samiah

Samiah railway station (Urdu: سامیہ ریلوے اسٹیشن) is a railway station located in Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Marco Seth

    Kinachoenda kutokea Tanzania

    11/12/2025 when i was sleeping during midnight I saw ♦️ red crystal from the sky was falling toward the road. One servant of God said “She is in the process to have death“ Pray for Tanzania 🇹🇿 Proverbs 14:34 "Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
  2. R

    Kwa nondo toka kwa Padre Kitima, Rais Samia hakuna atakayekuelewa leo. Ni Bora ukae kimya!

    Huo ndio ukweli,kale ka hotuba ulikokaandaa kabla ya tnondo za kitima ka edit kwanza au kaa kimya tu!! Hakuna aliejiandaa kukuelewa kabisa hasta wanaccm wenzangu wengi hawatokuelewa, Tanzania inanuka damu iliyomeagika October 29,Damu haiwezi kulipwa Kwa vijineno kama hivyo na komedi za nchemba...
  3. Marco Seth

    Unabii mzito kwa nchi

    Unabii uliotolewa kuhusu Nchi ya Tanzania Mungu hajafurahishwa na Madaraka ya sasa Watanzania Tuungane Tuombe kwa Pamoja kuombea Nchi kuhusu Utawala Mungu atatusikiliza (Tumuombe) hii ndio Option tuliyonayo tuliopewa na Mungu Kabla ya Roho ya Vita kuachiliwa Kwa muda mrefu Tumepewa Amani...
  4. Marco Seth

    Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  5. R

    Samia, CCM na wanasiasa sio wa kulaumiwa!wapo wanaopaswa kulaumiwa juu ya haya yanayotokea!

    Ni rahis kusema CCM inaharibu nchi,Samiah kafanya vile pia wanasiasa wanafanya bike ndio maana tumefika hapa! Kabla samiah hajashika madaraka Tanzania ilikuwepo,kabla ccm haijaanzishwa mwaka 1977 Taifa lilikuwepo,na kabla mwingine hajawa rais was nchi atakuta Taifa liitwalo Tanzania lilisha...
  6. Marco Seth

    Ukweli mgumu kwa nchi

    Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
  7. FRANCIS DA DON

    GE2025 Je, Uharam wa ‘Candidacy’ ya Rais Samia hauwezwi kupingwa mahakamani?

    Vielelezo vyote vimewekwa wazi, na sasa ni dhahiri kabisa, kwa mujibu wa katiba ya CCM, kwamba ugombea wa kiti cha Urais wa Mh. Samiah Suluhu Hassan ni HARAM. Sasa je, haiwezekani ‘Concerned members’ wa. CCM kwenda kuweka zuio la muda la ugombea wake hadi ule uharamu wake utakapoamuliwa na...
  8. kekundu

    GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

    Kiukweli kutoka moyoni kwa niaba ya watumishi wa umma wa Tanzania hatuna deni na Mh Rais, toka kaingia madarakani amepandisha watumishi madaraja kila mwaka, kaongeza mishahara mwaka juzi na Kubwa kuliko Ongezeko la mshahara mwaka huu Julai 2025. TUNASEMA HIVI MAMA UNA KURA ZETU SISI WATUMISHI...
  9. Marco Seth

    Nani alifaa baada ya Kifo Cha JPM?

    Wewe uliona nani Angeendelea kuuongoza Urais baada ya kifo cha JPM
  10. Marco Seth

    Fizikia na Hesabu ni rahisi, kwanini watu wanaona ni ngumu?

    Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎. Namshukuru Mungu alinipa siri yake Nikawa nafaulu Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics Kila kitu kinawezekana Physics na Math ni masomo yanayohitaji watu waliotayari kufikiria sio wazembe . Watu waliopewa uwezo na Mungu Kuyavumbua na...
  11. Marco Seth

    Gravity ni Nini ?🤔imetokea Wapi?

    God In his Creation Created Gravitational Force Gravitational force is the fundamental force of nature that cause objects with to attract each other According to Universal law of Gravitation State that The Universal Law of Gravitation, also known as Newton's Law of Universal Gravitation...
Back
Top Bottom