samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia kukopa(tena) 1billion USD from IMF

    Huku sarakasi za Mlimani City zikiendelea Serikali ya Samia imeomba mkopo wa 1.1 billion US dollars kutoka IMF kwa mujibu wa msemaji wake Zuhura Yunis, IMF wako nchini kujadili, one thing is clear walipaji wa haya madeni ni sisi wananchi! Markets IMF Mission in Tanzania for Talks on $1...
  2. Baada ya Samia, Museveni kukutana, sasa Tanzania kuanza kununua sukari kutoka Uganda

    Tanzania inatarajiwa kuanza kununua sukari kutoka Uganda ikiwa ni ishara ya kuashiria kulegea kwa moja ya migogoro ya kibiashara iliyodumu kwa takriban miaka mitatu. Rais Samia Suluhu, katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku mbili Nchini Uganda alikubaliana na mwenyeji wake Rais Yoweri...
  3. Rais Samia turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi hali imeanza kuwa mbaya

    Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali More deep detail to follow with specific...
  4. Mawaziri wachapakazi hawakuondolewa sababu walikuwa wakimkwamisha Rais Samia

    Tulisikia kwa vinywa vyetu kuwa kuna baadhi ya mawaziri walikuwa na mpango wa kumkwamisha Rais Samia ili asifikie malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Hapa kwa haraka haraka tukapata hisia kuwa walikuwa na na nia ya kumzuia asitinge Ikulu kama mgombea wa CCM mwaka 2025. Ndipo tukasikia...
  5. Rais Samia mgeni rasmi miaka 10 ya Haki za Binadamu, mabalozi 15 kuhudhuria

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu mnamo Mei 13, 2022, yakitarajiwa pia kuhudhuriwa na mabalozi kutoka nchi 15 wadau wa maendeleo Akitoa...
  6. Mafanikio ya Royal Your yanaonekana wazi na haraka mno, Hongera sana Rais Samia

    Will Smith ndani ya Serengeti kwa staili ileile ya Royal Tour na mkewe ndie kamuiga mama kuwa ni Tour Guide kwa mumewe... Kaja kujionea mwenyewe live baada ya kumuona mama kwenye Royal Tour? Wenye wivu wajinyonge.
  7. Chawa wa Samia wanatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe

    Maisha yanaenda kasi sana! Kwa sasa hivi hapa Tanzania kama lipo kundi linatamani uhuru wa maoni binafsi ubinywe basi ni chawa wa Samia pro max. Kasi ya kukosolewa Samia kwenye mitandao ya kijamii haiwafurahishi kabisa hali inayowapelekea kutamani sheria ya Magufuli ya kuminya vyombo vya...
  8. J

    Rais Samia kaona hatari ya Sukuma gang na CHADEMA kuungana, anawatenganisha

    Simaanishi muungano rasmi wa vyama vya siasa, muungano wa ku share na kusambaza taarifa hasi dhidi ya serikali mtandaoni na mtaani Haya makundi mawili, Sukuma Gang na Chadema ni maadui wakubwa sana kisiasa, hasa ukizingatia utawala wa Magufuli ulivyofanya unyama mkubwa kwa Chadema Lakini hivi...
  9. Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

  10. Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

    Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana. Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri. Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts). Karibu Kama kweli una hoja.
  11. Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  12. Rais Samia: Wangapi wanataka kuwa Marais

    Naangalia Movie ya Royal Tour, kuna kipande Rais anauliza wanafunzi 'Wangapi wanataka kuwa marais' wanafunzi wamenyoosha mikono wengi. Nikawaza swali kama hili wakaulize kwenye Chama halafu kina Etwege na wenzake wanyooshe mikono kama hali itakuwa salama
  13. Rais Samia: Nilikuwa Tour Guider kwenye movie ya Royal Tour

    RAIS SAMIA AKISHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA THE ROYAL TOUR - JNICC, DAR ES SALAAM Tulianzia Marekani kwa kuwa utalii uliathirika na COVID na watalii kutoka Marekani walipungua. Sekta ya Utalii inaajiri 4% ya watanzania na iliathirika sana wakati wa COVID19. Rais Samia. Filamu ilikamilika...
  14. Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

    Wanabodi, Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana. Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue. Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru...
  15. Vitu vilivyopanda bei chini ya Uongozi wa Rais Samia

    Hapa naweka baadhi tu ya vitu vilivgopanda Bei, bila kujali Vita ya Urusi. Vingine vilipanda tangu mwaka Jana. 1. Kuunganisha umeme. 2. Tozo za kutuma na kutoa hela 3. Mafuta ya kula 4. Umeme wa LUKU. 5. Nauli za usafiri. 6. Bei za vifaa vya ujenzi. 7. Mafuta ya Petrol/Diesel/ Taa. 8. Soda. 9...
  16. K

    Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    Enzi za Kikwete mlituambia uchumi wa gesi!! Magufuli mkatuambia wa viwanda. Hussein Mwinyi kule Zanzibar tunaambiwa wa uchumi BULUU. Huyu Mama yenu yeye agenda kuu ya kiuchumi ni ipi?!! Royal Tour?!! Nchi ndogo kama Rwanda inatangaza utalii kwenye ligi kuu ya England kupitia team ya Arsenal...
  17. Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!

    Wanabodi, Hii ni makala ya Jumapili hii Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Siku ya Mei 3 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Nchini Tanzania, siku hii imeadhimishwa Kitaifa jijini Arusha, mgeni...
  18. Rais Samia tahadhari na tulia kidogo. Kazi zako Ikulu anazifanya nani?

    Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa. Mama is on the move daily. Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro. Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule. Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya...
  19. Rais Samia ashauriwe namna ya kuongea kama Rais na siyo kuongea kama Samia

    Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza. Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais. Shime jiepushe kutoa kauli tata...
  20. Kauli mbili tata za Rais Samia

    Shalom, Kuna umuhimu sana wa Rais Samia kuchuja baadhi ya kauli zake, nimesikia kauli mbili zenye madhara Yale Yale huku kauli Moja ikikosa nguvu. Anasema kwamba, ukitaja hadharani kuwa umewaongezea salary Wafanyakazi basi wafanyabiashara watapandisha Bei ya vitu holela na kufanya Hali kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…