samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Jibu rahisi tu Kwenu kwa wale mnaomshangaa Haji Manara kwa Kauli zake kwa Pro - Magufuli dhidi ya wale Anti - Samia

    Ni kwamba tayari kuna Mstaafu Mmoja aliye karibu na Mteuzi Mkuu Kikatiba nchini Tanzania ameshampigia pande ili nae apewe Cheo kama cha Mwenzake Jerry Muro. Baada ya Yeye ( Haji Manara ) kuona kuwa tayari Mambo yanaenda vyema kwa kuwa na dalili za Kuukwaa Uteuzi anachokifanya sasa ni...
  2. Rais Samia ana bahati ya kuwa kipenzi cha wapinzani, haijawahi kutokea

    Katika historia ya hii nchi haijawai tokea rais na mwenyekiti wa CCM akapendwa kiasi hiki na wafuasi wa vyama vya upinzani. Naweza kusema taifa limepata bahati kubwa kuwa na kiongozi mwenye ushawishi wa kipekee. Ni Rais ambaye hata ikitokea amekosea lawama zake atabebeshwa Kikwete au Magufuli...
  3. CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  4. M

    Rais Samia: Tumeshalipia treni 19 za Umeme na mabehewa 89, Seti 10 za treni na mabehewa 80 kwaajili ya mizigo

    === Serikali ya Tanzania imesema imeingia mkataba wa ununuzi wa mabehewa ya abiria 89, vichwa vya treni ya umeme 19, seti za treni za kisasa 10 zenye behewa 80 vikiwa na gharama ya US$381,428,465 karibu TZS 880BL, Hayo yamebainishwa leo siku ya Jumanne Desemba 28, 2021 na Rais wa Tanzania...
  5. S

    Fatuma Karume: CCM wanamdharau sana rais Samia

    Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm. Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai...
  6. K

    Deni la taifa Rais Samia vs Spika Ndugai

    Huu ni mjadala muhimu kwa taifa. Kama ni kweli Serikali ilikopa $1.5B kujenga reli kwa riba ya 8% kwa miaka 6 huu sio mkopo mzuri kabisa. Riba kwanza ni kubwa kwa serikali kwa sasa . Riba za mikopo ya serikali kwa uchumi huu inatakiwa kuwa 5% tena kwa miaka 20 sio sita. Nitarudi...
  7. Vile tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa

    Picha ya pili ni Watanzania tunajifanya kuwa hatujamsikia Samia akidai kuwa amekopa concessional loan ya miaka 20 kwa ajili ya kujenga madarasa, wakati tulishaambiwa kuwa Tozo ni kwa ajili ya kujenga madarasa😁😁😁
  8. Rais Samia 'ampiga' Spika Ndugai

    Jana nilisambaa video ikimuonesha Spika Job Ndugai akitoa kauli zilizofanya watu wahoji nia yake dhidi ya Serikali iliyopo madarakani. Katijka hali ya kushangaza, Spika Ndugai ambaye alikuwa mmoja wa wapiga zumari wakubwa wa Serikali iliyopita, alionekana kukandia mikopo inayokopwa na Serikali...
  9. Rais Samia, kwa sasa anayekuharibia ni January, mfukuze watu wapone!

    Kwa nyendo zako za sasa yaani unapiga mulemule na hongera sana! Tatizo ni huyo January Waziri wa nishati anakuharibia kwa wananchi.Muda wote Tanesco wanakata umeme na hilo ni tatizo la Nchi nzima. Mfute kazi huyo mtu ili uwe upande wa wananchi.
  10. J

    Dar: Nukuu za Rais Samia wakati wa utiaji saini ujenzi wa reli (SGR) Makutupora - Tabora

    #DARESSALAAM :- NUKUU ZA RAIS SAMIA WAKATI WA UTIAJI SAINI WA UJENZI WA RELI MAKUTOPORA - TABORA Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini ujenzi wa reli ya kisasi (SGR) kutoka Makutopora- Tabora yenye urefu wa kilomita 368, kikiwa na thamani ya dola bilioni 1.98 sawa na Sh.4.4...
  11. Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

    Madai ya Askofu Jesephat Mwingira wa kanisa la EFATHA aliyoyatoa kwenye sherehe za Christmas aliyatoa sasa baada ya kuwa na Imani na serikali ya mama Samia. Aliona utu, uchaMungu wa dhati na utukufu ndani ya Rais Samia hivyo kuuona wakati wa kuyabwaga yote wakati huu ya moyoni mwake aliyofanyiwa...
  12. B

    Rais Samia: Tutaendelea kukopa tumalizie miradi inayoendelea

    Asalam! Rais wa JMT amefafanua kwa kina suala la mikopo ambalo limezua gumzo hasa baada ya Mh. Spika Job Ndugai kubeza suala la ukopaji. Rais ameelezea aina ya mikopo na muda wa ulipaji vs maendeleo yanayotengenezwa. Anasema Tanzania inajipanga kivitendo kuwa kitovu cha biashara kwa ukanda...
  13. Rais Samia kushuhudia utiaji wa saini wa Mkataba SGR

    Mkataba wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha kilomita 368 kutoka Makutupora hadi Tabora utatiwa saini leo Ikulu huku rais Samia akishuhudia Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
  14. J

    Rais Samia Suluhu amlilia askofu Dkt Ranwell Mwenisongole wa TAG

  15. Rais Samia: Nawatakia Heri ya Christmas na Mwaka Mpya Watanzania wote, nawaomba 2022 tuzidi kuwa Wamoja

    Nawatakia Watanzania wote Heri ya Krismasi na Mwaka Mpya. Tusherehekee kwa furaha, amani, utulivu na kiasi. Tuendelee kuwa wamoja katika mwaka 2022, tukifanya kazi kwa weledi wa hali ya juu, kwa uzalendo na kwa nidhamu, ili tuendelee kupiga hatua mbele zaidi kimaendeleo.
  16. Hongera Rais Samia Suluhu Hassan tunaanza kuiona Paradiso, angalia usihangaike na vipofu wasioona

    Mimi ni muumini wa viongozi Bora na sio watawala Bora. Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha yeye nikiongozi na sio mtawala, tulichelewe sana kumuona huyu mama, zamani nilikuwa mgumu wa kuamini kwamba mwanamke anaweza kuwa shupavu kama huyu Huyu ni bingwa wa diplomasia na ukiangalia hasa moyo...
  17. Pongezi nyingi kwa mama yetu kipenzi mama samia na serikali awamu ya sita.sikukuu hii watu wamesafiri sanaaaaaaa

    Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo hayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee...
  18. M

    Mafanikio ya Rais Samia kwa miezi 9 tangu aingie Madarakani

    MAFANIKIO YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN TOKA AINGIE NADARAKANI Mh.Rais Samia Suluhu Hassan: Ameendelea kujenga Nchi kwa kuendeleza Miradi mikubwa ya Taifa kama ilivyoainishwa kwenye ILani ya CCM ya Mwaka 2020-2025, Mradi wa Julius Nyerere Hydropoer Poject-JNHPP wa Megawatt 2115 umeendelea...
  19. Maswa: Wakazi elfu 10 kunufaika na mradi wa maji wa Rais Samia wa Isulilo

    MRADI wa Maji ya bomba wa kijiji cha Isulilo katika wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kuwanufaisha wananchi wapatao 10,497. Mradi huo unatekelezwa na wakala wa maji na usafi wa mazingira vijijini(Ruwasa) kwa ufadhili wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Meneja wa Ruwasa wilaya ya...
  20. M

    Daraja jipya la Selander lakamilika, Kufunguliwa Desemba 27, 2021

    Kampuni ya kikorea GS E& C wamemaliza ujenzi wa Daraja jipya la Selander ..mradi huu mkubwa utafunguliwa tarehe 27 Dec 2021. Hii ni hatua njema ya ukamilishaji wa miradi yetu kama ilivyo kwenye Ilani ya ccm ya mwaka 2020-2025. Daraja hili lina urefu wa mita 670 Ni aina mpya ya daraja ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…