sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa 1990's, tulifurahia sana televisheni enzi za Analogy

    Pamoja na changamoto mbalimbali tunazo kumbana nazo katika harakati za safari ya maisha, lakini ndiyo Raha ya safari. Maisha yangekuwa yamenyooka tu bila changamoto za hapa na pale, sidhani kama tungefurahia maisha. Changamoto ndio Raha ya safari ya maisha na ndio zinafanya Dunia unakuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Wazee wa zamani walikuwa Fighters! Maisha yalikuwa magumu sana

    Kila nikikaa na kufikiria jinsi Dunia ilivyopiga hatua kwenye sayansi na Teknolojia huwa nafikiria maisha ya wazee wetu wa zamani embu fikiria Dunia bila mitandao ya kijamii WhatsApp ,insta au Google. Fikiria Dunia bila SIM banking hizi za Tigo pesa , M pesa , Zamani ilikuwa ukikwama ki fedha...
  3. JamiiForums Tanzania Mapenzi ni matamu sana ukiyapenda tufanye mapenzi ni rutuba ya akili, utulivu na amani

    Acha tuambiane ukweli usikose mapenzi na kufanya mapenzi uko hatarini kuwa mwehu na kukosa afya akili, unapungukiwa furaha na amani, unakuwa zobe, zuzu, bwege, unakuwa kichaa unajawa na hasira hasira, kununa, kususa, umbea mwingi, unakosa focus na concentration ya kufikiria vizuri. Damu inakosa...
  4. JamiiForums Tanzania CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024

    The draw will commence with the TotalEnergies CAF Confederation Cup Group Stage Draw at 15h00 East African Time (EAT), followed by the TotalEnergies CAF Champions League Draw at 16h00 EAT. Live Updates... https://www.youtube.com/live/5dTi02vfih8?si=WML4Hb5ZtrEVzEHk CAF CONFEDERATION CUP...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano kwamba wanaoteka na kuua wanafanya hivyo kwa maslahi yao bila raisi Samia kujua kwa kuwa wananufaika na uwepo wake madarakani?

    Kuna watu wamemlaumu raisi Samia moja kwa moja kwamba anahusika na utekaji na uuaji unaofanyika nchini kwa sababu kuna viashiria vikubwa sana vyombo vya dola vinahusika katika uhalifu huu. Lakini je, ni kweli kwamba raisi Samia anahusika moja kwa moja na utekaji na uuaji unaofanyika nchini hivi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mitano tena kwa Rais Samia Suluhu

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameonyesha sifa kadhaa ambazo zinaonekana kufanana na sifa za rais bora: Uadilifu: Rais Samia ameonekana kujitahidi kufuata maadili ya uongozi na kutoa kipaumbele kwa maslahi ya umma. Uongozi bora: Tangu kushika madaraka, Rais Samia ameonyesha uongozi...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Profit ni kitu muhimu sana kwenye kuamua biashara ya kufanya, ukiwa na mtaji mdogo epukana na biashara zenye faida chini ya 10%

    Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina, Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5% Utachelewa sana
  8. L

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba Sana

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi CCM Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makala.Amesema ya kuwa kitendo walichokifanya baadhi ya wanawake wa CHADEMA kuchoma Kanga ni Kitendo cha Kishamba sana alichokishuhudia . Gwiji na nguli huyo wa mahesabu na uhasibu na...
  9. JamiiForums Tanzania Ni kwanini uhai wa mapenzi ya kujionyesha mbele za watu kwamba mnapendana sana huwa hayadumu?

    Mifano ni mingi sana humu nchini. Hivi shida hasa huwa ni nini, licha ya kujiapiza na kusifiana kupitiliza mtaani, mitandaoni na kwenye vyombo vya habari mpaka kutoa machozi, lakini mwisho wa siku ndoa au uhusiano una sambaratika vizuri tu. Huwa ni macho ya watu wabaya au maombi mabaya ya watu...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

    Mimi ni mkristo na ninaamini Mungu yupo na anatenda. Ila kuna mambo ukisoma kwenye biblia lazima ujiulize maswali mengi sana yanayokosa majibu. Leo nitashea nanyi mambo ambayo naona kama yana ukakasi; 1. Kwenye Mwanzo 1:26 imeandikwa kuwa Mungu alisema tuumbe mtu kwa mfano wetu. Nimejiuliza ina...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna trend mpya hapa mjini toka 2022 ila kwa sasa inakua kwa kasi sana, yaani karibu kila dem pisikali ana dem wake wa kiarabu

    Aisee ukiona dem wako ni mzuri na ni mweupe lakini ana mazoea ya kupitiliza na dem mwingine wa kiarabu basi odds kubwa ni kwamba wanasagana. Nina mifano mingi sana na nilianza kuobserve hili swala toka nikiwa Morogoro, na baadae kwenye kona mbalimbali za dar. Mifano ipo mingi sana, siwezi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Polisi: Msamaha wa kutoshtakiwa kwa wamiliki wa silaha kinyume cha sheria walioanza kusalimisha silaha kuanzia Sept 1 - Okt 31

    Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa taarifa rasmi kuhusu operesheni mbalimbali zilizofanyika katika kipindi cha hivi karibuni. Taarifa hiyo inatoa muhtasari wa hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo katika kudhibiti uhalifu na kuhakikisha usalama wa raia. Katika taarifa hiyo, Jeshi la Polisi...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Wapishi wa Keki za Shughuli Kuweni wasafi, Hizo picha za snapchat zinadanganya sana wateja wenu

    Salaam Leo katika pita pita zangu ndio nikaona jiko yale sijui ma oven makubwa wanapikikia keki. Yaani hadi kichefu chefu, anayepika mchafu, jiko halijaoshwa kama mwezi hv, hapo anapopikia watu wanaingia na ndala, hawana gloves yaani kikubwa tu keki ziive. Ushauri kwa mabwana afya na maafisa...
  14. JamiiForums Tanzania Mnisamehe sana Nilikuwa Nakosea sana Mwanamke kuwa na Chuchu Dodo bila Nyashi haina vibes za kudumu kwenye Mtanange

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, mimi nimekuwa muumini sana wa kipaumbele cha chuchu Dodo, ila kwa hakika naomba nikiri niombe radhi nilikuwa nimepotea kimtizamo na kivigezo , Nyashi Ina mchango mkubwa sana kwenye mvuto na hisia za mizagamuo. Sitaki niwachoshe itoshe kusema hivyo ntaendelea na...
  15. JamiiForums Tanzania Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
  16. JamiiForums Tanzania Shaffih Dauda mnafki sana

    Hiki ndicho alichopost katika page yake ya twitter
  17. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapomvalisha mwenzio pete kanisani ama kokote ikadondoka usidharau

    Mkutoka hapo mkafunge mkaombee sio jambo la kawaida nawashauri Na ishahidi wengi yaliyowatokea wamelia kwenye ndoaa nami nataka wewe unaejiandaa kwa ndoa usiogope Ikikutokea hiili nendeni mkakemeee mkaombe tobacco na rehema kuna rohoo mmetupiwaa Msisahauu kutoa sadaka kwa ajili yahayo maombi...
  18. JamiiForums Tanzania Benki kuu kununua madini, kama ni kweli asee hongera sana kufanya hivyo

    Chekini wenyewe
  19. JamiiForums Tanzania Mbona pesa imekuwa ngumu sana, Mbona kila mtu analalamika, Kwani shida iko wapi?

    Hakuna salamu Moja kwa moja kwenye mada, Kwani nyie wenzetu mnapata wapi pesa, mbona biashara zimekuwa ngumu sana, yaani kweli hadi kijana wa chuo kikuu yupo field kwenye taasisi moja hv eti anakwambia, Braza toa elfu 30 ya faster niipileke document yako kwa incharge akupitishie faster. Mbona...
  20. JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

    Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama. Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi. Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…