samsung

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nakopesha simu za mkopo aina ya Samsung A06, A07, A16 na A17

    Habari JF Kama kichwa kinavyojieleza ninakopesha simu za mkopo aina ya Samsung. Modeli no A06, A07,A16 na A17. Njoo na kianzio Cha shillingi elfu50 kwa Samsung A06 na A07 Ili uanze kumiliki simu Yako. Viambatanisho ni namba ya NIDA, leseni ya UDEREVA au kitambulisho cha mpiga kura. Dar...
  2. JamiiForums Tanzania Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

    Habari wakuu ..! Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao. Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu...
  3. JamiiForums Tanzania Samsung wamezindua simu Galaxy S26 Series!

    Ni February nyingine, Samsung wanatuletea S Series. Wamekuja na S26, S26+ na S26 Ultra. Kusema kweli mabadiriko ya kimuonekano ni madogo sana ukifananisha na S25 kwahiyo vichache vya kuandika.
  4. JamiiForums Tanzania Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  5. O

    JamiiForums Tanzania AUDIO DOCK ZA SAMSUNG KAMA DA-E750, DA-E670, and DA-E550, IPI NI BORA ZAID KATI YA HIZI NAFIKIRIA HII 550 KAMA KUNA MTU KADHATUNIA NIPE UZOEFU

    Vipi kuhusu ubora WA sauti, uimara n.k Extrovert
  6. T

    JamiiForums Tanzania Iphone 17 pro max vs Samsung S25 ultra. Ipi ninunue?

    Maoni yenu wakuu. Zote ziwe 512GB. ipi nichukue, ni mtumiaji wa ios na android pia. Nilitaka nibebe zote pamoja, lakin nataka nianze na moja. Kama kuna tofauti na hizo ambazo bora zaidi nakaribisha pia. Asanteni.
  7. JamiiForums Tanzania SAMSUNG galaxy A36

    Wadau naombeni kuuliza ubora wa Samsung Galaxy A36 ninataka nimununulie Bi Mkubwa simu kwake kwa ajili ya kupiga na kupokea simu she is around 60’s Kingine Price yake inaweza kuwa shilingi ngapi? Kwa maduka ya Tanzania? Na Ni maduka gani highly recommend? Kwa sababu binafsi Samsung Sijawahi...
  8. JamiiForums Tanzania Kati ya Samsung S25 Fe na Xiaomi 15T ipi bora

    Merry Christmas and happy coming new year 2026 Wakuu tukielekea kumaliza mwaka, bado naendelea kufanya research ya simu ya kuichukua, nimekutana na Samsung S25 Fe naona inashawishi kidogo kutokana na features zake sasa nimekuja kwa wataalam, kati ya Samsug S25 Fe vs Xiaomi 15T ipi kali
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Samsung A05, bei 170K

    Habari wakuu nauza Simu Samsung A05 bado mpya. Ram 4gb, Storage 64gb, bei yake 170K
  10. JamiiForums Tanzania Je ni kweli Samsung ina App ya Siri Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake

    Kumekuwepo Na Taarifa Ambayo Imechapishwa Kwenye Mitandao wa Facebook Ikieleza kuwa Simu za Samsung Zina App Ambayo Inakusanya Taarifa za Wateja Wake..je ukweli wa Taarifa hii Upoje? Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kama unatumia samsung hauko salama tena

    Inawezekana umeshangaa au kushtuka lakini Kuna habari inasambaa mtandaoni kuhusu app ya Siri ambayo imewekwa kwenye Simu za Samsung haiwezekani kufutika ikiwa unataka kuiondoa. App hiyo inaitwa Appcloud, ni app ambayo Kwa miaka mingi, inajihusisha na masuala ya kibiashara ikikupa uwezo wa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A16 inauzwa

    Brand new.imenunuliwa week iliyopita. Inauzwa. Sababu za nje ya dharura.
  13. JamiiForums Tanzania Nauza TV Samsung 32 Inch kwa Tshs. 190,000 tu

    Iko katika hali nzuri kabisa haina shida yeyote. Piga or WhatsApp 0788893364
  14. J

    JamiiForums Tanzania Samsung Galaxy Tab 8 Inauzwa

    Nauza Samsung Galaxy Tab 8 Kwa Tsh 250,000,Iko kwenye hali nzuri na Ina mwaka mmoja. Kwa maelezo zaidi unaweza njoo inbox.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Simu aina ya Samsung S9 inauzwa

    Samsung S9 Camera Gb 64 Ram 4 Bei 180 Sim Imenyooka Sana Sim Mpya Kabisa Piga Sim 0612323330
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sim INAUZWA SAMSUNG galaxy a14

    Samsung A14 Camera 🔥 Sim Mpya Official sio mkopo Gb 64 Ram 4 Bei 185 Chapu Piga sim 0612323330
  17. JamiiForums Tanzania Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

    Lakini washikaji hawataki kunielewa hapa wananiambia eti nimeacha bunduki nimechukua rungu🥲🥲🥲
  18. JamiiForums Tanzania Nauza simu ya SAMSUNG S10 PLUS

    Wakuu, nimepatwa na shida ya ghafla, sana, mwanangu anaumwa, na hapa nilipo sina namna tofauti na kuuza simu yang. Samsung S10 PLUS.. Gb 128 Ram 8 PRICE 280,000. Location: Ubungo Riverside. Phone 0687516723, (whatsapp 0752663748 / 0620224372 Haina shida yoyote. Kama upon tayari unaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Tesla 5G Smartphone Mpya – Pi Max Kuchukua Soko la iPhone na Samsung?

    Kampuni ya Tesla, inayojulikana kwa ubunifu katika magari ya umeme na nishati safi, sasa imeingia rasmi kwenye soko la simu za kisasa kwa kuzindua Tesla Pi Max. Simu hii imeundwa kwa teknolojia ya hali ya juu na inalenga kushindana moja kwa moja na iPhone na Samsung katika soko la simu za...
  20. M

    JamiiForums Tanzania SIM INAUZWA SAMSUNG GALAXY A32

    Samsung Galaxy A32 Camera Gb 128 Ram 4 Sim Bado Mbichi Bei 230 Maongezi yapo Kidogo Piga sim chapu 0612323330
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…