sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanajeshi ni watu wa kawaida sana , hawana exceptional skills zozote, kinachowabeba wao ni ile brand waliyojiwekea

    Penye ukweli pasemwe. Mpaka leo hakuna martial artist yeyote (G.O.A.T) ulimwenguni kote ambaye anatokea jeshini , kwenye sanaa za mapigano zote (martial art) kuanzia boxing, kung fu ,taekwando ,judo, kickboxing, muay thai, jiu jitsu nk Ile man to man huwa hawatoboi , hata tukiangalia kwa hapa...
  2. Watanzania tulipotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, walifurahi sana wakatutania wajukuu wa Mwl Nyerere

    Watanzania tunapotembelea nchi za kigeni na kuwaeleza asili yetu, wanafurahi sana nakututania wajukuu wa Mwl Nyerere na hii ndiyo sababu kubwa inayonifanya niheshimu sana nchi ya Tanzania na nishindwe kamwe kukosea adabu Chama Cha Mapinduzi cha Babu yetu Mwl Nyerere Ni vigumu sana kutamka Chama...
  3. Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus maarufu sana zilizokuwa zikijulikana kama Meridian, vipi kampuni ipo bado?

    Miaka ya tisini - elfu mbili kulikuwa na Bus za Meridiani, vipi kampuni bado ipo? Hawa jamaa Meridian walikuwa maarufu sana wakishindana na Dar Express, safari zao zilikuwa Dar es Salaam to Kilimanjaro & Arusha Zamani bila kupanda bus hizo ulikuwa hujioni matawi ya juu Dar Express nawaona...
  4. PostGE2025 Nilichokiona Jana Kimeniogopesha. Watanzania Wamebadilika Sana!

    Jana mida ya saa tisa hivi mchana. Wapasua matofali wetu wakawa wanafanya doria na lihelikopta lao moja kuukuu limechoka choka hivi. Wanapita kwa chini chini mpaka wanaonekana makomandoo wao wamekaa milangoni na mabunduki yao makubwa makubwa... Ilikuwa ni maeneo ya soko; na watu wakawa...
  5. S

    Tahadhari. Ni hatari sana kubaki nyumbani siku ya 9D. Wauaji wataanza na wewe

    Ewe mtanzania mwenzangu hakikisha siku ya 9D unatoka na kuungana na wenzako kuidai haki kwenye maandamano ambayo yatakuwa makubwa sana siku hiyo Kusalia nyumbani siyo salama kwako. Kwani wale walenga shabaha watakuangamiza wewe pamoja na familia yako yote. Alionae tangazo hili amtaarifu na...
  6. PostGE2025 Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote Africa

    Maandamano hayazuiliki na yamekwisha fanikiwa kwa asilimia zote yatakuwa makubwa sana kuliko yoyote africa. Lazima uchaguzi ufutwe , mateka waachiliwe, katiba mpya, wauwaji wafungwe minyororo kichwani miguuni na mikononi kila aliyehusika. Hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi!
  7. Tiktok bunge la wananchi Kuna jamaa anaitwa summer ni mjinga sana

    Huyu Jamaa nasikilizaga live za bunge la wananchi TikTok Kila siku kuanzia saa mbili usiku kusema kweli hastahili kuongoza live sababu anakejeli hasira za ajabu yaani anajiona kama mungu mtu Kisa lipo ulaya halafu likataka kuendesha watu ambao watakua ground Cha ajabu anajiita gen z halafu...
  8. ITV mnatumika kibwege sana, kinachoendelea hapa nchini ni wananchi kuchoka box la kura kuchezewa

    Hicho kipindi mlichokiweka usiku huu cha kipima joto mtawaokota wasiojitambua. Hakuna vita yoyote ya kiuchumi, bali ni Rais na chama chake cha ccm kulazimisha kukaa madarakani kwa shuruti. Kama mlitumia mbinu hizo za propaganda za kichovu zamani mkafanikiwa, jueni kwa sasa mko nje ya muda...
  9. PostGE2025 Wasanii wa Tanzania wanapitia wakati mgumu sana, wameahirisha show za ndani, nyimbo zimedoda mitandaoni

    Wakuu Nimekutana na video hizi mbili za watangazaji wenye nguvu ya ushawishi kwenye upande wa burudani hapa Tanzania, wakieleza hali ngumu wanayoipitia wasanii wa Tanzania hadi kufikia hatua ya ku-cancel show za ndani, kuahirisha kutoa albamu, na hata nyimbo zao walizotoa zimedoda huko...
  10. F

    Kwanini watu wengi hasa wa Visiwani wanathamini sana Uarabu? Samia alishasema waliambiwa na polisi "Nyie waarabu mna shida sana" Mbona wabantu wenzetu

    Niliona documentary ya watu wa Madagascar wanajipa rangi nyeupe usoni na mikononi, kwenye narration yake anayesimulia makala hayo, aliweka wazi kabisa siyo kwamba ni "Assimilation" Assimilado kwa kifaransa lakini ni obsession ya watu wa huko kuonekana ni weupe. Nilishangaa kidogo, nimeishi na...
  11. PostGE2025 Tulitumia gharama sana kufungua Nchi; Sasa tunajifungia kimzaha mzaha

    Tulijitenga na Mwamba, lawama tukamtupia na video tukatengeneza, sio moja tu bali tukatengeneza version mbili ya kule kuonyesha kwamba alikuwa katili na hamnazo na asiyesikia la mtu..., tukasema sisi huko hatuendi tunakwenda huku pengine...; Filamu tukaitangaza kuliko kutangaza kile...
  12. Kwahiyo Mwigulu leo ghafla pesa zimeacha kuwa za Samia na kuwa pesa wananchi? Gen-Z hakuna kulegeza kamba

    Wakuu Kila pesa ilikuwa ya Samia, samia kanunua hiki Samia kanunua kile, Samia kajengga SGR, Samia kajenga madaraja, Samia kajenga barabara, baada ya wananchi "kukiwasha" ndio mnajua kwamba hela ni za Watanzania? Leo ndio mnajua kwamba mwananchi ndio kila kitu baada ya kuona wananchi...
  13. H

    Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

    Mimi ni winga wa electronics za aina zote. AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer. Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu. Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu. Niungeni mkono wakuu🙏 Nipo kariakoo 📍 For quick response Whatsapp 0617129135
  14. Jambo pekee la kuwafanya CCM waogope kuwachezea Watanganyika linatimia kwa kasi sana mwaka huu

    Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu. Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi. CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
  15. H

    PostGE2025 Rais Samia ni Mtu wa Ajabu Sana, Sijui Rohoni Mwake Amebeba nini!

    Fikiria kuwa nchi zote, taasisi zote za kimataifa, wananchi walio wengi wa Tanzania, mpaka nchi marafiki wa kihistoria, wametamka kuwa yeye ni Rais haramu, kwa sababu hakuchaguliwa na wananchi, lakini yeye ameng'ang'ania tu! Na anajua kabisa kuwa yeye ndiye chanzo cha matatizo yote, kuanzia watu...
  16. December 9 imekaa vibaya Sana kwa Wanamtandao

    Wanamtandao wanakata tawi walilokalia wanafikili wataanguka walala hoi pekee? Nawaambia tawi likikatika wakwanza kudondoka Ni mafisadi. Wananchi hasa vijana hatuna Cha Kupoteza Endeleeni kushupaza shingo muone tunavyoenda kuwashughulikia Yaani mpaka sasa bado tu hamjui vijana ndani ya mfumo...
  17. Q

    Inaonekana Serikali imeumizwa sana na Documentary ya CNN

    Serikali imepanic, baada ya CNN kuonesha ukweli ambao serikali haikutegemea ikiwa ni pamoja kuonyesha kaburi la halaiki. Hawakutegemea. Imejaza watu mitandaoni kumshambulia mwandishi wa CNN utadhani aliandaa peke yake, serikali ilidhani CNN ni Channel 10 au ITV na Larry Madowo ni Millard Ayo...
  18. Jeshi la Polisi mmefeli sana

    Taarifa zilizotolewa kuhusu madai ya “mwanajeshi wa Marekani” kukamatwa Tarime zimeibua maswali mazito kuliko majibu. Kutaja jina lisilo la kawaida kama Onkuri Ongeta. Pamoja na picha zinazomuonyesha mtu huyo akiwa amejipamba kwa pete kama Mganga wa Kienyeji na mavazi yasiyoendana na mafunzo ya...
  19. PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  20. Tatizo la kuongea sana: Serikali yazidi kujichanganya. Muliro alisema AI, Msigwa asema picha zilizopigwa kwa simu

    Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola. Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…