sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyimbo ya Mikasi ya Ngwair iliandikwa kwa akili nyingi sana

    Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana mitaa ya Chaga byte, kupiga ugali mkubwa na samaki, mpaka mitungi ya kupotezea wakati, ukitaka fegi...
  2. JamiiForums Tanzania Donald Trump atamshinda Kamala Haris kwa mbali sana Uchaguzi Mkuu Marekani

    Katika ulimwengu huu wenye ubabe mwingi sana wa kitecholojia na uchumi miongoni mwa mataifa ya ulimwengu. Wamarekani wengi watamchagua Donald Trump ikiwa ni pamoja na vijana wasaka ajira, wamarekani wazalendo na kundi kubwa la undecided. Hawatapendelea tena kuongozwa na mtu myonge kupindukia...
  3. JamiiForums Tanzania Sasa hivi ukikutana nao tu halafu ukajifanya unaulizia Juice ya Azam au Ice Cream ya Azam tegemea kupata Kipondo kutoka Kwao kwani inawauma sana

    Kinachonishangaza ni kwamba Wengine tumeshazoa Kutaniwa, ila Wao sasa ukiwatania tu wanataka hata Kukupiga.
  4. JamiiForums Tanzania Suala la watu 87 kati ya 100 Tanzania kuwa tegemezi linavunja moyo sana wakuu

    Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa. Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita. Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu waliolemewa na utegemezi wa kifikra uliokithiri. Hali hii wenda ndio imepelekea ongezeko la ukahaba...
  5. JamiiForums Tanzania Wazabuni na wakandarasi mnayoidai serikali mtasubiri sana, Naibu Waziri Fedha asema wanahakiki wakipata pesa watalipa

    Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha kutokulipa kuna sababisha kudora uchumi Mbunge Viti Maalum Asia Alamga Ccm, yeye alihoji ni lini...
  6. JamiiForums Tanzania Huu Ujumbe kutoka kwa kiongozi huyu Mkubwa wa Kiislamu kuhusu wanawake. Umenishtua sana

    Siongezi neno.sipunguzi. sisi waislamu wa Buza kwa Mpalange tutatoa neno. FaizaFoxy na Ritz tusiache hili jambo bila kulitolea ufafanuzi.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Ni jambo la hekima sana kumweka wazi bajeti yako kwenye mtoko wa date lasvyo umempa tiketi ya kuagiza vinywaji ghali na kuleta marafiki zake, n.k.

    Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae kupata aibu, kuharibu bajeti yako, n.k. Kumjuza bajeti yako itakusaidia mapema kujua kama yupo nje ya...
  8. JamiiForums Tanzania LGE2024 Demokrasia imekomaa sana nchini, kata yangu ina wagombea uongozi wa kijiji wa CCM pekee

    Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi. Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM. Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ikiwa CHADEMA au chama chochote cha upinzani kitapata mtaa au kijiji kwenye uchaguzi huu nipigwe ban milele

    CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
  10. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa mbona kimya sana? Ama keshatupwa ghalani?

    Aliahidi kuzunguka nchi nzima (hakutaja kwa gharama za nani) kuelezea mazuri ya chama chake kipya alichokuwq akikisema vibaya miaka yote.. Na kukiponda chama chake cha zamani. Ametumika kwa kipindi kifupi kuliko ilivyotarajiwa.. Na sasa hasikiki tena Kinachoonekana ni bado ana maumivu mengi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jamaa wa Matangazo walivyonizingua na mwanamke wangu barabarani

    Jamani kwema? Nisiwachoshe. Wiki ilopita nilikuwa kitaa na Binti mmoja ni Binti ambaye kiukweli nimekuwa nampigia hesabu za kumtongoza toka kitambo. Sasa nikaanza zile hatua za mwanzo zikiwemo kumuweka karibu namm Ili nimuingize kwenye line nijiweke nijipunzishe maisha yaendelee. Sasa wiki...
  12. JamiiForums Tanzania SIO LAZIMA UELEWE SANA, AMINI TU!

    Joshua aliomba Mungu asimamishe jua, ingawa hakuwa na uelewa wa kisayansi kwamba ni dunia inayozunguka, siyo jua. Lakini pamoja na ufinyu wa uelewa wake, Mungu alijibu ombi lake, na usiku haukuingia hadi vita ilipoisha. Mungu alisimamisha dunia kwa muda ili kutimiza ahadi yake. Hii ni nguvu ya...
  13. JamiiForums Tanzania SIO LAZIMA UELEWE SANA, AMINI TU!

    Joshua aliomba Mungu asimamishe jua, ingawa hakuwa na uelewa wa kisayansi kwamba ni dunia inayozunguka, siyo jua. Lakini pamoja na ufinyu wa uelewa wake, Mungu alijibu ombi lake, na usiku haukuingia hadi vita ilipoisha. Mungu alisimamisha dunia kwa muda ili kutimiza ahadi yake. Hii ni nguvu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Leo niko na furaha sana

    Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka mm niko kenya sasa bada ya mm kumtosa akanidharau ooooh sijuii kwanza huna mbele wala nyuma sikujuu...
  15. JamiiForums Tanzania Leo niko na furaha sana

    Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka mm niko kenya sasa bada ya mm kumtosa akanidharau ooooh sijuii kwanza huna mbele wala nyuma sikujuu...
  16. JamiiForums Tanzania Leo niko na furaha sana

    Iko hivi kuna demu bhana mm nilimtongoza akakubali vizuri nikadate nae baada ya kudent akanambia na. Birthday ya mtoto wake hivyoo anataka nimpe kama 1500 ambayoo kibongo bongo ni 30000 kumbuka mm niko kenya sasa bada ya mm kumtosa akanidharau ooooh sijuii kwanza huna mbele wala nyuma sikujuu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tunakushukuru sana kijana wetu IBRA BAKA

    Hakika umekuwa mzalendo halisi wa Znz
  18. G

    JamiiForums Tanzania "Kumradhi! Kuna changamoto kidogo" zimekuwa nyingi sana

    Oops !!
  19. JamiiForums Tanzania Tangu Pogba na Diallo kuilaani Israel hadharani mambo yao yamewaendea vibaya sana.

    Yeeerrreeehhh! May 2021 Hamaswalianza uchokozi walirusha makombora mengi sana kwenye anga teule la Israel. Israel ikajibu kwa kuwashushia vitu vizito sana vyenye ncha butu vikigusa ardhi vinalipuka na wanaosalia kubaki kulialia hovyohovyo ooh wateule wanaua wanawake na watoto. Baadaye watu...
  20. JamiiForums Tanzania Goli la Mukwala ni goli Bora Sana

    Goli Bora huwa na mambo yafuatayo. 1. Umuhimu wa goli 2. Limefungwaje 3. Juhudi na weledi wa mfungaji 4. Ubora na defensi ya waliofungwa. Sijasema goli zuri bali nimesema goli bora. Mkwala kafunga goli bora Sana.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…