sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ndugu Zangu, Hususani wa Jukwaa la Siasa, Hakikisha Miongoni Mwa Malengo Yako Kwa Mwaka 2025, Unakua na Bima Ya Afya.

    Itakusaidia sana na kukuepusha na fedheha za kujifungia ndani kwasababu huna pesa ya matibabu, au kujiuguza kwa kukimbilia kununua panadol tu, au kufakamia dawa ambazo si sahihi kiholela dhidi ya ugonjwa au maradhi yatakayokua yanakusumbua, Lakini pia bima ya afya inaondoa unyonge na inaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa hii kauli ya Wenje, Msajili Ashurutishe Vyama Vya Siasa Kuchapisha Taarifa zao za Kifedha Haraka Sana

    Sheria ya vyama vya siasa inataka vyama kupeleka taarifa zao za kifedha kwa msajili kila mwaka; kwakuwa vyama hivi vina maslahi kwa nchi, ningependekeza ofisi ya msajili kuzitoa taarifa hizo kwa umma wa watanzania, kuna viongozi wanastahili kufunguliwa kesi za matumizi mabaya ya fedha za umma...
  3. JamiiForums Tanzania RTO WETU .TUSAMBAZE NA MATRAFFIK LEO SIKUKUU KUNA MENGI SANA MTAKUTANA NAYO KESHO MNGEWEZA KUWATHIBITI

    HESHIMA kwako RTO wangu Nianze kukutakia hero ya MWAKA mpya na kikosi kizima cha barabaran Nisichukue mdawako sana naomba mh traffick wasilale mpaka saa saba wawe barabaran KUNA matukio siku ya leoo MKIWEZA kuthibiti HATA ajali zitapungua keshoooo Mungu awabariki
  4. JamiiForums Tanzania From Wailes Primary Kayumba to Azania Sec . Hongera sana Naynay wa Tandika House Of Fashion.A zote za kijana wako zimeniheshimisha kwa mama mkwe wangu

    Salha ( 19) is one of my girlfriends. She was born in 2005. Her mother was born in 1988. I am 3 years older than my mother in law. Nampenda Salha kwa sababu ana nyota Kali sana ya hela. Kwa mnao shangaa how comes Likud ninakuwa na mademu wengi hivyo? The answer is here 👇👇👇 Nina mademu wengi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita Kawawa achia jimbo, unapinga maendeleo hata kwa ambao hawajatangaza nia ya kugombea. Achia Namtumbo yetu tunateseka sana

    Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI. Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
  6. JamiiForums Tanzania English Medium ziko Ovarated sana. Hakuna elimu pale zaidi ya utapeli. Shida ni tumekuwa Brainwashed sana

    Nasomesha Englisha Medoum ila ukweli ni kwamba sijawaji zikubali hizi shule, Shule zimejaa janja janja nyingi sana kuliko kutoa elimu ni full hadaa na wanajua fika kucheza na akili za wazazi wajinga Sijawaji amini kwamba kuna elimu bora kwenye shule za English medoum, kuna elimu ya kawaida sana...
  7. JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu ni muongo sana

    Akihojiwa na wasafi media, moja kati ya viongozi waandamizi wa chadema, Mr. Wenje amesema kwamba Lissu ni moja kati ya waandamizi wa uongo katika chama hicho. Na mara kadhaa amejaribu kupenyeza taarifa za uongo kufitinisha na kugombanisha viongozi wenzake wa chadema. Lissu mara kadhaa pia...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo tu ndani ya nyumba kwa matumizi anaongea sana na kununa nuna?

    Hebu niambieni ni kwanini Mwanamke akitumia hela Yake kidogo kwaajili ya matumizi ya ndani ya nyumba Huwa anaongea sana maneno mengi halafu muda mwingi anakua na hasira na kununa nuna hovyo ?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wenje kaongea utumbo sana Wasafi FM leo

    Nilidhani wenje ana elimu hata kidogo kumbe ni mweupe kiasi hiki. Contents nzima zililuwa zimejikita kwenye hisani ya ccm kuisaidi chadema au hisani kwa namna yoyote. Lisu anataka principals of administration weqe unazungumza hisani? Borq asingeenda wasafi fm amejidharilisha
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wenje: Lissu ni muongo muongo sana

    Wenje yuko live anamvua nguo Tundu Lissu. Asema hana sifa za kuwa kiongozi wa chama ni muongo muongo sana. Tuhuma zote anazotoa hazina uthibitisho ni za uongo uongo tu.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Niliwatukana sana wanaotelekeza watoto na wake zao. Mnisamehe

    Kuanzia mtani kwangu, masela wangu na hapa na pale. Nilikuwa sipendi kusikia mtu katelekeza watoto au mke wake. Braza wangu yamemkuta. Aisee usiombe. Jana tulikuwa kwenye kikao cha kugawana watoto tuanze kuwasomesha na kuwalisha. Hakuna namna sasa, hawa wanawake wanabadilika sana. Braza...
  12. JamiiForums Tanzania Wanafamilia wanaopiga magoti kusali pamoja wanauwezekano mdogo sana wa kugombana hovyo

    Kugombana kwa wanandoa ni jambo la kiroho na linamalizwa kiroho. Baba na mama wanaosali pamoja kabla ya kulala au asuhubi kabla ya kutawanyika wanajiweka katika uwezekano mkubwa wa kutogombana hovyo. Kuna majini maalumu kwa ajili ya kuchafua ndoa (demons of strife). Unapoendelea kuchochea onbwe...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe kwa aliyopitia na aliyofanya, naumizwa na kejeli dhidi yake LAKINI ni Muhimu sana atumie Hekima

    Sidhani kama kuna mtu ambaye anaweza kusimama na kwa dhamira akazikataa jitihada za Mbowe katika kuijenga CHADEMA na katika kupigania haki na demokrasia nchini Tanzania. Ni katika jitihada hizo, Mbowe aliwekwa mahabusu za polisi mara kadhaa, alifilisiwa kwa nguvu, alitumia muda wake, rasilimali...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anafaa sana kuwa mbunge au hata rais lakini sio kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

    Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM. Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio misemo Bora iliyobamba zaidi kwa mwaka 2024, upi ulitembea nao sana?

    Ubaya Ubwela Gusa achia Twende kwao Sicheki na Wowote Ninge comment ila Mwanasheria wangu yupo likizo We huogopi..! Yanga hii unaifungaje? Mtoto Kautaka Naijua hiyo Kipengele uje nacho wewe tajiri Watoto wa 2000 Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi Kamdomo Mambo kwa ushahidi Na hapa ipo...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika yetu ni ngumu sana kumuondoa kiongozi aliye madarakani iwe Ikulu au kwenye chama,Lissu angelijua hili mapema

    kwa africa kumuondoa incumbent leader sio kitu rahisi hata kidogo.inahitaji kujipanga hasa Nilitamani kuona Mbowe anatoka madarakani na Lissu ashike chama ila sioni kama Lissu amejipanga vyema. CHADEMA imepoa inahitaji mropokaji kama Lissu.tatizo hajajipanga
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hawabebwi, wana timu nzuri na ya ushindani ndani ya uwanja na wana mikakati ya maana sana nje ya uwanja

    Mpira ni mchezo wa wazi, jamaa wanavyocheza na aina ya wachezaji wao kusema kuwa wanabebwa sio ukweli Iła ni propaganda zinazoletwa na watu wetu ndani ya Simba kutuandaa kisaikolojia, hii vita ya ubingwa kwa watu wangu navowajua, nyie subirini mzunguko wa pili ławama zitakuwa kibao. Kunambia...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba imeshindikana kutengeneza miziki, comedy, n.k. bila vionjo vya Ngono, Vilevi, n.k. ? Tunapata taabu sana kuangalia tv na watoto

    Imekuwa too much sasa, Kitu pekee cha kuangalia na watoto ni katuni na mpira Mambo mengine kama miziki, Muviz, Comedy, n.k. uwe na remote ipo mkononi, kuna uwezekano wa 90% kutakuwa na maudhui ya ngono, vilevi, lugha chafu, n.k.
  19. JamiiForums Tanzania Tarehe 1 Januari itakuwa siku yako ya baraka sana #idai

    Tarehe 1 Januari itakuwa siku yako ya baraka sana #idai
  20. JamiiForums Tanzania Nawanda: Nilipitia kipindi kigumu sana kipindi cha kesi. Lakini imani yangu kwa Mungu imenisaidia kuvuka changamoto hizo

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda, ameweka wazi kuwa kipindi alichopitia kimekuwa kigumu sana maishani mwake, lakini imani yake kwa Mungu imemsaidia kuvuka changamoto hizo. Akizungumza jana kwenye misa ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na kumkumbuka baba mzazi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…