samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akamilisha Ujenzi wa Miradi ya Barabara Iliyoasisiwa na JPM

    RAIS SAMIA AKAMILISHA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA ILIYOASISIWA NA JPM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Kaengesa – Chitete (km 6.4) sehemu ya Kaengesa - Seminari (km 3.4) kwa kiwango cha lami Wilayani...
  2. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania kwa saizi ni huru na haki mama Samia mitano tena

    Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani . Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari. Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM . Naimani 2025 Mama...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Wito Watanzania Kulinda Miundombinu ya Barabara kwa Matumizi Endelevu

    RAIS SAMIA ATOA WITO WATANZANIA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasafirishaji wote nchini pamoja na Wananchi kuhakikisha wanalinda miundombinu ya barabara inayojengwa na Serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aeleza Jitihada za Kufungua Mkoa wa Katavi kwa Miundombinu ya Barabara

    RAIS SAMIA AELEZA JITIHADA ZA KUFUNGUA MKOA KATAVI KWA MIUNDOMBINU YA BARABARA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia asema amesikia kilio ujenzi barabara ya Kibaoni - Mlele (km 50) kuchelewa kwa 15%

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami ili kurahisisha huduma za usafiri na usafirishaji. Rais...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ukitaka kufanikiwa kilimo mpe Msomali

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN amezungumzia utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kusisitiza kuwa ukitaka kufanikiwa kwenye Kilimo mpe jukumu hilo Msomali. Pia soma:Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania
  8. JamiiForums Tanzania Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni na kusitisha huduma kwa kampuni zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani

    Ningekuwa raisi Samia, ningefuta leseni za kampuni zote zinazoleta usumbufu kwa wateja pasipokujali zimetoka nchi gani hapa duniani Wakuu kuna baadhi ya makampuni yanayoleta usumbufu kwa wateja pale wanapohitaji huduma na haya makampuni yanatoka bara la Ulaya, Asia na Afrika nashindwa kuyataja...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka Wakazi wa Katavi wawaache Watoto Wasome

    Mimba za utotoni Katavi zamkera samia, ataka watoto waachwe wakue Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakazi wa Mkoa wa Katavi kuwaacha watoto wasome, wakue ili kuwaepusha na zahama ya kuzaa watoto wenzao. Ametoa kauli hiyo baada ya kutembelea Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Katavi, alipokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mdude Chade amkosoa Rais Samia, aseme nchi haiko salama kama Rais Samia alivyowapongeza PolisiTz

  11. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Aipa Hongera NSSF

    RAIS DKT. SAMIA AIPA HONGERA NSSF Na MWANDISHI WETU, Katavi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa pongezi kwa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) baada ya kuelezwa mafanikio mbalimbali ambayo NSSF imeyapata katika kipindi cha miaka mitatu ya...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan azindua Jengo la kisasa la Ofisi za Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi

    HABARI PICHA: Matukio mbalimbali wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi la Jeshi la Polisi Mkoani Katavi. Jengo hilo litakuwa linatumiwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi pamoja watendaji wake wote walio chini yake ndani ya Mkoa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi Kumgusa Waziri Mwigulu Nchemba?

    Moja kwa moja kwenye madam. Mwigulu Mchemba Waziri Mwenye dhamana ya mambo ya fedha, ni miongoni mwa vigogo ambao Mh Rais anawaogopa. Mgogororo wa wa kariakoo ulipotokea awali , wafanyabiashara waliongea wazi kuwa tatizo lipo TRA na kwa ujumla wake Wizara ya fedha mintarafu waziri Mwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Mwamposa atua Arusha kwenye mashindano ya Samia Motocross Championship

    Mkuu wa Kanisa la Arise and Shine (inuka uangaze) Mtume Boniface Mwamposa @bulldoza_mwamposa ameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda aka baba_keagan wakikagua njia za mashindano ya pikipiki za SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP yanayotarajiwa kufanyika kesho Julai 14, 2024...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Barabara ya Tabora - Mpanda unateleza na lami tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Katavi ambapo sasa barabara ya kutoka Tabora hadi Mpanda (km 352) ni ya kiwango cha lami. Rais Dkt. Samia ameeleza hayo leo Julai 13, 2024 wakati...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PICHA: Mapokezi Mazito ya Rais Samia Mkoani Katavi

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.hii leo amepata mapokezi mazito na ya kusisimua sana ,mapokezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa,mapokezi ambayo yameshuhudia viongozi wa juu kabisa wa chama kitaifa wakiwa mkoani Katavi...
  17. JamiiForums Tanzania Katavi : Rais Samia azalisha ajira za kudumu kwa vijana kupitia mikopo ya asilimia 10

    Vijana wa kikundi cha Kusakizya wilayani Mpanda mkoani Katavi ambao ni wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Serikali kupitia Halmashauri, wameeleza kuwa mkopo huo umewawezesha kupata ajira za kuduma kupitia mradi wa kusindika na kuuza mafuta ya alizeti. Kwa mujibu Muhasibu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka Jiwe la Msingi Mradi wa ujenzi Makao Makuu ya Bandari ya Ziwa Tanganyika, Oktoba 18, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Makao Makuu ya Bandari za Ziwa Tanganyika (Kibirizi na Ujiji)...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia 2025 ni kama Biden tu 2024 tofauti ni kiwango cha Demokrasia

    Samia hana jipya kama ilivyo kwa Rais wa Marekani wa sasa, kinachotofautisha tu ni kiwango cha demokrasia wenzetu wapo mbali sana. Samia anatakiwa madarakani na majambazi ya rasilimali za nchi hii, ila kiukweli hana future yoyote na Tanzania. Tungekuwa taifa la watu wanaojielewa samia hata...
  20. JamiiForums Tanzania Nampenda Rais Samia siiungi mkono CCM na mambo yake

    Mimi nampenda Rais Samia kwa dhati yeye kama Rais ila mfumo uliomuweka hapo ambao ni ccm kwakweli sikubaliani nao. Naamini tuko wengi wa aina yangu ndio maana nitabaki kuwa mwana chadema mwaminifu ili nijitofautishe na itikadi na hulka za CCM. Mama Samia Mungu akubariki wewe ila mfumo wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…