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

    Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana Walianza na figisu za kawaida Wakaja na siasa majitaka Wakaanza kurubuni wapinzani Wakaanza kubambikia kesi Wakawa wanateka Wakawa wanateka na kupoteza watu Wakawa wanaua...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu mama alindwe sana. Ukweli wake utatukomboa

    Siongezi neno. Angalia na sikiliza mwenyewe wanachoficha CCM na Polisi, BAKWATA na Chawa
  5. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa M7 kwa wanaokunywa sana pombe

  6. JamiiForums Tanzania Hatama ya Uongozi wa Tanzania na Mwalimu JK Nyerere? Tusjisahihishe hivi Vitabu Vometabili Mengi Sana

    Pitie hivi Vitabu
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini na siasa

    Viongozi wa Dini mbalimbali sasaivi wamekuwa ni sehemu ya kutetea mambo ovu yanayofanywa na wanasiasa. Nasikitika kusema ya kwamba, huko mbeleni kuna watu hawatokuwa wakienda nyumba za ibada tena hususani zinazoongozwa na viongozi wachumia tumbo. NOTE: Kadri dini zinavyojiingiza kwenye mambo...
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini tunamlaumu sana Samia wakati aliyempenyeza na anayemuendesha tunamuacha?

    Wote tunajua. Chaguo la mgombea mwenza lilikuwa Dk Hussein Miwnyi. Lakini baada yachaguao lake Bernard Membe kupigwa chini, akalazimisha mtu wake yaani Samia apitishwe kuwa mgombea mwenza ili kumbana hata kumshughulikia Magufuli kama walivyofanikiwa kumuondoa. Hayo tuyaache. Kikwete kashinda...
  9. JamiiForums Tanzania Gen-Z msiache impact yenu ni kubwa sana

    POLISI "Epuka kujiunga au kushiriki kwenye makundi ya mtandaoni yanayochochea vurugu. Ni kosa kwa mujibu wa sheria". KAMA KATIBA YA NCHI IMEVUNJWA IJE IWE HIO SHERIA?? WAMEFANYA MAUAJI YA KUTISHA KWANI SHERIA HAWAKUIONA ?? WAVUNJA SHERIA WANAONGOZA WANANCHI WAFATE SHERIA NI KICHEKO Hao ni...
  10. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  11. JamiiForums Tanzania CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo tutaelewana tu, Mizizi yake ni mirefu mno) Bila CCM hakuna Tanzania

    Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Informers wa Mange Kimambi huwa wanampa matango pori sana

    Nimepitia uzi wa the so called mwanaharakati uchwara Mange kimambi,nimeona amepotosha umma dhidi ya serikali yetu tukufu. Huyu mwana mama amedanganya umma kuwa wanajeshi wamemtumia screenshots za kutumiwa pesa eti za shukrani kwa kazi nzuri ya kuua watu waliyoifanya, nimeangalia tarehe ya hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Hongereni Sana vyawa kazi mnaifanya vizuri sana

    Mnapambana sana yani huku ground bila kujali mnalipwa buku7 au laaa! Lengo lenu hua ni boss wenu na familia yake wote waingie ikulu na maisha yao yawe ya kifalme, hakika hii imetimia! Kinachotakiwa muongeze kasi familia na ukoo mzima wa boss wenu uwe serikalini pambaneni wazee bila kujali...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna mpasuko mkubwa wa kidini unanukia Tanzania. Chanzo ni wanasiasa!

    Kuna mpasuko wa kidini unaanza kunukia Tanzania na ukifuatilia kwa makini utagundua mgogoro huu unaongezeka kila siku. Cha kusikitisha Chanzo kikubwa ni wanasiasa, wale wale waliofanya makosa miaka ya nyuma hadi tukafika hapa tulipo. Badala ya kujifunza, speed ya makosa imeongezeka maradufu...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa aliona mbali sana juu ya kinachoendelea sasa Tanzania

    Appreciation post to you brother Lwiva Lwiva Anaandika Lwiva 13/11/2024 kwenye thread ya Abdul NONDO ( hapa hapa JF ) Namnukuu Chadema hadi mjambe cheche. Nilipo waambia watu humu kuwa genge la Rostam Azizi ni hatari ni raia feki waliokuwa na agenda ya kukamata serikali na taifa, wengi...
  16. JamiiForums Tanzania Natamani sana kuungana na Vijana wenzangu katika kulipambania Taifa ila.....?

    VIJANA wenzangu Kuna mambo yanaendelea na yametokea na yanavunja moyo Sana Tena Sana katika nchi yetu Kama isemavyo Vijana ni TAIFA la kesho Nataman Sana niwe miongoni watakaoibadilisha kwa kulipigania In any means. Ila nashindwa kwasababu Sina mtu atakaekuja na kusimulia baba alifanya ichi na...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utawala wa Samia umeua watu wengi sana katika historia ya Tanzania

    Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.! Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa. Tukutane #D9
  18. M

    JamiiForums Tanzania Hizi videos zinatolewa kimkakati sana, kuna videos za kutisha zaidi zimeminywa hazitoki mpaka December

    Nilichogundua kuna videos nyingi sana, lakini zinatolewa kwa mkakati maalum. Kila wiki, video itatolewa kulingana na ukubwa wa athari inazoweza kuleta kwa hisia za watazamaji, kufikia December zitaanza kupandishwa videos zisizotazamika mara mbili.
  19. JamiiForums Tanzania Waanovujisha video za mochwari weekend wana akili sana

    GT Mpaka.sasa tumeshuhudia video 3 mwanza, dar na arusha huenda.hawa watu wapo off na watapata.nafasi nzuri.ya kuzifuta bila bugudha hata nafasi ya kubadili simu kabisa. Kingine weekend ni tulivu sana kila mmoja ataweza kuona unyama wa maCCM. Narudia kusema huko CCM.hakuna mwenye akili wote ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuna allergy kubwa sana na UWAJIBIKAJI, hatupo tayari kuonekana tumekosea

    Tuna tatizo kubwa sana pale tunapo kosea kufikiria ni wapi pa ktupia lawama, kusingizia, kubana ukweli, kuwapa kesi wanaoanika ukweli, n.k. Na hata pale kila kitu kinapokuwa wazi tunakimbilia kuomba misamaha ya sinema huku mambo yale yale yakirudiwa. Kitu pekee kinachoweza kutulinda ni sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…