samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 BAKWATA yampatia Rais Samia tuzo maalum ya Mufti Tanzania

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limeipa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tuzo maalum ya Mufti Tanzania, ambayo iliwasilishwa na kupokelewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa niaba ya Rais, tarehe 20 Septemba 2025. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania amkabidhi tuzo hii Samia, akitambua...
  2. GE2025 Samia asitisha hotuba kwa dakika 1 kupisha Adhana

    PEMBA: MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 20 amesimamisha hotuba yake ya kampeni kwa dakika moja katika Uwanja wa Gombani, Wilaya ya Chakechake, Pemba kupisha wito wa sala kwa Waislamu (adhana). Tukio hilo limeakisi uongozi unaoheshimu na...
  3. GE2025 Salma Kikwete: Samia ameweka elimu bure mpaka kidato cha sita nani kama Samia?

    “Hakuna kitu muhimu kama Elimu, Mama Samia kwa kutambua hilo ametoa ada zote kuanzia ngazi ya awali mpaka kidato cha Sita, Nani kama Samia..?”
  4. GE2025 Samia: Tutanunua drones 5 za kufukuzia Wanyama waharibifu

    Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Dkt Samia Suluhu Hassan amewaahidi Wakazi wa Tarafa ya Nakapanya kuwa serikali imedhamiria kununua Ndege ndogo za kurushwa angani (Drones) tano ambazo zitasaidia zoezi la kufukuza wanyama waharibifu wanaovamia makazi na kuharibu mazao...
  5. GE2025 Samia: Mkituchagua tutakamilisha vituo vya Afya Nakapanya

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne Septemba 23, 2025, ameendelea na kampeni zake katika eneo la Nakapanya, mkoani Ruvuma. Akizungumza kwenye mkutano uliohudhuriwa na wananchi, Dkt. Samia alisema endapo...
  6. R

    GE2025 Jenista Mhagama: Ruvuma hatuna mba mba mba, tutampa Samia Kura kwa Kishindo

    Akizungumza na waandishi wa habari katika Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Septemba 22, 2025 Mgombea ubunge Jimbo la Peramiho kupitia CCM, Jenista Mhagama, amewataka wananchi wa Ruvuma kuendelea kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kile alichokiita kasi ya...
  7. GE2025 Samia: Tunaahidi na kutekeleza tofauti na vyama vingine

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema tofauti na vyama vingine vya siasa, CCM ndicho chama pekee chenye rekodi ya kutekeleza ahadi zake na kueleza wazi namna ya utekelezaji wake. Akihutubia maelfu ya wananchi mjini...
  8. R

    GE2025 Wananchi Songea: Uchaguzi upo na Oktoba Tunatiki kwa Samia

    Baadhi ya wananchi wa Mji wa Songea Mkoa wa Ruvuma wakitoa maoni yao kuhusu uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 uchaguzi wa Rais, wabunge pamoja na madiwani Wengi wao wameonyesha kumkubali Mgombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan wakieleza yale...
  9. GE2025 Paul Makonda: Rais Samia tumepewa na Mungu, tumuombee afya njema

    "Rais Samia tumepewa na Mungu hakuwa na timu ya kampeni, hajawahi kuwa na mtandao wala hajawahi kukanyaga watu akijiandaa kutafuta cheo. Tumuombee afya njema Mungu aendelee kumlinda na kumpa moyo wa ustahimilivu".- Paul Makonda
  10. GE2025 Samia kuumaliza mgogoro wa wakulima na NAFCO

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Shirika la Chakula na Kilimo (NAFCO) limetoa hekari 3,000 kutoka katika mashamba yake kwa ajili ya Wakulima wa Namtumbo mkoani Ruvuma ili kuendeleza shughuli...
  11. GE2025 Samia: Tutajenga Reli ya Kisasa ya Km 1000 kuunganisha Mtwara–Mbamba Bay kwa Usafirishaji wa Madini ya Liganga na Mchuchuma

    Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kujengwa kwa reli ya kisasa yenye urefu wa takribani kilomita 1,000 itakayoanzia Mtwara hadi Mbamba Bay, mkoani Ruvuma. Akihutubia mkutano wa kampeni leo Septemba 22, 2025 mjini Songea, Samia amesema reli...
  12. GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) yasisitiza kuwa Act- Wazalendo hawana mgombea Urais

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa, Chama cha ACT-Wazalendo, hakina mgombea urais wala makamu wa urais. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima imeeleza hivi: “Katika tovuti rasmi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT -Wazalendo)...
  13. L

    GE2025 Rais Samia awashona Midomo waliosema ameuza Bandari. Uwekezaji wake wazaa Matunda kwa kupokea Meli yenye uwezo wa kubeba Magari Elfu 9 kwa mpigo

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Kiongozi Mwenye Maono, ni kiongozi anayeishi mbele ya Wakati ,ni kiongozi ambaye anawaza miaka Elfu moja ijayo,ni kiongozi Mwenye akili kubwa na uwezo mkubwa sana wa kuona mbele. Ni kiongozi ambaye anafikiria kesho njema ya Taifa letu, ni...
  14. GE2025 Samia: Tunasikiliza malalamiko ya watu na tunayafanya Kazi

    Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameeleza kuwa ikiwa Chama hicho kitapewa ridhaa Oktoba, 29, 2025, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ile ya Mapinduzi Zanzibar, zitaendelea kushirikiana pamoja katika kuwaletea maendeleo wananchi wa Tanzania...
  15. GE2025 Kina Mama wagalagala chini wakimpokea Samia Mbinga

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbinga Vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Judith Kappinga, ameongoza akina mama wa Kabila la Wamatengo kumlaki Mwenyekiti wa CCM Taifa na Mgombea Urais, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa njia ya kiutamaduni iliyohusisha wimbo maalum na kugalagala chini kama...
  16. GE2025 Samia kujenga uwanja wa Ndege wa Kimataifa Pemba

    Mgombea wa Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa akipata ridhaa ya kupewa Miaka Mitano zaidi atahakikisha anajenga uwanja wa Ndege wa Kimataifa katika visiwa vya Pemba ili kufungua zaidi kisiwa hicho kiuchumi na kuongeza watalii ambapo uwanja huo utaruhusu ndege kubwa kabisa kutua katika...
  17. GE2025 Samia: Mimi ni Mpemba mwenzenu, nimekuja kuomba Kura

    Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza namna alivyopata elimu yake visiwani Pemba pamoja na kufanya kazi katika visiwa hivyo ambazo ziligusa wananchi moja kwa moja hasa vijijini na Kuwaambia kuwa yeye ni Mpemba mwenzao hivyo wampe kura nyingi za...
  18. L

    GE2025 Rais Samia: Hakutakuwa Na Vurugu Siku Ya Uchaguzi, Mimi Ndiyo Amiri Jeshi Mkuu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Kwa Moyo wa Ujasiri ,kujiamini na Kwa Uhodari Mkubwa sana wa kiuongozi Amewatoa hofu watanzania wote kuwa wajitokeze kwa wingi na kufurika kwenda kupiga kura siku ya...
  19. R

    GE2025 Machifu Kabila la Wamwera waombea amani na ushindi kwa Rais Samia uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Kabila la Wamwera kutoka wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi limefanya ibada maalum ya kuombea taifa amani kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29 Oktoba mwaka huu Akizungumza wakati wa ibada hiyo ya maombi, Kiongozi wa jadi wa Wamwela, Chief Nakyoto Ismail Hassan Malibiche...
  20. Humphrey Polepole: Niliambiwa Rais Samia ameagiza nifukuzwe kazi nikiwa Cuba na mafao yangu yote nisipewe

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Balozi aliyejiuzulu, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao, Septemba 18, 2025, amesema amesikia kuhusu kuitwa na Jeshi la Polisi lakini bado kuna tatizo Serikalini kwa sababu walipaswa kuihoji Serikali kwanini haijanirejesha nchini baada ya mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…