samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Upinzani wanaiga sera za CCM

    Mgombea Urais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wapinzani wanaiga sera za Chama Cha Mapinduzi ambazo tayari imefanya.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutatoa ruzuku ya Pembejeo bure na kutafuta masoko ya korosho ili kuongeza tija kwa wakulima

    Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa endapo atapata ridhaa ya wananchi, serikali yake itaendelea kutoa ruzuku ya mbolea kwa wakulima ili kuendeleza sekta ya kilimo nchini. Dkt. Samia ametoa ahadi hiyo leo Septemba 25, 2025 wakati akinadi sera...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa: Najua umakini na nia thabiti ya Samia kwa Watanzania

    Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa na Mbunge wa Ruangwa anayemaliza muda wake amesema kuwa anaifahamu Nia thabiti ya Dkt. Samia kwa watanzania na namna anavyotaka kuwaletea maendeleo. Majaliwa amesema hayo akiwa katika Mkutano wa Kampeni uliofanyika Ruangwa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia afanyiwa dua na sala na Masista wa Ndanda

    Masista wa Mtakatifu Benedicto wa Msaada wa Kikristo Afrika kutoka Ndanda wakimuombea Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuhutubia wananchi wa Ndanda, Masasi mkoani Mtwara...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Wenzetu wanayolalamikia hakuna lisilozungumzika, mengi tumekaa, tumeyafanyia kazi, tusilete vurugu

    Naona mama Samia anapeleka ujumbe kwa CHADEMA bila shaka. Lakini akumbuke kama yangekuwa yamefanyiwa kazi basi vyama vyote ikiwemo CHADEMA ingeshiriki uchaguzi. Halafu bingwa angejulikana katika sanduku tena bila uonevu. ======================= “Wenzetu wanayolalamikia hakuna...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ally Mshamu: Kwa aliyotufanyia Samia hatakiwi kuomba Kura, Matokeo yake yanaonekana vizuri

    Ally Mshamu Nampwita, mkulima wa zao la korosho kutoka Kijiji cha Mnavira, Wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara, amesema mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, hakuwa na sababu ya kuomba kura kwa wananchi wa mkoa huo, kwa kuwa tayari amewatendea mambo makubwa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwananchi: Hata aje Trump! Mama Samia atashinda

    Wakazi wa Masasi Mjini wameonesha mshikamano na upendo wa kipekee kwa kujitokeza kwa wingi katika kibanda umiza katikati ya mji kufuatilia kampeni za mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Wananchi wa rika zote, wake kwa waume, vijana kwa wazee...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia awahakikishia umeme wa uhakika Masasi

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ametangaza kujengwa kwa Njia ya kusafirisha umeme kutoka Mkoani Ruvuma- Tunduru mpaka Masasi Mkoani Mtwara ili kutoa uhakika wa upatikanaji wa umeme wa kutosha na wa uhakika...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 BAKWATA yampatia Rais Samia tuzo maalum ya Mufti Tanzania

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeipa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tuzo maalum ya Mufti Tanzania, ambayo iliwasilishwa na kupokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Rais, tarehe 20 Septemba 2025. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania amkabidhi tuzo hii Samia, akitambua...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia asitisha hotuba kwa dakika 1 kupisha Adhana

    PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete: Samia ameweka elimu bure mpaka kidato cha sita nani kama Samia?

    “Hakuna kitu muhimu kama Elimu, Mama Samia kwa kutambua hilo ametoa ada zote kuanzia ngazi ya awali mpaka kidato cha Sita, Nani kama Samia..?”
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutanunua drones 5 za kufukuzia Wanyama waharibifu

    Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan amewaahidi Wakazi wa Tarafa ya Nakapanya kuwa serikali imedhamiria kununua Ndege ndogo za kurushwa angani (Drones) tano ambazo zitasaidia zoezi la kufukuza wanyama waharibifu wanaovamia makazi na kuharibu mazao...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkituchagua tutakamilisha vituo vya Afya Nakapanya

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne Septemba 23, 2025, ameendelea na kampeni zake katika eneo la Nakapanya, mkoani Ruvuma. Akizungumza kwenye mkutano uliohudhuriwa na wananchi, Dkt. Samia alisema endapo...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jenista Mhagama: Ruvuma hatuna mba mba mba, tutampa Samia Kura kwa Kishindo

    Akizungumza na waandishi wa habari katika Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Septemba 22, 2025 Mgombea ubunge Jimbo la Peramiho kupitia CCM, Jenista Mhagama, amewataka wananchi wa Ruvuma kuendelea kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichokiita kasi ya...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunaahidi na kutekeleza tofauti na vyama vingine

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema tofauti na vyama vingine vya siasa, CCM ndicho chama pekee chenye rekodi ya kutekeleza ahadi zake na kueleza wazi namna ya utekelezaji wake. Akihutubia maelfu ya wananchi mjini...
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Songea: Uchaguzi upo na Oktoba Tunatiki kwa Samia

    Baadhi ya wananchi wa Mji wa Songea Mkoa wa Ruvuma wakitoa maoni yao kuhusu uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 uchaguzi wa Rais, wabunge pamoja na madiwani Wengi wao wameonyesha kumkubali Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan wakieleza yale...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Paul Makonda: Rais Samia tumepewa na Mungu, tumuombee afya njema

    "Rais Samia tumepewa na Mungu hakuwa na timu ya kampeni, hajawahi kuwa na mtandao wala hajawahi kukanyaga watu akijiandaa kutafuta cheo. Tumuombee afya njema Mungu aendelee kumlinda na kumpa moyo wa ustahimilivu".- Paul Makonda
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kuumaliza mgogoro wa wakulima na NAFCO

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Shirika la Chakula na Kilimo (NAFCO) limetoa hekari 3,000 kutoka katika mashamba yake kwa ajili ya Wakulima wa Namtumbo mkoani Ruvuma ili kuendeleza shughuli...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutajenga Reli ya Kisasa ya Km 1000 kuunganisha Mtwara–Mbamba Bay kwa Usafirishaji wa Madini ya Liganga na Mchuchuma

    Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujengwa kwa reli ya kisasa yenye urefu wa takribani kilomita 1,000 itakayoanzia Mtwara hadi Mbamba Bay, mkoani Ruvuma. Akihutubia mkutano wa kampeni leo Septemba 22, 2025 mjini Songea, Samia amesema reli...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) yasisitiza kuwa Act- Wazalendo hawana mgombea Urais

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa, Chama cha ACT-Wazalendo, hakina mgombea urais wala makamu wa urais. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima imeeleza hivi: “Katika tovuti rasmi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT -Wazalendo)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…