sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii Afrika kuja kujitegemea ni ngumu sana

    Prof. Michael Hudson Mchumi kutoka Marekani anasema kuwa sababu zinazopelekea deni la Afrika kuwa tofauti na la Marekani ni kwasababu deni la Marekani lipo katika sarafu yake (Dola) Hivyo Marekani inaweza kujichapishia fedha zake na kulipa deni lakini Afrika deni lake halipo katika sarafu...
  2. JamiiForums Tanzania Simba ni Bora sana kiasi kwamba ikikosa ubingwa MNASIKITIKA

    Kila wakati hoja ya Simba "mbovu" huwa siielewi kabisa. Ubovu wa Simba kigezo huwa ni nini? Je, Simba ni timu isiyotakiwa kufungwa? Je, Simba ni timu isiyotakiwa kutoka suluhu? Je, Simba inatakiwa iwe mshindi kwenye kila mashindano inayoshiriki? Maana Simba ikiishia robo fainali Klabu...
  3. JamiiForums Tanzania Jamani vijijini wanawake wanathaminiwa sana

    Wanasema tembea uone,,,hakika najionea ambayo sikuyaona town Huku wanawake wanathamani kuliko uhai wa mtu,,,, yaani ukijichanganya na wake za watu inaundwa kamati ndogo na chap unakatishwa uhai wako,,,, jana tu kuna mwamba nasikia wamekatisha uhai wake kisa alitembea na mke wa mtu. Kuna kisa...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana ambao mnatafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu

    Vijana ambao mko kwenye michakato ya kutafuta Ajira Ogopeni Sana hizi namba za simu ambazo naziweka hapa Hao jamaa sio watu wazuri, sijui wanatumia njia gani kujua kama umeomba kazi sehemu flan Mdogo wangu juzi kalizwa laki 8 Walimpigia simu na walimwambia wanatokea sehemu ambayo ni kweli...
  5. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Taifa ni mchafu sana

    Sisi wapenzi wa mpira tunapoenda kuangalia mpira Uwanja wowote ule kwa malipo maana yake sisi ni wateja inabidi tuheshimiwe kama wafalme kama kauli mbiu inavyosema kuwa mteja ni mfalme. Nikizungumzia uwanja wa Taifa wa Mkapa ambao ndio uwanja mkubwa na bora kuliko vyote nchini kwakweli huduma...
  6. JamiiForums Tanzania Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game. Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na...
  7. JamiiForums Tanzania Nimeaibika sana leo, nimejamba kikaoni mbele ya Binti nayempenda

    . Tupendane wa tz
  8. JamiiForums Tanzania Yusuph Manji: Hans Poppe alinipa wakati Mgumu sana enzi za uongozi wangu

    “Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na watu wanamuelewa, alinipa wakati mgumu sana. “Hata niliposikia amefariki, ukweli kibinadamu...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Umeumiza watu halafu unataka kuokoka bila kuwaomba msamaha uliowaumiza, hilo haliwezekani!

    Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA! Mnakosea sana, mnjidanganya, mambo hayendi hivyo! 1. TUACHE MASIKHARA KWA MUNGU WA HAKI Huwezi kuroga...
  10. JamiiForums Tanzania Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
  11. JamiiForums Tanzania Hii advertisement imenichekesha sana

    Kulikuwa kuna haja gani ya kuweka picha ya mwanamke mweny matrako makubwa kweny tangazo la mikopo. Hadi matangazo ya mikopo yanakuwa sexualized🔥🔥
  12. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally anapitia magumu sana na timu yake

    Ndugu yangu huyu nampa Pole yaani ukweli anatamani kutoka anashindwa afanyaje ndioo maisha yake. Kati ya watu niliwaonea huruma majuzi ni ndugu yangu huyu hatareee sanaaa. Tuendelee kumwombea Allah ampe nguvu na timu yake asikate tamaaa.
  13. JamiiForums Tanzania Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani

    Imetajwa kwamba uchawi ni mdudu ambaye ameitafuna sana Kigoma na watu wake, ndio sababu ya watu wengi kutokurudi nyumbani, point ya 1. Watu wa Kigoma hawana tofauti na Mayahudi wa Israel, tofauti yao ni kwamba watu wa Kigoma wana ardhi ila mayahudi walikosa ardhi. Kigoma ina watu makini sana...
  14. JamiiForums Tanzania Asanteni sana, japo replies zilikuwa chache lakini JF imenifungulia dunia Jana na Leo

    Wakuu, baada ya kuweka Uzi hapa Jana juu ya project proposal yangu, Jana usiku wakuu wa shule tatu walinitafuta(mmoja ni WA shule ya public , wengine wa wa wili wa private school)na directors mmoja wa shule ya private Kani pm Leo mida ya sanne. Japo Kwa uchache nimeshare ideas zangu na wao, na...
  15. JamiiForums Tanzania Hali ilivyo soko la mabibo inasikitisha sana serikali fanyeni jambo hapa

    hii hali sio nzuri na haipendezi kabisa hapo mabibo ni mjini kabisa ila mvua kidogo tu hali uwa kama hivi hapo tunahatarisha maisha ya watu wengi sana maana hilo soko linategemewa karibu na dar zima..
  16. N

    JamiiForums Tanzania Jana tumewasiri sana watani(simba).

    Habari Jana yanga imecheza na simba kama wanaofanya mazoezi,laiti yanga ingeamua kucheza mpira wake wa kila siku aisee aisee kwa makosa walikuwa wanaofanya simba jana simba ingefungwa tena goli 5 na kuendelea,walikuwa wapo wazi sana,sema niungwana na wawazee wa yanga na tunajua ukishazeeka...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini utajiri wa Elon Musk anashuka sana?

    Leo yuko nafasi ya nne. Kapitwa na Mark Zuckerberg Alipanda haraka Sana na anashuka kwa kasi kubwa. Ni kwa nini
  18. JamiiForums Tanzania Guede anafunga magoli magumu sana

    Huyu jamaa inawezekana akaja kuwa mbadala wa mayele, tumpe muda, magoli anayofunga si ya kwaida kabisa.
  19. JamiiForums Tanzania Kibu Denis anakaza anapokutana na Yanga tu

    Huyu jamaa ni tapeli sana, anajua mashabiki wa Simba ni bendera fata upepo na hawana maarifa hivo kaamua kuwaingiza kwenye mfumo wake Jamaa ye mechi anazokaza ni vs yanga tu maana anajua akipiga hata goli Moja watamsifia msimu mzima, haiwezekani msimu mzima kibu Kila mechi anacheza alafu ana...
  20. JamiiForums Tanzania Yanga imejitahidi sana kuwabeba Azam lakini hawabebeki!

    Timu ya Azam ni timu ya hovyo sana. Tuliwaruhusu watufunge na kuwafunga Simba nje ndani ili wao wapate nafasi ya pili lakini wapi! Yanaenda huko yanasaresare na kupigwa. Tumewatengenezea point tisa lakini hata hawabebeki. Azam wanaudhi sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…