sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuongea sana: Serikali yazidi kujichanganya. Muliro alisema AI, Msigwa asema picha zilizopigwa kwa simu

    Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola. Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu

    Waandishi wa Habari mlikuja kulalamika kwamba wananchi wanawashambuli kuhusu kukaa kimya, baada ya statement hii ya semaji Gerson Msigwa mna lipi la kusema? ==== Kuhusu vyombo vya habari vya Tanzania, Msigwa ameanza kuvipongeza kutokana na kazi nzuri wanayofanya kwa weledi na umakini mkubwa na...
  3. JamiiForums Tanzania CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita

    CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita. #D9 kitawaka sana gen z wanahasira.
  4. JamiiForums Tanzania G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kuwaambia ya kuwa kaeni Makini sana na habari na taarifa zinazotolewa na CNN ya Marekani. Kwa kuwa ni chombo ambacho kimekuwa kikitumika kufanya propaganda na kutoa taarifa zenye kuleta taharuki ,kuchafua watu, taasisi, Nchi,jumuiya na hata vyama vya kisiasa...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Jana Nilikuwa NMB kwakweli mtandao wao ni mzito sana nimeamua kutoa Hela zangu zote niweke akiba zingine

    Watu wanalalamika sana kuhusu uzito wa kutoa huduma Kama mifumo imeshavamiwa watoe taarifa mapema Pia nashauri BOT wasidharau sana maneno ya vijana , waanze kutafuta backup system . TAhadhari ni muhimu
  8. JamiiForums Tanzania Hali ya juu sana ya hamu ya ngono

    Wapendwa, kwanza poleni sana na msiba. Kwa upande wangu, naona kabisa kama niko kwenye majaribu makubwa. Nimejaliwa watoto wangu wawili, na nikahisi wananitosha kabisa. Hapo nikachukua uamuzi wa kuweka kipandikizi mkononi. Baada ya mwaka mmoja kupita, kile kipandikizi kikaniletea maudhi...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naona damu ya Polepole imeanza kuwalilia, na itawatesa sana hamtakaa mpate raha

    Mambo yameanza kuchangamka! Damu ya Polepole imeanza kuwalilia, sasa hivihivi mnajing'ata ndimi mnajikuta mnalitaja jina lake. Wakati ukifika mtatueleza tu mlimuweka wapi Polepole na mlifanya nini na mtajibia hiyo hukumu
  10. JamiiForums Tanzania Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  11. JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Ludewa zimesahaulika sana, mvua kidogo tu tayari hazipitiki na leo magari yamekwama huko

    Wakazi wa Luponde halmashauri ya mji wa Njombe na watumiaji wa barabara ya Njombe - Ludewa wameiomba serikali kufanya marekebisho ya muda mrefu ili kuondoa adha ya magari kukwama wakati wa kipindi hiki cha mvua. Wito huo umetolewa na baadhi ya wakazi wa Luponde akiwemo Colbina Mligo ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Mbona Watanzania tunaichekea sana hii hali ya watu kutekwa na kuuawa?

    Yani siku hizi mtu kutekwa na kuuwawa au kupotezwa imekuwa kitu cha kawaida. Watanzania wanajazana kwenye comment section kutiana mwoga na kushangaa tu. Hii inadhihirisha hile kauli ya "Tutakupoteza na Watanzania watapiga kelele siku 2 kisha watakusahau". Kila mtu sasa hivi Tanzania ni victim...
  13. JamiiForums Tanzania Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

    Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano ya 9D yamekaa kimtego sana

    Nimekaa nikatafakari, nikagundua haya maandamano ya 9D ni myego mkubwa sana kwa pande zote mbili, serikali na Gen Z wote. 1 Gen Z tusipoandamana kama tunavuohamasishana mitandaoni, au serikali ikifanikiwa kuzima au kuzuia hayo maandamano, maanake Gen Z tutakuwa tumepoteza pambano...
  15. JamiiForums Tanzania Natamani sana kujua tabia za wadada wa kisambaa

    Najua kuwa kabila halina mchango sana kwenye masuala ya ndoa, lakini kutokana na kuwa watanzania wengi sio watembeaji sana na wanapenda kufuata mila zao, mfano wachaga, kila mwezi wa 12 hawaachi tamaduni zao, hupenda kwenda kwao na kukutana. Natamani nione watu wanazungumziaje wadada wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mlioweka Pes UTT Amis kazitoeni haraka sana mnaenda kulia

    Kwa wote mlioweka pesa UTT Amis katoeni haraka sana tafuteni mifuko mingine ya kuweka mnaenda kulia muda sio mrefu mtaukumbuka huu uzi mpango namba Moja wa serikali ni kuchukua mabilioni ya utt amis hivyo katoeni pesa haraka sana wazee mtakuja kuninikumbuka
  17. JamiiForums Tanzania Hawa wajinga wanaukosea sana uislamu, wanataka tuonekane wote ni wajinga

    Je! Baada ya kuua maelfu ya Watanzania, Wauaji wanacheza karata ya udini kwa kuwatumia wapumbavu wanaojiita Waislamu? Je! Baada ya kutengeneza utawala wa kuteka, kutesa, kupoteza na kuua wakosoaji wa CCM, sasa wanaongeza na kueneza chuki za kidini? Uislamu ni dini ya HAKI. Uislamu ni dini ya...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania tujenge utamaduni wa kujadiliana kwa hoja zenye staha hata pale tunapotofautiana kimtazamo

    . Katika jamii yoyote inayotaka kustawi, tofauti za mawazo ni jambo la kawaida na lenye afya — lakini namna tunavyoyashughulikia hayo mawazo ndicho kinachojenga au kubomoa. Matusi, kejeli na dhihaka haziwezi kuleta suluhu ya changamoto zetu kama Taifa. Badala yake, huchochea hasira, kuharibu...
  19. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nimeogopa sana! Kete yao ya mwisho ni udini

    Nimeogopa sana! Nimeogopa kupita kiasi... Banda yote kushindikana sasa wanataka kutumia kete ya dini! Mungu atusaidie sana Walianza na figisu za kawaida Wakaja na siasa majitaka Wakaanza kurubuni wapinzani Wakaanza kubambikia kesi Wakawa wanateka Wakawa wanateka na kupoteza watu Wakawa wanaua...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu mama alindwe sana. Ukweli wake utatukomboa

    Siongezi neno. Angalia na sikiliza mwenyewe wanachoficha CCM na Polisi, BAKWATA na Chawa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…