sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waislamu wanaamini Wakristo hawaendi Mbinguni na Wakristo wanaamini waislamu hawaendi Mbinguni. Vita ni kali sana

    Hii vita ni kali sana ambayo haina mwisho wake, Hiyo ni mpaka pale mtu utakapo kufa ni either ujue ukweli au upotee as kabla haujazaliwa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna anayesema wanawake wote wa makabila haya ni wasumbufu kwenye ndoa lakini kwanini wanaongoza kwa kulalamikiwa ?

    Kuna principle inasema to every rule there is always an exception, hata kwenye kundi linalosifika kuwa wasumbufu wapo waliotulia mpaka utashangaa na katika wale wanaojulikana wametulia wapo ambao ni wasumbufu pasua kichwa, kwahio haimaanishi ni wote. kwanini wanawake wa makabila haya wanaongoza...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

    Amani iwe nanyi Wanabodi, Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao. Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  5. JamiiForums Tanzania Hawa members ni chachu ya maendeleo na Burdan humu JF. Kitambo sana

    Yu wapi Nyani Ngabu ?huyu jamaa miaka yake amekula sana watoto wa humu. Akija TZ toka Marekani anakobeba mabox anarudi na Dollar. Anawakwangua sana mabinti wa JF. Amekuwa kimya siku hizi. Angalau leo nimemsoma GuDume hatari sana hii namba. BABU CHAFU. huwa nacheka tu napomsoma. Leo nimemsoma...
  6. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnawalea sana wanachama wenu wanaokengeuka, igeni CCM

    Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama. Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada...
  7. JamiiForums Tanzania Watanzania wana akili sana, inategemea unakujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa, anachokitafuta Mwamposa atakipata

    Watanzania wana akili sana, inategemea unakujaje, utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa, anachokitafuta Mwamposa atakipata Aposto amekuwa mtu wa kurusha sana vijembe kwa Watanzania, jambo linaloleta mtafaruko mkubwa sana ndani ya fikra za watu Nina uhakika hili fukuto litakwenda kummaliza...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana mzazi kusomesha mtoto degree ya udaktari, ajira hapati anaishia kuwa muuza pafyumu kwa kucheza cheza mtandaoni wateja waone bidhaa

  9. M

    JamiiForums Tanzania Airtel Money Changamoto Sana

    Jana jumamosi saa 6 mchana Nilifanya muamala airtel money pesa ya kununua ticket ya kusafiria jana usiku kwenda kusheherekea Eid Mkoa fulani. Airtel walikata hela ya nauli na ada yao ya huduma Tsh 900 kwa huduma hiyo. Hadi nafika kituoni kupanda basi jana saa 4 usiku muamala haujakamilika na...
  10. JamiiForums Tanzania The Bar was Low - vitu gani ulivumilia kwenye mapenzi zamani ambavyo ukikumbuka unajilaumu sana kujishusha thamani

    Haya walioko kwenye mapenzi The bar was soo low ndio habari ya kuulizana Tuambie kama uzi unavyouliza
  11. JamiiForums Tanzania Dr. Sulle unatudanganya sana hapa waislam na raia kwa ujumla

    Asalaam Aleykhum Warahmatullah wabarakatul Sheikh wangu Dr. Sulle unatudanganya sana na kupotezea Waislam mwelekeo wa kupata Elimu sahihi hasa ILMU DUN'YA Umesema kuwa jina la jiji kubwa Marekani LOS ANGELES limetokana na neno LOST ANGELS ndio maana kunq madhambi sana Marekani, kitu ambacho ni...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana mjifunze Kutongoza. Mmenisikitisha Sana kwa waliomfuata Binti Kimoso. Mbinu za kutongoza Mwanamke mtandaoni ni hizi;

    Habari za Jumapili! Hatukatai nanyi ni wanaume mnapenda wanawake wazuri Sana. Hatukatai wanaume tumeumbwa kuwajaribu wanawake kuona yaliyomo yamo na anamsimamo au Hana! Kama mwanaume kutongoza kupo damuni. Sisi Watibeli hatuzuii wake zetu au wachumba zetu kutongozwa kwa Sababu kuu mbili...
  13. JamiiForums Tanzania 4BEDROOMS GOROFA KALI SANA WITH TERRACE AT TOP MTEJA KAONA POST HAPA HAPA NA SISI TUKAMTOLEA KITU +255624004650

    WE DO DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES +255624004650 TUNAPATIKANA DSM SINZA
  14. JamiiForums Tanzania Nasikia harufu mbaya sana ya udini IPO siku bomu litalipuka

  15. JamiiForums Tanzania Watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.

    Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing. Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao. Fanya hivi ili kupata sales 1. Kutengeneza Authority kwenye...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Police Tanzania Babati Manyara ni changamoto sana

    Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
  17. JamiiForums Tanzania Je Unajua? 🐔🥚 Mwanga unaathiri Sana Kuku Wa Mayai?

    Kuku wanahitaji takriban saa 14–16 za mwanga kila siku ili kudumisha uzalishaji bora wa mayai. Ikiwa mwanga ni hafifu au haupatikani kwa muda mrefu, uzalishaji wa mayai unaweza kushuka kwa kasi. Hii ndiyo sababu wafugaji wa kisasa hutumia taa maalum za LED kudhibiti mwangaza, na hivyo...
  18. JamiiForums Tanzania Kitengo cha propaganda CHADEMA mmepoa sana!

    Nawashauri kipindi hiki kuelekea Oktoba na hatma ya uchaguzi mkuu jaribuni kuwa active. Wenzenu upande wa pili wako vizuri sana. Vijana wenu hasa kwenye online platforms waambieni wajaribu kwenda na kasi zaidi ya wenzenu upande wa pili. Pangu Pakavu
  19. JamiiForums Tanzania Wazee hivi huyu msanii trey Songz anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwasha sana

    Huyu mwamba alikua anatoa ngoma Kali sana Sasa hivi naona amestop kutoa ngoma na Mimi ni shabiki yake Sasa najiuliza jamaa anafeli wapi mbona mwenzie Chris brown anakiwashaa sana tu Sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini Kwa huyu mwamba
  20. JamiiForums Tanzania Car4Sale INAUZWA Landcruiser V8 inauzwa matajiri, karibuni sana

    LANDCRUISER V8 DJH YEAR 2011 UPGRADE TO 2016 ENGINE SIZE 4.5L ENGINE CODE 1VD-FTV DIESEL ENGINE✅ AUTOMATIC TRANSMISSION LEATHER SEATS✅ OPEN ROOF✅ NEW TYRES✅ PRICE 138M
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…