sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Yanga itakuwa maarufu sana

    habari zenu. Klichotokea ijumaa wengi tulikiona kwenye TV na wengine ambao hawajacheki mpira wameona clip zikitembea kwenye kila social network duniani kote,mjadala mkubwa umekuwa kwanini yanga wanyimwe goli la wazi?? Kumekuwa na mjadala mkubwa kwa wachambuzi duniani kuhusu goli la azizi ki...
  2. JamiiForums Tanzania Huduma za mitume na manabii zinapingwa sana na wachungaji kuliko waumini :Uchunguzi unaoendelea

    Licha ya Biblia kuonesha wazi umuhimu wa huduma ya unabii bado huduma hii inapitia changamoto kubwa za ndani kuliko nje. Kutokana na uchunguzi nilioufanya katika makanisa matano ya kiroho katika mikoa miwili (Dar es Salaam na Geita) nimeweza kuona upinzaji mkubwa sana kihuduma kati ya manabii...
  3. JamiiForums Tanzania Kujiweka karibu na wanasiasa kumeiharibu sana Yanga

    Kitendo cha kufikia hatua ya kutoa tuhuma nzito kwa kutumia kipengele cha "Upangaji Matokeo" kuhusiana na mechi ya Mamelodi Sundowns vs Yanga kunanikumbusha siasa zetu za vyama vingi na jinsi migogoro inavyotokeaga. Kwa haraka nakumbuka migogoro ya kina Mrema ndani ya NCCR, Zito Kabwe ndani ya...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini channel za Afrika kusini zimezuia replay ya goli lililokataliwa isionekane nje ya mipaka, wamepigwa biti au rushwa ? hii nimeipata kwa vpn

    Mfano kituo cha Tv Sabc kwenye ukurasa wao huwezi kutazama nje ya mipaka yao, inabidi uwe sauzi ama utumie vpn https://twitter.com/SABC_Sport/status/1776330085353607554 Hii ndio video iliyowekewa vizuizi (nimetunza nakala)
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki kawavutia sana mashabiki wa mpira huko South Africa

    Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili. Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za...
  6. JamiiForums Tanzania Kupata Haki ni gharama sana kwa nchi yetu, mnasabisha watu kujichukulia sheria mkononi na kuachana na mifumo ya haki jinai

    Leo niliibiwa materials kutoka eneo langu la kazi Mkoa A, baada ya kufatilia nikagundua mwizi amesafiri kwa njia ya Bus kuelekea mkoa B, nikafanya mawasiliano na Police wa mkoa B, wakanipa ushirikiano na kumkamata mwizi wangu akiwa na hayo material kwenye Bus kama nilivo report, na bahati nzuri...
  7. JamiiForums Tanzania Mimi ni binti mwenye Diploma ya Community Development, nina uhitaji sana wa ajira

    Habarini viongozi, Nina umri miaka 24. Naishi ARUSHA naishi na mama yangu pekee toka nikiwa mdogo mpk sasa Elimu yangu ni DIPLOMA OF COMMUNITY DEVELOPMENT. Nawaomba sana msaada wa kupata AJIRA ya aina yoyote na popote pale Tanzania hii tuweze kujikwamua mimi na MAMA YANGU
  8. JamiiForums Tanzania Katika makuzi yangu nilimisi sana malezi ya baba ila hakujali kuhusu sisi

    Katika makuzi yangu nilipitia safari ambayo sikupendezwa nayo na leo ningeomba ni share pamoja na wengine wajue siyo vizuri pia kama nao wako hivyo. Kipekee maisha yangu ya ukuaji nilikuwa bila mapenzi ya baba ilikuwa changamoto kubwa kwangu. Ingawa baba alikuwepo kimwili, hakuwa karibu nasi...
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume kabla ya kuoa fanya hivi itakusaidia sana.

    Moja kwa moja kwenye mada Nenda kwenye mahakama zinazo Dili na mambo ya ndoa jipe muda wa miezi kadhaa kusikiliza kesi zilizopo katika hizo mahakama. Pia sikiliza vizuri maamuzi ya majaji juu ya hizo kesi. Zingatia vizuri mwanaume anachukuliwaje kwenye hizo na anaonekanaje. Ukibahatika...
  10. JamiiForums Tanzania Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  11. JamiiForums Tanzania Yanga mnaolia sana malengo yenu ilikua makundi robo ni kama bonasi

    Inashangaza kuona yanga wanalilia goli ambalo sio goli ,mpaka refa anyoshe kati ndio linakua goli. Pili kujitoa ufahamu wa kulilia nusu fainali ilihali mnajua viongozi wenu walishawatangazia malengo yenu ni kufika makundi hiyo robo ni kama bonasi hivyo mjue viongozi wakienda chooni hucheka peke...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa hakika Yanga Imeonewa kwa ukubwa sana japo mimi ni Simba ila ukweli usemwe kuwa lile ni goli

    Kama umetazama Mpira utagundua Lile lilikuwa ni Goli safi walilofunga yanga lakini Refa Na VAR ya kizushi imekataa. Naibu waziri wa michezo kasema Mhe Hamisi Mwinjuma au Mwanafalsafa kasema kuwa hilo watalifanyia kazi. Sasa Nakukaribisha na wewe Uangalia Kweli hili sio goli?
  13. JamiiForums Tanzania Ila ukweli ni kwamba Wamenyimwa Goli halali lililovuka mstari wa Goli

    Kwa Mpira mkubwa walioucheza Dar na leo Jorzy nina uhakika Msimu ujao wa Mashindani ya Kimataifa na Usajili wa Kiufundi na Kimkakati ukiendelea kufanywa nao nawaona kufika Fainali ya CAFCL na hata kuwa Mabingwa na Kutuumbua Wazee wa Robo Robo FC kama ambavyo baadae kidogo tunaishia tena...
  14. JamiiForums Tanzania Kufa kiume kunauma sana 😀😀

    Yaani nyie nyuma kuna mwiko mlijua mtamtoa mtoto wa raisi kirahisi hivyo, mcheza kwao hutuzwa, nyie bado ni wadogo sana kupewa lile goli 😀 Safi sana refa umetuondolea makelele hapa town.
  15. JamiiForums Tanzania Car4Sale Basi linauzwa bei nafuu sana

    Zhongtong Caesar Inauzwa Namba B Siti 60 2by2 Engine scania 93 Gearbox scania Diff scania Bei Tzsh 35,000,000/= Gari haina tatizo lolote Bima ipo hai Call, sms, whatsap 0759399805
  16. JamiiForums Tanzania Chemistry ya waandamizi wateule CCM ni moto mkali kwa upinzani dhaifu sana nchini

    Wanajuana vizuri, wana mtindo wa uongozi unaofanana, wana uwezo wa kuongea, wanaijua vyema CCM, wanawajua vyema upinzani na kwakweli wana uwezo wa kuwajibu wapinzani visingizio na malalamiko yao.. Na Chini ya Katibu mkuu DR. Emanuel Nchimbi, kiongozi mtendaji wa chama, muawajibikaji sana...
  17. JamiiForums Tanzania Namchukia sana Mama yangu

    WanaJF Mimi namchukia sana mama hata nsipowasiliana nae mwaka najiona sawa. To sum up.. Mimi nmelelewa na bibi baada ya wazazi kuachana na mama akaolewa. Hivyo mimi nikiwa mtoto wa pili na mwisho ilibidi nikaishi na mama kulingana na umri wangu. Baba wa kambo alitamka kauli moja anahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Salute Comrades! Wanaume wenzangu njooni hapa niwape code kuhusu hawa wanawake ambao tumeusiwa tuishi nao kwa akili. Kawaida yetu sisi wanaume tuna hulka ya kutongoza tongoza wanawake especially Kama mwanamke husika Ni anakidhi vigezo vyako. Basi kipindi unamtongoza mwanamke Kuna hili swali...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Niliyoshuhidia Leo maeneo ya Skansca Salasala yamenifurahisha kweli hela ni muhimu sana

    Wadau hamjamboni nyote Leo nimepewa ofa na rafiki yangu huko maeneo ya Skansca Salasala Nimefurahi sana kwa huduma husika shukrani kwa Ndugu yangu Gharama zake za kutisha Nimeweka kiambatanisho Kwa rejea yenu Niwatakie mchana mwema wakuu.
  20. G

    JamiiForums Tanzania Hivi kile kipimo cha kauli ya Mzee Kikwete, kuwa labda "mambo yaharibike sana", hakijatimia?

    Rais Jakaya Kikwete amesikika mara kadhaa akisema kuwa "mgombea urais kupitia ccm 2025 atakuwa mama Samia labda mambo yaharibike sana hapo katikati". Sasa swali langu ni je, mpaka sasa, bado mambo hayajaharibika sana? Au kipimo cha kuharibika sana kwa mambo ni kipi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…