samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia na Kikwete kuweka watoto wao serikalini ni kututukana watanzania

    Samia na Kikwete kuweka watoto wao serikalini ni kutu tukana wataanzania. Hakuna nchi ya kidemokrasia duniani iliyofanya vitu kama hivi vya matusi, kuna watu wamejimilikisha hii nchi hatutakubali.
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa nini mpaka sasa hakuna mtanzania aliyefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji?

    Sijui mambo ya sheriia za kimataifa yalivyo. Nilikua naomba kufahamishwa, mbona mpaka sasa hakuna Mtanzania au taasisi yoyote ambayo imefungua kesi ICC dhidi ya Samia Suluhu na genge lake la wauaji? Au utaratibu wa kufungua kesi huko icc ukoje wakuu? ==== Majibu kutoka kwa wadau
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Bashiru: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi umechangia kwa kiasi kikubwa Samia kupata ushindi mnono

    Jamani njooni msikilize Bashiru! Kwa mimi nilivyomuelewa kwamba CHADEMA ndio mbabe wao ndio maana CCM imeshinda kwa kishindo!. Ila kajisahau kwamba uchaguzi uliharibika sana! hizo kura za kushinda kishindo zilitoka wapi? ==================== Katibu Mkuu mstaafu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hotuba ya Samia imezimwa kabisa. Kama siyo Rais yaani, kama hajaongea kitu!

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimeanza kuwa na huruma sasa na huyu mama Kwanza huko YouTube upande wa viewers anatia huruma Pili hakuna ambaye anamsikikiza tena kila mtu kamupuuza Lakin naona kazimwa kabisa baada ya leo TEC kutoka na kutoa tamko lao Samia Suluhu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini CCT, Waislam na Madhehebu ya Walokole wanamuunga mkono Mh. Dkt Samia Suluhu lakini Wakatoliki wanampinga?

    Minongo'ono kwenye vijiwe vya kahawa vinasema baadhi ya madhehebu ya dini yamegeuka kuacha kufanya kazi za Mungu na kujiingiza kwenye biashara. Baada ya mabadiliko makubwa ya pale bandarini, katoliki wamekuwa wakali sana. Je, Maslahi yao yaliguswa? Makanisa Wanachama CCT Kanisa la Kiinjili la...
  6. JamiiForums Tanzania Samia, msamaha wako tumeukataa na sisi siyo vijana wako. Tukutane D9

    Amani iwe nanyi watu wa MUNGU Huu msamaha wa huyu muuwaji tumeukataa rasmi Kwanza hauna vigezo wa kuitwa msamaha, sisi ndo tunapaswa tukusamehe siyo wewe kigagula utusamehe sisi Kingine sisi siyo vijana wako tafadhari sana Samia tumia akili japo kidogo Tukutane tarehe D9 SAYUNI BOY
  7. W

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Tutafufua vilivyotelekezwa baada ya kubinafsishwa

  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukiskiliza huu ufunguzi wa hili bunge unaweza dhani baada hizo siku 100 Tanzania itakuwa paradiso, Matapeli wako kila mahali

    Ukimsikiliza huyu mama kwa anayoyaahidi kama so yeye aliekuwa madarakani nakushindwa kufanya hayo hayo, wanafanya siasa ionekane ni mchezo wa kitapeli. Leo hii anaahidi ahadi ambazo unaweza dhani Tanzania inaenda kuwa peponi siku 100 zijazo. Tuweni makini watu wangu, siku hizi matapeli wako...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kwakuwa watanzania wamenipa ridhaa, sitachoka kunyoosha mkono wa maridhiano

    Samia kapiga kijembe taasisi za kimataifa kuwa maridhiano yatafanywa kwa taratibu za Kitanzania, na sio kutokana na presha zao. Leo Samia anachoma tu! ==== Rais Samia amesema kwakuwa watanzania wamempa ridhaa ya kuongoza nchi kwa mara nyingine basi hatachoka kunyoosha mkono wa maridhiano...
  10. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia Suluhu Hassan: msiwe wabomoaji wa nchi yenu

  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia atangaza msamaha kwa washtakiwa wa kesi ya uhaini, “hasa kwa walioingia kwa kufuata mkumbo“

    Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya. Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote waliofanya makosa kwa kufuata mkumbo wafutiwe makosa yao. Rais Samia amenukuu mstari kutoka kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania Inaweza Kupata Amani Chini ya Samia? Uchambuzi Mpana Baada ya Oktoba 29

    Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
  13. JamiiForums Tanzania Tazama muhtasari wa matukio muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan kuanzia 03 - 09 Novemba 2025

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii. 📆
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu ni wenu

    Kumekuwa na mgongano mkubwa sana sasa hivi, na wamekuwa wakilaumiwa wa zanzibari wote. Tusichanganye uzanzibar na ubara. Kosa la mmoja lisiwe la wote. Hoja ni kuwa cha kuzungumzia ni ccm hapa wapi imetufikisha, lakini kwa makusudi ya kujitoa fahamu, wanalaumiwa wa zanzibari Nakamwambie hivi...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kabla ya Uchaguzi tuhuma za Utekaji na kuua Wapinzani wakati wa Uchaguzi Kuua Waandamanaji. Hana pa kuponea

    Kabla ya Uchaguzi Media zote za Kimataifa zilimsema kwa tuhuma ya kuua, kuteka na kupoteza Wapinzani wake huku wengine akiwafungulia kesi za uongo ili wasishiriki uchaguzi Wakati wa Uchaguzi dunia nzima inazungumzia alivyoua Watanzania zaidi ya 1000 huku akijitangaza kushinda kwa asilimia 98 na...
  16. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Marais na viongozi wa nchi za Afrika kwa kutokutoa salamu za pongezi kwa Rais Samia

    Ukimya wa kushangaza umeikumba Afrika kufuatia uchaguzi wenye utata uliomrejesha Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania, baada ya kutangazwa mshindi kwa karibu asilimia 98 ya kura. Kwa kawaida, ushindi mkubwa kama huu huambatana na salamu nyingi za pongezi kutoka kwa viongozi wa mataifa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Sita

    Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu Hassan won the election by 98%, no rigging, wow! Women!🤣🤣

    She won the election by 98%, no rigging, wow! Women! If it was 57% we can understand, so only 2% were on the street or....? https://vm.tiktok.com/ZMAGHLk8m/
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Samia Suluhu to be Sworn in as President on November 3, 2025

    Nov 02, 2025 Tanzania’s President-Elect, Samia Suluhu Hassan, is expected to be officially sworn in on Monday, November 3, in Dodoma City. According to a government statement announced via the national broadcaster, TBC, the swearing-in ceremony will take place at a military venue where...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Nimetoka Kanisani. Samia Suluhu ameshakufa kiroho

    Kwa dhambi za kutoa uhai alizofanya, ni sawa na kajimaliza. Tulia muone damu za Binadamu zinavyofanyazi. Kifupi ni kwamba kashakufa.. Amebaki kimwili tu ndo maana haguswi na mauaji.. Ni mfu kiroho, hajui wala hajali chochote. Imeandikwa, “Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa” (Ezek. 18:4) Mungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…