sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kifo cha mbwa wangu kimeniuma sana

    Habari wana-JF Suala hili la kikatili la kufiwa na kitu nipendacho maishani mwangu. Nimeamini kweli kifo hakichagui cheo, rangi wala pesa. Kiumbe (Mbwa) hicho nilikipenda sana tena sana RIP CHIWAWA 🙏 Mbele yetu nyuma yako
  2. JamiiForums Tanzania Inatesa ukiwa mtu wa huruma hata kwa wale wanaokuumiza. Hakikisha hukumbatii chochote kinachokunyima furaha, tunaishi muda mfupi

    Ukimwona adui anafuraha juu ya changamoto aliyokusababishia unaumia lakini adui huyohuyo akipata matatizo unaumia moyo hupendi kumwona hana furaha Ukimwona mwanayanga anafuraha Simba ikifungwa unaumia, wanayanga wakifungwa ukiona wanaumia nawe unaumia moyo kwanini hawana furaha, kwanini...
  3. JamiiForums Tanzania Magari kuchezewa Kilometa hata Japan wanachezea la msingi ni kuwa makini sana

    Ishu ya kuuziwa gari na fake kilometers ni jambo la kawaida sana kwa mtu ambae hata kuwa na umakini wa "umakini" tumezoea magari Used kuchezewa kilometa kwenye yard za bongo, lakini kumbe hata Japan wanacheza nayo vile vile. Nina mfano hapa chini wa INSPECTION CERTIFICATE na EXPORT CERTIFICATE...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume wa namna hii wanapendwa sana

    Kwema wakuu, Hebu tujadili kidogo, wanaume wa namna hii mbona wanaongoza kwa kupendwa na wadada?
  5. JamiiForums Tanzania Jana nilikuwa maeneo ya Black and White pale Moro Town. Kuna hii bar ina nyama choma nzuri sana

    Jana nilikuwa maeneo fulani pale black and white (Moro Town) hii bar ina nyama choma nzuri sana. Napenda kukaa konani sana Mara pah wakaja wadada wawili wakaka pale mezani, simu yangu ikaita kuna mtu alinipigia simu alikuwa na changamoto yake ila huwa sipendi kuongea na mtu mazingira yasiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Malezi ya watoto sikuizi mabaya sana

    hellow weekend SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua majina ya wazazi wangu pia mtu maarufu pale mtaani najua Sikuizi watoto wanaenda shule wanapelekwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Chuki ya siasa mbaya sana kwa nini ulazimishe kuwaongoza

    Uongozi kiroho ni baraka unapofanya hira kuiba BARAKA ya MTU hutabaki salama,
  8. JamiiForums Tanzania Wanaume, kumfanyia hivi mwanamke wako haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kubwa sana kwake

    Kaka ishi nayo hii, haiondoi uanaume wako ila inakupa thamani kwake na kuwa mtu bora sana Wakati mwingine tunamchosha kwa hekaheka za usiku, amelala hoi kwasababu ya hekaheka za mahakamani yawezekana mchuano ulikuwa mkali na wenye hoja ulimlazimu kujitetea sana. Yawezekana yupo kwenye period...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Wanachofanya CCM na TAMISEMI ni ulevi mbaya sana wa madaraka

    Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi? Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa...
  10. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Mwanaume aliyelelewa na mama tu sio mzuri sana kwenye kupanga naye mikakati kama wanaume

    Hapo vip! kiukweli binafsi hili limenitokea mara kaza,kuna jamaa huwa napanga naye mikakati mara nyingi na sometime hata nampotezea ananitafuta mwenyewe ila kila nikiweka naye mkakati sereous,anabadilika from no where au anayeyuka tu na kupotea baadaye anakuja kwa njia nyingine. Nikaanza...
  11. JamiiForums Tanzania Tusiwekeze sana maisha yetu kwenye ushabiki wa soka, tuzikumbuke familia zetu

    Wachezaji, makocha, mameneja, maafisa habari na waajiriwa wengine pamoja na maafisa ubashiri wao wana kila sababu ya kuwekeza huko maana wanaingiza moja kwa moja kipato chao kupitia soka. Mashabiki siku zote huwa ndio watoaji; wanatoa fedha kwa ajili ya kiingilio, wanatoa muda wao, wanatoa...
  12. JamiiForums Tanzania Hili jambo linanifikirisha sana

    Za asubuhi,, Hivi shetani yupo kweli au ni hadithi tu za wazungu ??? Mtu anaamua kufanya ubaya yeye mwenyewe anaanza shetani kanipitia yupo kweli??
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida

    Ukiwa unampa sana mama yako pesa, anahisi kuwa wewe unazo sana. Hata kama umejitoa tu ili mama yako asipate shida, kuna namna anaamini kuwa huyu mtoto wangu anacho tu! Hivyo, mara nyingi anachukua matatizo ya ndugu wengine na kukuletea! Ndiyo maana ndugu wengi sana watamfuata kumuomba msaada...
  14. JamiiForums Tanzania Kiukweli wazungu ni wabaguzi Sana!, Sio tuu wanawabagua wanawake, bali hata Afrika, Sijui Wanatuona Kama Manyani?

    Wanabodi Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke...
  15. JamiiForums Tanzania Iran isitumie nguvu kubwa Israel imeshatepeta ni ya kujipigia tu

    Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa kupangua zaidi kulipuliwa ikiwa na air defence missile. Na tayari wameshaanza kufarakana ni jukumu la...
  16. JamiiForums Tanzania KERO Huduma ndani ya Treni za SGR zinasikitisha sana

    Habari zenu wana bodi ya Jamii Forum, Napenda kuwajulisha kwamba nimeipanda SGR mara tatu na mara zote napanda mabehewa ya Business Class. Hiyo treni ni nzuri kwa macho lkn kwa huduma ni sijapendezewa nazo sana katika maeneo yafuatayo: 1. Wao wametoa maelekezo kwamba abiria wa SGR haruhusiwi...
  17. JamiiForums Tanzania Polisi ijitafakari, inaajiri vilaza sana

    Wazee kwema, Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?. Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na polisi viaz sana na mbaya zaidi wameletewa pilau wale mama ya nchi. Katika mabishani mawili matatu...
  18. JamiiForums Tanzania Amenisumbua sana kuwa ananipenda nikamkatalia, alipozidi kunisumbua nikamwomba laki 1 niende hospitali, saivi hapatikani hewani, nifanyaje?

    Sasa kwanini umsumbue binti wa watu na hela hautoi Mapenzi gani unataka kwa mwanamke akikuomba hela unakimbia simu? Kama unataka mapenzi ya Bure nenda kwa Yesu Alisikika mama mmoja hospital akiwa na mwanae wanasubiri kuingia chumba cha daktari.. Wanaume vipi tena mnakwama wapi?
  19. D

    JamiiForums Tanzania Aliyoyafanya Egonga yapo duniani kote sema ni siri tu! Ila watu wengi sana wanatafunana maofisini kimya kimya

    Yaliyotokea huko ikwitorio Guinea kwa bwana Egonga yapo duniani kote sema ni kimya kimya! Tukichambua yaliyo kwrnye taasisi kuna vidada vinaviherehere kila mkuu wa idara mpya au meneja akija huwa vinajigongesha ili vitafunwe! Ukiachia hizo mambo kuna vidada huwa vinasimuliana na kujipendekeza...
  20. JamiiForums Tanzania Napambana sana niwatoe hatua moja ndugu zangu

    Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu. Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake. Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…