samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndugu Mwigulu wasanii wafanye kazi na 98% ya waliomchagua Samia

    Ndugu Mwigulu Samia alipata kura million 32 Ndugu Mwigulu wasanii watumie akili yao yote maarifa yao yote nguvu zao zote kufanya kazi. Kama waliunga mkono CCM na CCM inaungwa mkono na watu 32milon Mining'ono yanini? Kuna shida gani ? Ndugu Mwigulu Mchezaji anayecheza Manchester United...
  2. S

    PostGE2025 PICHA: Hii ndio Ambulance mpya ya Mbunge Sara Msafiri aliyoikabidhi kituo cha Afya Mziha, Yeye amshukuru sana Rais Samia

    MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku akitoa maagizo mazito kwa uongozi wa kituo hicho kuhakikisha gari hilo linatumika kikamilifu kwa lengo la...
  3. PostGE2025 Rais Samia angekuwa na Haya asingefurahia uchaguzi wa 2025

    Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana. Yaweza kua anauwezo mdogo sana wa akili au anashida ya kiakili iliomkumba. Nasema hivi kwa sababu, katika...
  4. Zimebakia siku ngapi kutimia 100 za Samia? Katiba mpya iko wapi?

    Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
  5. Serikali ya Samia, awamu isiyotaka kusikia neno haki

    Wako tayari wakuue wanapokusikia unataka haki. Wao wanaamini Amani ndio kila kitu lakini si kukupa HAKI. Wanalinda AMANI kwa kuua hata raia ambao hawataki viongozi wabaya. Wanalinda AMANI kwa kufukuza au kuhamisha wafanyakazi wanaopinga upigaji ndani ya miradi ya maendeleo. Wako radhi WAUE mji...
  6. PostGE2025 Odero: Pamoja na Lissu kuwa gerezani hayawezi kumzuia John Heche kukutana, kupeana mkono na Rais Samia

    Haaaa! Odera kwahiyo Heche akishikana mikono na Samia, maumivu yote yataisha? ============= Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kusukuma Maridhiano Tanzania, Charles Odero, amesema ni muhimu kwa vyama vya siasa pamoja na Serikali kukaa meza moja ya...
  7. Wanahabari IKULU mtendeeni haki Rais Samia, hata kama hampendi, si anawalipa vizuri?

    Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU, Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa na mawaziri lakini hamsemi, hii ni inshara hamuwapendi mawaziri wenu ndio maana hamasemi...
  8. Dkt. Mollel: Samia amefanya makubwa halafu kuna Wapumbavu wanasema hakuna alichofanya na wanahamasisha maandamano!

    Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel akizungumza na Wananchi Mkoani Kilimanjaro amesema hakuna Rais aliyefanya makubwa ndani ya miaka minne kama alivyofanya Rais Samia. Upande wa Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema Dkt. Mollel ambaye alikuwa Mbunge wa Jimbo la Siha...
  9. PostGE2025 Rais Samia: JWTZ ijiepushe na mashinikizo ya kisiasa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kuepuka mashikizo ya kisisa akieleza kuwa kuwa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi ni nguzo muhimu ya usalama wa Taifa, hata hivyo...
  10. L

    Kama kuna mtu alikula hela za mabeberu na maadui zetu kumpindua Rais Samia na kuleta machafuko nchini ni lazima atazitapika tu

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna mtu alikula pesa za Mabeberu na maadui zetu kwa ajili na kwa lengo la kutaka kumpindua Rais Samia pamoja na kuleta ama kuchochea machafuko hapa Nchini yatakayo liangamiza Taifa letu. Ni lazima afahamu ya kuwa Atazitapika Tuuu hizo pesa atake ama asitake. Ni...
  11. Huu msafara wa Samia barabara ya Bagamoyo, umenishangaza sana. Yaani si magari tu hadi Helicopter mbili angani

    Leo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili...
  12. Rais Samia kuzungumza na wakuu wa JWTZ huko Tanga

    Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi. Mbona sio kitu cha siri? Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan, leo anakutana na viongozi wakuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...
  13. R

    PostGE2025 Kiliba: Kutomtii Rais Samia ni kukiuka maagizo ya Mungu

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba, amewataka Watanzania kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, pamoja na wasaidizi wake wote, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni wajibu wa kiraia na pia ni takwa la...
  14. R

    UVCCM Manzese wamvaa Heche kauli ya kuundwa kwa serikali ya mpito na kuongozwa na wageni ni uhaini

    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Manzese wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wamekosoa vikali kauli zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuhusu madai ya kutaka Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 29 urudiwe wakisema kauli hiyo inapaswa kupuuzwa kwani hakuna...
  15. Hotuba ya mwisho ya mwanaharakati aliyetekwa mbele ya watekaji. Dunia husau haraka

    HOTUBA YA MWISHO YA MWANAHARAKATI ALIYETEKWA MBELE YA WATEKAJI; DUNIA HUSAHAU HARAKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kabla sijasimulia haya yote mimi Mtibeli nikakumbuka wakati Fulani nilipokuwa Msanii wa muziki. Najua utajiuliza ni lini TaikonMaster aliwahi kuwa mwanamuziki. Lakini...
  16. L

    Hotuba ya Rais Samia ilijaa unyenyekevu na hisia kali sana. Imeonesha kuwa alistahili kukalia kiti cha Urais

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Ameonyesha Kuumizwa sana na Kifo cha Marehemu Jenista Mhagama Aliye tangulia mbele za Haki kwa kifo cha Ghafla kilichotokea siku chache zilizopita. Rais wetu ametoa hotuba yake kwa namna ya kipekee sana ,namna iliyogusa Mioyo ya watu wengi sana waliokuwa...
  17. PostGE2025 Kura 98% za Samia sawa na Watanganyika 32,000,000 waliompigia kura, zageuka shubiri wanamuombea kifo...!!

    Duuh, Bongo kuna maajabu mengi sana... Ni ngumu sana kuupaka uongo pafyumu na usionekane kuwa ni uongo...!! Inawezekana vipi kiongozi mkuu wa nchi aliyejitangaza mshindi kwa 98% ya kura zote ktk kile wanachokiita uchaguzi wa 29/10 na ghafla hata mwezi haujaisha haohao mamilioni waliomchagua...
  18. Rais Samia: Jenista Mhagama alikuwa 'Kiraka'

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye hofu ya Mungu na kwamba yeye alimuita kiraka kwakuwa kila Wizara aliyomuweka aliifanya kazi yake...
  19. Video: Mjomba wa Bibi harusi apokea kipigo kizito akidaiwa kumsifia Rais Samia kwenye harusi

    Wakuu Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
  20. Gen Z amkeni mkafanye kazi. Serikali ya Samia hamtaweza kuipindua, mtachanganyikiwa kwa msongo uzeeni

    Duniani kila miaka inavyokwenda fursa zinapotea zaidi kwasababu ya kukua kwa teknolojia na ongezeko la watu. miaka ya 70-80 fresh form 4 leaver alikuwa anaajiriwa kama muhasibu. Vipi sasa hivi? Miaka ya 2000 Niliona Darasa la saba wenye angalau leseni ya udereva hata bila cheti au wenye cheti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…