samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia: Tumepokea ripoti za uchunguzi, tutafanya mabadiliko Polisi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema mapendekezo yaliyotolewa na tume zilizoundwa kuchunguza matukio yaliyofanywa na baadhi ya askari polisi baada ya malalamiko ya wananchi yataleta “mabadiliko kidogo ndani ya jeshi hilo”. Akijibu swali la mikakati ya Serikali itakayofanya raia wawe na imani na...
  2. #Mwaka mmoja# wa Rais Samia tunatarajia vitengo vya huduma za dharura zaidi ya 150

    Moja ya maamuzi makubwa yaliyifanywa na Mhe. Rais wa JMT Samia Suluhu Hasan ni kutumia fedha za mkopo wa uviko 19 kujenga madarasa na majengo maalumu ya huduma za dharura nchini. Hii ni kutoka sufuri hadi 150 . Best achievment in one year! CCM HOYEE!
  3. Rais Samia: Tutafanya mabadiliko kwenye Elimu. Mkuu wa Idara ya Elimu awe mmoja ndani ya Halmashauri

    Katika kurekebisha mfumo wa elimu ninashauri Rais aanze na hili nililolisikia leo ambalo sijaamini ,kuwa kila Halmashauti nchini Tanzania ina wakuu wawili wa idara za elimu ( Elimu msingi na Elimu Sekondari). Ninashauri ateuliwe mtanzania moja moja mwenye elimu na uzoefu wa kutosha kuisimamia...
  4. Rais Samia: Kauli yangu haina athari kwenye maamuzi ya mahakama

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kauli yake aliyowahi kuitoa BBC Swahili kuhusu Freeman Mbowe haina athari kwa mahakama na mwendesha mashtaka. Rais alisema Mbowe alifanya hesabu za kisiasa kwani alijua ana kesi ndiyo alianzisha maandamano ya Katiba Mpya Akihojiwa na BBC Swahili amesema kauli...
  5. Hivi IGP Sirro kwa kauli hii ya Mbowe, Rais Samia, CCM na yote yanayotokea bado haujishtukii tu?

    Hii kauli ya Freeman Mbowe kuhusu kushangaa kuwa IGP Simon Sirro mpaka leo yupo ofisini na anashangaa mpaka leo bado yupo ofisini unadhani ni sahihi muda huu mkuu huyo wa Jeshi la Polisi anatakiwa akuwa ameshajiuzulu? Mbowe ameelezea mambo kadhaa Machi 18, 2022, jinsi ambavyo Jeshi la Polisi...
  6. Kuelekea Mei Mosi 2022: Rais Samia, Waokoe Watumishi wako Dhidi ya Dhulma Kali ya Makato ya Lazima ya Mshahara kutoka kwa Vyama vya Wafanyakazi

    Ni ukweli ulio wazi kwamba sisi kama Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunapitia kipindi kigumu hasa kiuchumi na Cha muda mrefu sasa. Licha ya changamoto nyingi ambazo Watumishi wamekuwa wakipitia, hali iliyopelekea Watumishi kuamua kuwa pamoja katika vyama kwaajili ya kupambania...
  7. T

    Licha ya kwamba nami nashangaa kama wengine lakini namuamini Rais Samia

    Siku za karibuni watanzania wamekuwa wakishangazwa na yanayoendelea, ni kama walikuwa kwenye usingizi mzito wasijue ni nini kinachoendelea lakini kadiri usingizi unavyoisha ndivyo wanabaki kufurahi. Baadhi ya vitu vinavyoshangaza na vimekuwa kama ndoto ya kutisha ni kama: I) Iliwezekanaje...
  8. J

    TBC: Rais Samia afanya mahojiano na Dkt. Ayub Ryoba kuangazia mwaka mmoja wa awamu ya 6 madarakani

    Rais Samia kaeleza mengi lakini yaliyonikosha ni Ile serikali kurudisha Imani na ushirikiano kwa sekta binafsi wawekezaji Yupo tayari kuingia ubia kwenye miradi na taasisi za serikali Kama bandari yenye tija itakayoleta ufanisi wa taasisi hizo Hili litakuza Sana uchumi wetu Kama tukiwa makini...
  9. Tetesi: Chato kuwa Mkoa au Magufuli Day kutangazwa rasmi na Rais Samia

    Kuna tetesi kadhaa zimeanza kusambaa mitaa ya Chato tangu leo asubuhi kuwa, ujio wa Rais Samia katika Wilaya ya Chato katika kuadhimisha kumbukizi ya mwaka mmoja tangu kufariki dunia kwa rais Magufuli huenda kukaenda sambamba na mojawapo kati ya mambo mawili kama sio yote mawili, yaani Chato...
  10. Shukrani mama Samia; Tanzania, Kenya resolve 10 more trade hindrances

    Dar es Salaam. Tanzania and Kenya have resolved ten more trade barriers in effort to grow the trade between the two member states of the East African Community (EAC). President Samia Suluhu Hassan visited Kenya last May and met her counterpart Uhuru Kenyatta to mend the then deteriorating...
  11. M

    Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

    Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
  12. Hongera Rais Samia kwa kuliponya Taifa dhidi ya siasa za chuki na roho mbaya

    Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki binafsi kungeweka sekta ya fedha matatani. Ingawa aliondolewa Ila maneno yake yalitimia. Kwa miaka 3...
  13. Uteuzi wa Nehemia Mchechu: Tunamchekea Rais Samia, lakini hapa ameonyesha udhaifu mkubwa

    Ni aibu kwamba nchi ambayo tuliaminishwa kwamba watu fulani ni wezi ni watendaji wabovu sasa wanarudishwa kwenye nafasi zao, utadhani hakuna kilichofanyika. Yawezekana kweli walionewa, lakini iweje Rais wa nchi awarudishe kwenye nafasi zile zile bila maelezo kwa wananchi? Hii haina maana...
  14. Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kindamba...
  15. T

    Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine Aliyekuwa Waziri wa Makazi, William Lukuvi alitengua uteuzi wa Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo mnamo Juni 2018...
  16. Vyama vya upinzani mwacheni Rais Samia 2025 apite bila kupingwa ili awanyooshe mapito yenu 2030

    Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli au uongo? Rais Samia ana exposure kubwa sana katika katika duru za kimataifa kuliko Rais yeyote...
  17. Chato: Rais Samia kuongoza kumbukizi mwaka mmoja kifo cha Magufuli

    Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu. Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki mwaka mmoja wa Samia.. ======== Geita. Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali...
  18. Lissu: Rais Samia akiniteua katika Serikali yake atakuwa hanipendi

    Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi. Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa...
  19. J

    Tundu Lissu apata passport mpya, amshukuru Rais Samia, kurudi Nchini

    Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani. Lissu amekabidhiwa passport yake leo na balozi wetu. Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya...
  20. Rais Samia, ikikupendeza tunaomba uwateue hawa wapinzani katika Serikali yako

    Mh Rais, ningependa kukusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ama baada ya salamu, Mh Rais ikikupendeza tunaomba umteue Mbowe kuwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, huku Zitto Kabwe ukimpa mkoa wa Kigoma. Najua rais hapangiwi ila huu ni ushauri wangu tu kwako mama yetu, kwa lengo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…