samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu ambayo ni Rostam Aziz?

    Kwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu? Au ndiyo kulipa fadhila za mchango aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal...
  2. JamiiForums Tanzania Kuuliza alipo raisi Samia ni kiherehere

    Nimeona maandiko kadhaa humu toka kwa wadau mbalimbali wakihoji kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Samia a.k.a Nani kama mama. Namimi niwaulize mnataka aonekane ili mumfanye kitu gani?au mnataka aonekane ili aje atusaidie kwa lipi ?au akionekana atatua changamoto zipi? Kumbukeni Rais nae ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei: Samia amefanya makubwa Vunjo

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuwa imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vifaa vya uchunguzi na vifaa tiba katika kuboresha huduma kwenye vituo vya kutolea huduma...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Changamoto za uendeshaji wa zoezi la Uchaguzi nchini na hasara inayopatikana kwa taifa

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuandika barua hii ya wazi kwako...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa pole ya kifo Lawrence Nyasebwa Mafuru

    Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India. Ninatoa pole kwa familia, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji) Mheshimiwa Prof. Kitila...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia Suluhu Hassan kwa Kupokea Shahada ya Heshima nchini India, Unastahili "NOBEL

    Na Mwl Udadis, Tarime Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameingia katika rekodi ya viongozi wachache Duniani kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru. Naungana na wanazuoni kote Duniani kutoa pongezi za dhati kwake kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni nishati safi ipi ya kupikia ambayo Samia anasifiwa kuipambania na kufanikiwa?

    Hili Taifa litaangamizwa na unafiki na uchawa.Samia anasifiwa kwa kupigania nishati safi na salama ya kupikia, ipi hio na wapi? Mbona kasi ya mikaa na kuni iko juu sana? Nani asie jua matumizi ya Mkaa bado yako juu sana? Nani asie jua hata huko Serikalini kwenyewe taasis zake wanatumia mkaa kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Mtendaji Mkuu wa TANROADS: Tanzania inashika nafasi ya 9 kwa miundombinu ya barabara na madaraja kati ya nchi 54 za Afrika

    Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi' ya Yanga

    HABARI: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewapongeza Tabora United kwa ushindi wa goli 3-1 walioupata leo Novemba 7, 2024 dhidi ya Yanga SC. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Rais Samia amendika hivi: “Pongezi kwa Tabora United kwa ushindi wenu dhidi ya...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuisimamisha Dunia kutokea Cuba hapo Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Siku ya kesho Zaidi ya Nusu Billion ya watu Duniani Kwote wataelekeza macho na masikio yao Nchini Cuba .pale Ambapo kinara wa Dunia wa kupigania matumizi ya nishati safi ya kupikia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunamshukuru Rais Samia kwa ushindi wa Trump

    Huenda bila mashirikiano mema ya Tanzania na Marekani bwana Trump asingeshinda u Rais wa Amerika. Kwalo, juhudi binafsi za ukuaji wa demokrasia ndani ya Utawala wa Samia zimeufanya ulimwengu uone na kuiga mengi mema yanayofanywa na mama hali inayopelekea hata wao kujifunza kutoka kwake...
  12. JamiiForums Tanzania Namwomba Rais Samia Suluhu Hassan ampongeze Master Donald Trump

    Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura. Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Pia amwambie kuwa tunatarajia atakata misaada ya hovyo barani Africa ili tujifunze...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia katembelea Marekani zaidi ya mara 2 na Hajafanikiwa kukutana na Rais wa Marekani

    Yani nisawa na kusema Rais wa Marekani aje mara 3 au 4 Tanzania kwa ziara ya kikazi lakini akute rais wetu yuko busy mara zote hizo na ashindwe kuonana licha ya jitihada za balozi. Inauma sana asikwambie mtu. Mbaya zaidi ni kukosekana hata kapicha ka ushahidi ka chakula cha pamoja. Na inauma...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi ziarani China, Rais Samia ziarani Cuba

    Rais Mwinyi ameondoka kulekea China kwenye ziara ya maonesho ya bidhaa mbalimbali, ikumbukwe last week alikuwa Doha Qatar kwenye kongamano la familia. Mhe. Rais Samia alikuwa Marekani kwenye kongamano la Kilimo, kwa sasa yupo Barbados visiwani akisubiri kwenda Cuba kwenye Kongamano la Kiswahili...
  15. JamiiForums Tanzania Former Tanzanian Chief Justice, Othman Chande arrives in Mauritius as Head of SADC election mission

    The Head of the Southern African Development Community (SADC) Electoral Observation Mission (SEOM) to the upcoming National Assembly Elections in the Republic of Mauritius, Honourable Mohammed Chande Othman, former Chief Justice of Tanzania, arrived in Port Louis on 4th November 2024. His...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Maoni na Mpendekezo kuhusu Mfumo wa Tanzania Mining Cadastre Portal

    Utangulizi Ninajisikia huzuni kila wakati ninapofikiria jinsi mabadiliko yanayofanywa katika mfumo, muundo, na ufanyaji kazi wa Tanzania Mining Cadastre Portal yanavyowakilisha changamoto kubwa kwa wachimbaji wadogo. Inasikitisha kuona kwamba mabadiliko haya yanafanyika bila kuwashirikisha...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awapongeza Azam Fc kwa Ushindi dhidi Ya Yanga.

  18. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais Samia ni shabiki wa Baraza la seneti na bunge la kitaifa la Kenya.

    Aliyasema hayo alipohutubia mabaraza hayo nchini Kenya. Anasema anafurahishwa na upana wa demokrasia na kiswahili cha wakenya chenye vionjo vingi. Hivi Anafuatilia bunge la jirani huku la kwake kalifungia!?
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia amesema wanataka anayepokea simu naye anakatwa salio ili kuimarisha Uchumi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…