sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sitaki huruma yenu, lakini Wakuu maisha yananigonga vibaya sana!

    Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku). Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke. Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana, Mungu nikumbuke. Nimekonda, hadi mwezangu wanadhani naumwa, na pepesuka hali mbaya sana. Venue...
  2. JamiiForums Tanzania Ananikumbuka sana, anajutia sana, majuto kawa mjukuu sasa

    Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha kwake ovyo ni magumu Sana nimpe chance again wakati anajua tayari nina mke iyo chance nampaje kifupi...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeoa ila natamani sana wanawake wengine

    Wakuu kwema? Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata kama hazina urembo kumzidi mama watoto. Huu ni ugonjwa au nini wakuu? Maana hadi wake za watu...
  4. JamiiForums Tanzania Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

    Wakuu, Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale. Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi. vitu ninavoogea 1. Deto ya maji 2. Sabuni ya mikono 3. Medicated soap Mbaya zaidi joto kidogo na sweat kwa sababu watz wengi hawako...
  5. JamiiForums Tanzania Wanasheria nchi hii wana akili sana!

    Hivi ninyi msio wanasheria, mnajua kama Wanasheria tunaitambua Tanganyika, na hata chama chetu kinaitwa "chama cha wanasheria wa Tanganyika", sio Tanzania. HIi nchi yafaa ashike mwanasheria ili kurudisha Tanganyika.
  6. JamiiForums Tanzania Nampenda sana Rais wangu Mama Samia ila baadhi ya aliowaamini siwapendi!

    Ukiniuliza kiongozi gani unampenda mimi bila ya kupepesya macho nitakutajia Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Swali; Kwanini unampenda Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Jibu; Nampenda kwa sababu zifuatazo Nikiongozi wa Nchi...
  7. JamiiForums Tanzania Mnavyosema kuwa Mama Samia kakopa sana, oneni hii ripoti ya IMF

    Mnavyosema mama Samia anakopakopa Basi mnamkozea sna mam huyu leo ripot ya imf shirika la fedha duniani imetoka na kuonesha inch kumi zenye Mikopo mikubwa imf na katk nnchi zote hzo Tanzania ya Samia haipo kwenye horodha ya nch zinazodaiwa na IMF. Misr imekuwa kinara wa Mikopo kutoka kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwanaume usiweke matumaini makubwa sana kwenye ndoa

    Ni vyema tukajulishana vitu vichache vichache ila vina umuhimu mkubwa. Wanaume mnao tarajia kuingia katika ndoa au mliopo katika ndoa changa msiweke expectations kubwa sana ndani ya ndoa kwamba kuna mambo fulani na fulani kwamba nita achieve katika ndoa. Ndoa sasa kwa ukweli halisi ni nyepesi...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe kuwa na machawa ni raha sana

    Kama mzigo upo basi kuwa na machawa ni jambo la muhimu sana. Vita yako ni yao kazi yako kubwa ni kuwaweka kwenye payroll kuhakikisha flow ya cash haikati.
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge Mohammed Issa aliyesema yeye si Mtanzania, kwanini bado yupo Bungeni?

    Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, “ Tanzania” Sasa kama yeye ni Mzanzibar na hatuna nchi hiyo, humo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Mhashamu baba Askofu Mkuu Ruwa'ichi kwa jubilee yako ya miaka 25 ya Uaskofu

    Tumsifu Yesu Kristo. Mungu ni mwema kila wakati. Hongera sana Mhashamu Baba Askofu Mkuu wa Jimbo la Dar es Salaam kwa kutimiza miaka 25 ya Uaskofu. Binafsi nakufahamu kuanzia Jimbo la Mbulu na hata ulipoteuliwa na Baba Mtakatifu kuja kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la Mwanza. Ulipokuwa hapa Mwanza...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Ulipataje taarifa kuwa Kuna tatizo la kimtandao kwa baadhi ya nchi.Mimi nilipata humu Jamii forum.Hongera sana Jf.

    Salam humu. Naona tatizo lililotokea limeonesha jinsi gani mawasiliano yalivyo muhimu kwa Taifa. Mitandao ya mawasilianao ya simu na wadau wengine ilipaswa kuwa ya kwanza kutujuza sisi wateja kuwa kuna tatizo la katizo la mawasilianao ya kimtandao ,,but they come later..labda sijui kuhofia...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Dunia & the Prophecy

    Habari: Kuna mataifa kadhaa duniani ambayo haya ndiyo ya kutizama sana Israel, Marekani, Vatcani ukiangalia vizuri Israel utagundua kuwa Kuna maandalizi makubwa ya kumkaribisha masihi kumbuka baada ya kifo cha Allen Sharon pm rabi yitzak kaduri alisema masihi atakua karibu kuijilia Israel...
  14. JamiiForums Tanzania Kuwa Mpinzani kisiasa ni mateso sana

    Hasa ukiwa kwenye chama cha siasa ambacho ni dhaifu na kisicho na uelekeo, sera wala mipango itakayowavutia wananchi kukiamini, kukuunga mkono na kukichagua kuongoza. Ni mateso kuishi na kufanya kazi ya siasa kwenye, Chama cha siasa cha upinzani ambacho hata viongozi wake waandamizi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasomi na wahitimu wa vyuo mtaani, nafasi za uongozi Serikali za mitaa na udiwani 2025 zinawahitaji sana

    Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi. Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako. Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
  16. JamiiForums Tanzania Jamani nisaidie mbwa wadogo wanakufa sana hapa kwangu

    Nina mbwa mkubwa. Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa. Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu akija kuwapa dawa huwa wanakufa moja kwa moja. Chakula wanakula makombwe ya nyumbani kwangu na...
  17. JamiiForums Tanzania Imani ya Mwarabu na Myahudi zinafanana kwa karibu sana, wote walimkataa Yesu ndio maana laana ya damu inawasumbua

    Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu Wanafanana katika yafuatayo 1. Wote hawaamini kuwa Yesu ni Masiha 2.Wote hawaamini katika utatu...
  18. JamiiForums Tanzania Taka zimejazana sana eneo la Boko Magengeni, magari ya kubeba taka hakuna kwani?

    Uchafu umejazana sana eneo la Boko Mgengeni kwa siku kadhaa sasa na hakuna hatua iliyochukuliwa kutoa taka hizo ambazo zinasambaza halufu mbaya zaidi. Mbaya zaidi taka hizo zimewekwa mbele ya maduka ya vyakula na dawa ambapo inaweza kupelekea mlipuko wa magonjwa ya mlipuko kama kipindupinu n.k...
  19. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi. Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
  20. JamiiForums Tanzania Tuweni Makini Ukimwi upo sana nchini

    Dah tuweni makini UKIMWI upo. Humu ni post za mapenzi tu sijui hili au lile . Haya 1.6 ml wanao umeme . https://youtu.be/eVKa-dIWbdk?si=Eed0o5VAQM4ixvF2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…