samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. UTAFITI: Rais Samia awapiku Ruto, Kagame na Museveni-Moody's

    TANZANIA YAZIPIKU KENYA NA UGANDA UWEZO WA KUHUDUMIA DENI LA TAIFA Mwaka 2024 kampuni inayoheshimika zaidi Duniani kwa Uthamini wa Uchumi na Madeni ya Moody's wameitaja Tanzania chini ya Rais Samia, kama nchi inayoweza kuhimili vema deni lake kwa kuipa Daraja B1 wakati Kenya ikiambulia B3...
  2. J

    Hivi Rais Samia anawezaje haya yote?

    Chini ya Rais Samia amana zimefikia TZS 42Trilioni, Tuulizane mama amewezaje yote haya? Wakati Rais Samia anaingia madarakani Tanzania ilikuwa na kiasi cha amana(deposits) kwa fedha za ndani (TZS) na amana kwa fedha za kigeni ($) jumla ya TZS23Trilioni mwaka 2020, Kiasi hiki pamoja na amana...
  3. J

    Usafirishaji: Rais Samia apendelea wazawa

    Usafirishaji: Wazawa chini ya Rais Samia waula Mwaka 2020 jumla ya miradi ya wazawa katika Sekta ya usafirishaji mizigo iliyosajiliwa katika kituo cha uwekezaji ilikua ni 6 huku idadi ya miradi ya wageni ikiwa ni 5, katika kipindi cha uongozi wa Rais Samia miradi ya wazawa kwenye sekta ya...
  4. J

    Rais Samia aajiri Polisi Wapya 16,000

    HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza...
  5. Je, CCM kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea pekee ni mkakati wa kumtengenezea njia kiulani mtu fulani kwa 2030?

    Kiuhalisia mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza miaka 10 ya mihula miwili ya awamu ya tano yaani 2015-2025 ambapo hayati John Magufuli alifariki mwezi March 2021. Lakini kilofanyika Dodoma miezi michache ilopita katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilikuwa ni kumtangaza rais Samia...
  6. Chanzo cha mapato cha Samia ni kipi kuweza kutoa hayo mamilioni?

    Naona mkuu wetu wa nchi anatoa mamilioni ya fedha, mara knockout ya mama, mama goli la mama, mara achangie milioni kadhaa mfano juzi katoa kuchangia mili9ni 50 KKKT na si mara moja tunaona akichangia hayo mamilioni. Kiujumla ni jambo zuri kuonesha hamasa ya kuunga mkono, sasa je kipato chake ni...
  7. S

    Naomba niwaulize Polisi: Hivi nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Rais Samia, kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe?

    Kuna wakati huwa najiuliza namna akili ya Polisi wetu wa Tanzania inavyofanya kazi nashindwa kabisa kuwaelewa. Nikisema siku nikimkamata mtu anataka kumdhuru Raisi Samia kichwa chake halali yangu; nitakamatwa nihojiwe kwa kumtishia mtu atakaemdhuru Samia? Kwa nini unikamate kwa kutoa kauli...
  8. R

    Rais Samia, inatosha waamuru wahusika wafungue mtandao wa X (Tweeter)

    Inatosha, nadhani hawa wanakuharibia historia yako ya baada ya kutoka madarakani. Inatosha. Fungua kila kitu...Lisu, X, na mengine mengi yaliyowekwa kwenye mikono ya shetani. Hakuna madhara kwako wakipost wanachotaka kupost. Ni mambo ya kupita katika siasa Hayapendezi
  9. E

    Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  10. K

    NAOMBA MNIWEKEE GAWIO LANGU LA SAMIA INFRASTRUCTURE BOND

    Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya miezi mitatu.
  11. Katuni hii ya Samia na Polepole inakupa picha gani ?

  12. Je ikitokea hii first eleven inaingia uwanjani, Samia atatoboa?

    Kikosi kiwe namna hii. 1. Dr Philip Mpango 2. Simbachawene 3. Mpina 4. Sugu 5. Job Ndugai 6. Dr Bashiru Alli 7. Halima Mdee 8. Josephat Gwajima 9. Kassim Majaliwa 10 Freeman Mbowe 11. Humphrey Polepole Coach Sinde Warioba Supersubs 1. Boniyai 2. Kigwangwala 3. Gambo 4. Kabudi Paramagamba 5...
  13. Kama Kada Mwandamizi na Mwanadiplomasia nguli anaweza kumkosoa boss wake hadharani hivi, basi Rais amezungukwa na genge hatari sana la kisiasa

    Alianza yule spika wa mjengoni (Job) wengine wakadhani ni mzaha, sasa amekuja mzee-kijana wa Cuba (Mr. Slow) akapita mule mule. Wote hawakujali nafasi zao kisiasa wala ukubwa wa bosi wao, wameshusha mashambulizi mazito mnoo dhidi ya mama yetu mpendwa wakisema utawala wake umekosa mwelekeo na...
  14. Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia Mkutano wa AU - Malabo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja...
  15. Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  16. Samia kumfutia hadhi ya ubalozi Polepole kama ilivyokuwa kwa Slaa?

    Simu ni nyingi sana kwa vigogo wa CCM kwenda kwa mama. Wengi wanamtaka afanye suala hilo haraka sana ndani ya saa 72. Lakini Polepole hana habari na hadhi hiyo wakati anarudi Iringa kulima alizeti.
  17. Adui wa Samia siyo Lissu wala Chadema.

    Nalizungumza suala hili kwa mara nyingine tena, niliwahi kulisema hili miaka 3 nyuma. Adui wa Samia na CCM yake kwa ujumla siyo Lissu wala Chadema bali ni wanachama wa chama cha Mapinduzi wenyewe. Kinachotokea sasa ni mwangwi wa mshindo mkubwa ambao umeshatolewa. Chama cha Mapinduzi kinaishia...
  18. PreGE2025 Vyombo vya Dola, Mna uhakika Samia hatoendelea kuwaingiza kwenye mtego wa matumizi ya Nguvu na Uvunjifu wa Haki za Raia?

    Hili Swali nililiuliza Punde tu Samia alipojiteua kua Mgombea !!. ( Unajua Mtego anaowaingiza Samia, utawafanya Vyombo Dola mnuke Damu za watu, matokeo yake mtajikuta mko Blackmailed, in turn mtajikuta nanyinyi mmeamua kutumia Mbinu za Uovu ili kuendelea kubakia Madarakani, mkiogopa kuchukuliwa...
  19. M

    Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  20. Huu wimbo umfikie Raisi Samia sikiliza hadi mwisho Kuna watu walimwona Kabla.

    GT Sanaa ilikuwa zamani siyo sasa wanashindana kutingisha makalio tu hawana ubunivu wowote. Kwa wimbo huu nadhani Prof J alimwona Samia ndotoni anakuja yanayotendeka sasa ni yaleyale 100% kwenye wimbo huu. Kiufupi watawala kuanzia awamu ya tano hadi sasa wana dhambi nyingi sana japo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…