samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza CC ya CCM leo, macho na masikio ya Watanzania ni majina ya Walioteuliwa kugombea nafasi za Mkoa na Taifa

    === Ni masaa machache tu baada ya kurejea kutoka katika Mkutano wa Dunia wa Uhifadhi wa Mazingira wa 27 yaani COP27 huko Nchini Misri, Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Shaka: Pamoja na Ukame unaondelea nchini ambao haujasababishwa na CCM wala Chama chochote Rais Samia anatekeleza miradi ya maji 1,194 kuukabili

    SHAKA HAMDU SHAKA ASEMA NI HAKIKA WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 KWANI ATAPATA KURA ZA MAFURIKO === Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Tanzania ni nchi yenye deni dogo ukilinganisha na nchi zote zilizoko Kusini mwa Jangwa la Sahara. Hongera Rais Samia

    Hiki ndicho alichokiandika RC Mstaafu David Kafulila kwenye akaunti yake ya tweeter baada ya mjadala mkali Bungeni na hofu ya Watanzania juu ya ukubwa wa deni la Taifa kwa Sasa Huenda Kafulila ndio mtu makini na mwenye hoja zaidi kwa Sasa Tanzania asiye na cheo chochote Serikali baada ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Watanzania watampa Rais Samia tuzo ya heshima mwaka 2025

    SHAKA: WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Hatupo tena uchumi wa kati tumeshushwa na hadi 2025 tutapambana turejee

    Rais Samia na Mwigulu ni yupi mkweli?! Hapo juu ni Samia akikiri wazi Tanzania haipo tena uchumi wa kati, imeporomoka na aliahidi atapambana ili ifikapo 2025 uchumi wa Tanzania urejee kwenye daraja la kati. NB: Teknolojia.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa alipotufikisha Rais Samia anastahili kupongezwa, kuungwa mkono na kutiwa moyo, alipokea nchi katika kipindi kigumu sana

    Ndugu zangu mnyonge mnyongeni lakini Haki Yake mpeni, Rais Samia Anastahili kupewa Haki yake, Haki ya kupongezwa, kuungwa Mkono, kupewa Faraja, kutiwa Moyo na kupewa ushirikiano. Rais Samia Alipokea Nchi katika Kipindi Kigumu Sana kiuchumi, Alipokea Nchi kipindi Cha mlipuko wa ugonjwa wa CoVID...
  7. JamiiForums Tanzania Tunahitaji tathimini ya safari za Rais Samia

    Ndugu zangu watanzania sisi ndo walipa kodi wa nchi hii. Rais hana pesa zake wala CCM haina pesa zake.. hivyo basi tuna kila sababu ya kufahamu matumizi ya kodi hizi za watanzania masikini. Rais alikuwa China juzi ametoka huko akaunga EGYPT. Safari zake kwa kipindi hiki cha mwaka na miezi sasa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022 ===== Mradi wa maji wa Kigamboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi. Rais amekata utepe na...
  9. JamiiForums Tanzania Mkulima mbaroni kwa kumvunjia heshima Rais Samia na Dkt. Kikwete mtandaoni

    MKAZI wa Kidete mkoani Morogoro anayejishughulisha na kilimo,Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu ya kuchapisha mtandaoni taarifa yenye kuharibu hadhi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu...
  10. JamiiForums Tanzania Kusafiri kwa lengo la kuimarisha uchumi wa Tanzania ni moja ya Kazi ngumu anayofanya Rais Samia

    Uchumi wa Kidiplomasia ni uchumi ambao unatumia diplomasia kufanikisha malengo ya serikali katika kuwaletea wananchi maendeleo endelevu.Uchumi wa kidiplomasia unaongeza wawekezaji,uuzaji wa bidhaa nje,misaada,utalii,makubaliano ya kibiashara na mikopo nafuu.Ili malengo ya aina hii ya uchumi...
  11. JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

    1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam. 3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali isipowapiga marufuku 'Mitume na Manabii' wa mchongo, miaka michache ijayo tutakuwa na Taifa la ovyo sana

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa nchini. Nimegundua Serikali isipochukua maamuzi magumu kuwapiga marufuku hawa watu, miaka michache...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Vunja Baraza la Mawaziri Nchi ipone. Waziri Majaliwa Habebeki

    Salaam Wakuu, Nchi ilipofikia, Viongozi wetu hasa Mawaziri wanatakiwa wajitafakari na kujisahihisha waone wanajipa Marks ngapi. Kama inafika wakati Wasaidizi wa rais wanamdharau kisa ni Jinsia ya Kike, kuna nini tena? Anawaagizi hivi wanafanya ambavyo hawajatumwa. Wamekalia Majungu na...
  14. JamiiForums Tanzania Kulingana na namna Rais Samia anavyoupiga mwingi. Basi aishi miaka mingi (Milele)

    Wakuu amani iwe nanyi. Baada ya kushuhudia mateso makuu ya kimwili na kiroho katika awamu ya Tano, naam amani imerejea rasmi maana naiona milango ya mafanikio ikifunguka mmoja baada ya mwingine. Katika awamu hii ya sita nimeshuhudia Kwa macho yangu namna maisha ya wengi yalivyobadirika...
  15. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  16. JamiiForums Tanzania Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo. Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo. 1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke. 2. Form yakwanza...
  17. JamiiForums Tanzania Swali: Gerson Msigwa wa Hayati Magufuli ndiyo huyuhuyu wa Rais Samia?

    Wanajamvi. Kuna kitu sikielewi au hakipo Sawa. Hivi huyu Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali ndo yuleyule wa kipindi cha Magufuli?. Huyu jamaa hata kama ni unafiki au kulamba asali basi huyu kazidi. Amekuwa mtu wa hovyo sana, anaongea pumba mara zote. Siku hizi anaongea nonsense kabisa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Safari za Rais Samia Nje ya Nchi zimekuwa zenye mafanikio makubwa sana, ni muwindaji mwenye shabaha aingiapo mawindoni

    Ndugu zangu safari za Rais Samia Nje ya nchi Zimekuwa Ni zenye matunda kwa nchi yetu, zimekuwa Ni zenye mafanikio katika uwekezaji wetu,zimekuwa Ni zenye Tija katika kuimarisha ushirikiano wa kibiashara,zimekuwa Ni zenye mafanikio katika fursa za ajira kwa vijana, kila anakokwenda Rais Samia...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki mkutano wa COP27 nchini Misri. Awakutanisha marais 11 kujadili umeme

    Leo tarehe 07 Nov. 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania alishiriki mkutano wa 27 wa kujadili mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huo umefanyika kwenye mji wa Sharm El Sheikh. Rais Samia ameambatana na Waziri wa mambo ya nne na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dr. Stergomena Tax. --- Rais...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili mkutano wa COP27 Sharm El Sheikh Egypt 2022

    07 November 2022 Sharm El Sheikh, Egypt MKUTANO WA COP27 SHARM EL SHEIKH EGYPT 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan pamoja na wakuu wengi wa nchi wapo kuhudhuria Mkutano wa 27 wa nchi wanachama wa mkataba wa Kimataifa wa tabianchi COP27 mwaka huu 2022...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…