salamu

As-salamu alaykum (Arabic: ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ‎, as-salāmu ʿalaykum, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum]) is a greeting in Arabic that means "Peace be upon you". The salam is a religious salutation among Muslims when greeting, though it is also used by Arabic speakers of other religions, such as Arab Christians, as well as by Muslims generally. In colloquial speech, often only the first part of the phrase (i.e. Salām, "peace") is used to greet a person. The typical response to the greeting is wa ʿalaykumu s-salām (وَعَلَيْكُمُ ٱلسَّلَامُ, [wa.ʕa.laj.ku.mu‿s.sa.laː.mu]), "And peace be upon you, too." The complete phrase is as-salāmu ʿalaykum wa-raḥmatu -llāhi wa-barakātuhū (ٱلسَّلَامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ ٱللَّٰهِ وَبَرَكَاتُهُ, [as.sa.laː.mu ʕa.laj.kum wa.raħ.ma.tu‿ɫ.ɫaː.hi wa.ba.ra.kaː.tu.huː]), "Peace be upon you, as well as the mercy of God and his blessings."
This greeting appears in abbreviated forms in many languages as some variant of salām (سَلَام, cf. Persian [sæ.lɒːm]). Among Christians, during Mass, the priest and the congregation often use the salutation, "peace be with you."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tupia ushauri wa afya na salamu za sikuu ya Christmas

    Habari wapendwa wanaJF wenzangu nawatakia heri ya sikuu kuu na mwaka mpya kwenu nyote kwa upendo na mshikamano baina yetu, kila la kweri nyote. Tusisahau kutunza afya zetu kwani ndio utajiri namba moja WEALTH = HEALTH
  2. JamiiForums Tanzania The Watchers: Salamu Toka ICC..."Tread Careful"

    Na. M. M. Mwanakijiji https://www.youtube.com/watch?v=4mGDNsyA53g Nilipata nafasi siku hizi mbili tatu kukutana na watu muhimu sana kwenye sakata la mauaji ya Oktoba 29-Novemba... Kitu ambacho sikuwa nimejua kwa undani ni kwa kiasi gani hawa jamaa wa ICC wako up to date na yanayoendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Salamu kwa Rais Samia

    Mheshimiwa Rais, Nitangulize salamu za heshima na pole kwa majukumu yako mazito ya kulitumikia na kuliongoza taifa letu. Nikiwa kijana mzalendo, mkweli na asiye na mashaka juu ya uzalendo wangu kwa nchi hii, nimeona ni vyema kukuletea salamu na ujumbe maalumu tunapoanza mwezi huu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi yule mama wa Namibia naye alituma salamu za pongezi?

    Yaani namaanisha kama mwanamke mwenzake alituma Salam za pongezi . Au ndio ile wanawake hawapendani?
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dodoma tumeni salamu hapo Bungeni na Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana. Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi. Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia atuma salamu za pole kufuatia kifo cha Odinga

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa rais wa Kenya ,familia ya Odinga na wananchi wa Kenya kufuatia kifo cha waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Odinga. Kupitia taarifa ambayo rais Samia ameiweka kwenye mitandao ya kijamii...
  7. JamiiForums Tanzania Salamu ni kitu cha muhimu sana hata kama hutaki kuongea na majirani zako

    Hata kama uko busy sana jitahidi kusalimia majirani zako na sio kuwapita kama huwajui Siku ukiugua ghafla na huwezi kushika simu kupigia ndugu ndio utajua umuhimu wa kuishi na majirani vizuri. Note: Maisha ni yako sawa ila matanga ni yetu.
  8. JamiiForums Tanzania Ushawahi pigiwa simu ya nyumbani bila salamu unasikia fanya ufanyavyo anza safari usiku huu fika nyumbani afu anakata simu

  9. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  10. JamiiForums Tanzania Byabato popote ulipo nadhani salamu umezipata na kama haujazipata nakupatia muda huu.

    Ndugu Byabato usiendelee na hizo dharau za kusema unaweza kuwachagulia wananchi wa Bukoba mjini Mbunge . Kuwa makini Sana wala usithubutu kuingia katika huo mtego wa kushindana na Mwenyekiti wa chama na kamati kuu waliokukata.
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya Wanachama wa ACT Wazalendo wagomea salamu ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa

    NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza alipopewa nafasi ya kuzungumza kwenye Mkutano Maalum wa chama hicho leo, Agosti 6, 2025 alianza kwa kuwasalimia ''Nawasalimu kwa jina la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania." mwitikio wake haukuwa vile alivyotarajia.
  12. JamiiForums Tanzania Mfikishieni Salamu Samia ya kwamba Maneno huumba Kilio Cha watanzania hakitaenda bure

    GT Tunasema 'Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu" hata kiswahili chetu kinasema "Wengi wape". Hatakiwi kabisa na yeyote huyu.mama. Sasa huyu naona anajidai kuziba masikio anavunja katiba ya nchi na Chama kwa maslahi binafsi. Anatumia.pesa na hila kupoka madaraka ambayo hayawezi. Hivi vilio na...
  13. JamiiForums Tanzania Salamu kwa Balozi Humprey Polepole na wanaong'atuka au kung'atuliwa madarakani

  14. JamiiForums Tanzania Salamu kwa Askofu Gwajima

  15. JamiiForums Tanzania Salamu za dhati kwa Mbaga Jr, nitarudi Dar tena

    Nakusalimia tu boss wangu uliye mbali na mboni ya macho yangu Haiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!,umenizururisha kwenye hilo jiji ,kidogo nilifahamu, nilieenjoy Nitarudi tena,nakumis , nakumiss, nakumiss, nakumiss
  16. JamiiForums Tanzania Salamu kwa Wakenya wote waliomo humu na nje.

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/fyatu-mfyatuzi-waki-nyaa-mkome-kutaka-kutovuka-na-kutuvurugia--5059584
  17. JamiiForums Tanzania Ukiwa Mtu Mzima Utagundua Kwamba Salamu Ya Shikamoo Ni Mtihani

    Hiyo namba ndio mwaka wangu wa kuzaliwa,ulivyokuwa na hamu ya kujua Etugrul Bey ana miaka mingapi utapiga hesabu bila aibu ujue nina miaka mingapi,usijichoshe hii may nimetimiza miaka 46,je kuna mwenye shida na hilo? Nakumbuka nikiwa Chuoni kuna mtu wa Library kipindi hicho alikuwa kwenye 40's...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna shabiki wa mpira hapokei simu

    Habari wakuu kuna Shabiki wa mpira wa timu ya WANITESA UNITED hata salamu hapokei haoneshi ushirikiano kazini kwani kunanini kinaendelea huko MNIJUZE
  19. T

    JamiiForums Tanzania Salamu Baba na Mama...

    Salamu Baba na Mama Nazituma kwa furaha Bila shaka zitafika , mfurahi nyote bila manung'uniko wapenzi oohh... Wazazi ninafuraha sana kuwakumbuka nyie, Wala msiwe na shaka juu yangu mie Na mimi nawaombea heri na baraka nyote.. Daah, nimekumbuka mbali sana mpaka machozi...
  20. JamiiForums Tanzania salamu

    hello jf online... hamjambo wote kwa ujumla Temperature equivalent Baba wa mbingu Masagala Castle_Lite osib Chibolo Bengalensis mshamba_hachekwi Alphonse Kihwele Babuyao maiko sultan Mwani Gurugurumee Coffee choza choza Mbuzi mee mkalusanga Tebajanga _kitabu Dr am 4 real PhD sir j Mcheza Viduku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…