samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

    Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais. Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais. Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP). Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza. Mwanamke wa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampandisha cheo mpambe wake (ADC) sasa ni Brigedia Jenerali

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amempandisha CHEO Mpambe wake (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri nakuwa BRIGEDIA JENERALI. Kutokana na Brigedia Mashauri kupanda cheo, kwa taratibu za kijeshi hatokuwa tena...
  3. JamiiForums Tanzania Nape kwahiyo ulikuwa unasubiria Utumbuliwe jana na Rais Samia ndipo Uufunge ghafla Mtandao wako wa X ( zamani ) Twitter?

    Kutenguliwa ni jambo moja, lakini kutenguliwa ukiwa katikati ya shughuli za nafasi uliyotenguliwa kwayo ni jambo lingine, hiki ndicho kilichomkuta aliyekuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ambaye si mara yake ya kwanza. Taarifa ya kuondolewa kwa Nape katika...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali imetoa Bilioni 150 Kujenga Barabara ya Lusahunga - Rusumo

    RAIS SAMIA AMETOA BILIONI 150 KUJENGA BARABARA YA LUSAHUNGA - RUSUMO Mbunge wa Jimbo La Ngara Mhe. Ndaisaba Ruholo Amemupongeza Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa Kutoa Bilioni Mia Moja na Hamsin (150)Katika Mradi Wa Barabara ya Lusahunga Mpaka Rusumo Yenye...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia najua hautupendi watanganyika ila angalau tufanyie hili

    Una miaka 60+ kwa sasa una nguvu kiasi na una uwezo wa kufanya mambo kadhaa ila baada ya miaka 17 hautakuwa Samia huyu wa Sasa. Pengine Kuna mambo unayafanya kwa ajili ya kizazi chako ila niamini mimi Mkwawe pindi utakapopoteza madaraka, ushawishi na nguvu hakuna chawa yeyote atayekupambania...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je African Chief Act ya mwaka 1969 bado inafanya kazi? Kama inafanya kazi kwa nini Rais Samia ameagiza machifu kufanya kazi?

    Hii sheria ilitungwa na Bunge mwaka 1969 na kifungu cha pili cha sheria hii kilizuia na kukataza Machifu kufanya shughuli zozote za kiutawala. Sasa leo nimesikia mkuu wa nchi akiagiza machifu wakafanye kazi za kiutawala hasa kushughulikia kero za watu kutekwa. Je, hii sheria ilishafutwa? Au...
  7. JamiiForums Tanzania Kumbe kuna shindano la kumsifu mama samia

    Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
  8. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Biden, akajiondoa /akalazimishwa kujiondoa kinyang'anyiro Cha Urais 2024?

  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Shedrack Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kuanzia tarehe 03 Julai 2024. Kabla ya uteuzi huu Bwana Mziray alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani (TASAF). Bwana Mziray...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Mtoto mwenye ulemavu wa mguu apatiwe Mguu wa Bandia kwa gharama za Ofisi ya Rais

    Rais Samia Suluhu Hassan akitoa maelekezo kuhusu mtoto mwenye ulemavu wa mguu kufanyiwa mchakato wa kupewa mguu wa bandia kwa gharama ya Ofisi ya Rais. Ametoa maelekezo hayo kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tunduma Mkoani Songwe, Mariam Chaurembo wakati aliposimama kuzungumza na Wananchi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kila mmoja alipe kodi anayostahili kulipa

    https://www.youtube.com/watch?v=FnzBLvOFB6w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi wa Tunduma Njiani kuelekea Dodoma Mara baada ya Kumaliza Ziara yake Mkoani Rukwa leo tarehe 18 Julai, 2024.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nawasikiliza wabunge wa Katavi wakiongea na Rais Samia; wanalalamika sana, wanamshukuru sana na wanampongeza sana Rais

    Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

    Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda. Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao; 1. Achana na kampeni kabla ya muda. Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akamilisha Ujenzi wa Miradi ya Barabara Iliyoasisiwa na JPM

    RAIS SAMIA AKAMILISHA UJENZI WA MIRADI YA BARABARA ILIYOASISIWA NA JPM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Kaengesa – Chitete (km 6.4) sehemu ya Kaengesa - Seminari (km 3.4) kwa kiwango cha lami Wilayani...
  17. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania kwa saizi ni huru na haki mama Samia mitano tena

    Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani . Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari. Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM . Naimani 2025 Mama...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Wito Watanzania Kulinda Miundombinu ya Barabara kwa Matumizi Endelevu

    RAIS SAMIA ATOA WITO WATANZANIA KULINDA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MATUMIZI ENDELEVU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wasafirishaji wote nchini pamoja na Wananchi kuhakikisha wanalinda miundombinu ya barabara inayojengwa na Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aeleza Jitihada za Kufungua Mkoa wa Katavi kwa Miundombinu ya Barabara

    RAIS SAMIA AELEZA JITIHADA ZA KUFUNGUA MKOA KATAVI KWA MIUNDOMBINU YA BARABARA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…