samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Makonda aonya Wanasiasa wanaolenga Urais 2030, aahidi kuwashughulikia wanaomsaliti Rais Samia

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Christian Makonda amesema kuelekea mwaka 2030 wapo wanasiasa wengi wanaotaka kutumia shida za wananchi kupata uongozi Mkuu wa Nchi, akiahidi kushughulikia wale wote wanaopanga njama za kuharibu na...
  2. Samia Suluhu Hassan ndo kielelezo cha Upendo wa Wazanzibari kwa Watanganyika

    Salaam Wakuu, Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake. Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo. Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari...
  3. Shadrack Chaula alitekwa na wauaji na kupotezwa hadi leo hatujui alipo

    Walimteka Shebby kisa kachoma picha ya Rais. Kwanza picha yenyewe aliichora yeye. Pia alichora baada ya rais kusema atatekeleza mambo Four R. Lakini baadaye akagundua Samia hatekelezi 4R kama alivyo ahidi. Shedrack akaamua kuchoma hadharani picha ya samia aliyoichora. CCM wakamshitaki...
  4. Tunaiomba Serikali yetu sikivu ya Samia Suluhu Hassan ianze kuitambua shahada ya Pili kimuundo na kimasilahi kwa walimu

    Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma. Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa...
  5. Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda (Mb) amesema Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tayari imelipa takribani Dola za Marekani Milioni 32 kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) kama sehemu ya gharama za maandalizi ya kuwa mwenyeji...
  6. Jaji Ndika: Wananchi wengi Ngorongoro wana hofu ya kupoteza ardhi yao

    Mwenyekiti wa Tume ya kutathmini matumizi ya ardhi katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, Jaji Dkt. Gerald Ndika, amesema baadhi ya wananchi katika maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba wameeleza malalamiko yanayohusu matumizi ya ardhi na ushirikishwaji katika maamuzi. Akizungumza Alhamisi...
  7. LIVE: Mheshimiwa Rais DK Samia Suluhu Hassan akipokea TAARIFA YA TUME ZA RAIS KUHUSU MGOGORO WA ARDHI NA UHAMAJI WA HIARI NGORONGORO.

    Watch https://www.youtube.com/live/kKU_Zsb_8bw?si=-QaqDHU-S9d8JH2Z Video Courtesy: State House
  8. Rais Samia apokea taarifa ya Tume za Rais kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro

    Rais Samia Suluhu, akipokea taarifa ya Tume za Rais alizoziunda kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Machi 12, 2026, Ikulu Chamwino, Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=kKU_Zsb_8bw Mwenyekiti wa...
  9. Dkt. Nchimbi: Watanzania, msiache kuiombea nchi

    Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amewasihi viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla kutumia kipindi cha toba cha Ramadhani na Kwaresma kuiombea nchi, viongozi wa serikali na vyama vya siasa ili kuendelea kujenga taifa lenye upendo, amani na mshikamano. Makamu wa Rais amesema...
  10. Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  11. Mzee Butiku: Tukubali tunaye Rais

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku, amewataka Watanzania kukubaliana na uhalisia kwamba nchi tayari ina Rais aliye tayari kwa maridhiano. Butiku ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2026, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day)...
  12. Rais Samia: Tumuombe Mungu Marekani na Iran wazungumze misukosuko iishe, dunia irudi katika hali ya kawaida

    Rais Samia, ameiagiza Wizara ya Nishati kuimarisha akiba ya kimkakati ya mafuta ya taifa ili kuilinda nchi dhidi ya misukosuko ya siasa za kidunia na kupanda kwa bei ya nishati. Akizungumza leo, Machi 3, 2026, jijini Dar es Salaam wakati wa kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa matanki ya...
  13. P

    Rais Samia kwa Rais wa Ghana: Kila kitu kipo salama Tanzania baada ya uchaguzi

    Ya kweli haya ndugu zangu? Kila kitu pipo shwari baada ya uchaguzi? Mambo yamerejea kama kawaida na uchumi umekua? ===== "Tanzania tuko watulivu na tuko sawa. Kisiasa, kila kitu kiko chini ya udhibiti baada ya uchaguzi wetu wa Oktoba. Sasa nchi imerejea katika hali ya kawaida na tunaendelea...
  14. H

    Rais Samia akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayemaliza muda wake, Bi. Veronica Nduva, tarehe 28 Februari, 2026 Ikulu, Jijini Dar es Salaam. Pamoja na masuala mengine, Katibu Mkuu ambaye anamaliza...
  15. Rais Samia na Emmanuel Nchimbi wanaiendesha CCM kisayansi na kimkakati zaidi pengine kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanzishwa kwake

    Ukiachilia mbali vikao maalumu vya kimkakati kidigitali ambavyo hufanyika mara kwa mara nchini kote, mipango mingi muhimu na mikubwa zaidi ndani ya ccm hufanyika pia kianalojia kulingana na mazingira ya eneo husika kwa lengo la kukiimarisha, kukiboresha na kukisogeza karibu zaidi na wanachama na...
  16. President Samia inaugurates historic National Defence Headquarters in Dodoma

    On February 24, 2026, President Samia Suluhu Hassan (who also serves as the Commander-in-Chief of the Tanzania People's Defence Force, or JWTZ — Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania) officially inaugurated the new National Defence Headquarters in Dodoma, Tanzania. This modern facility is...
  17. Mwenyekiti wa CCM aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, leo Februari 25, 2026

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika mkoani Dodoma, tarehe 25 Februari, 2026.
  18. Rais Samia amefuata ushauri wa Prof. Janabi? Mbona amepungua sana!

    Wakuu Picha za leo kwenye uzinduzi wa Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi iliyopigwa na Ikulu zikimuonyesha amepungua sana! Tofauti na picha zake nyingi. Picha hii inaonyesha Rais akiwa tofauti kimuonekano ukilinganisha na hizi za leo
  19. Rais Samia akipiga Bastola akizindua Makao Makuu Ulinzi wa Taifa

    Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini, Rais Samia amezindua rasmi Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa yaliopo Kikombo jijini Dodoma kwa tukio la kupiga Bastola angani. Jengo la Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa ambalo pia ndiyo Makao Makuu ya JWTZ na Wizara ya Ulinzi. Jiwe la Msingi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…