salama na

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

  2. Stuxnet

    Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk-Urusi

    Rais Kim Jung Un amewatunuku askari waliorudi salama na kutoa pole kwa familia za waliofia kwenye vita jimbo la Kursk Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un, amewapongeza na kuwatunuku askari wa Korea Kaskazini waliorejea salama kutoka vitani katika mkoa wa Kursk, Urusi, ambapo walishiriki...
  3. K

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa

    Wakazi wa mji wa Njombe wanatarajia kupata huduma ya majisafi, salama na ya kutosheleza kwa asilimia 100, kufuatia Mradi mkubwa wa maji unaotekelezwa na Serikali kwa gharama ya Dola za Marekani 15.7. Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb), amefanya ziara ya kukagua mradi huo ambao ni moja wapo...
  4. Crocodiletooth

    Je simu tunazonunua madukani zenye kaneno"powered by android,ni salama na za kudumu?

    Naomba kujuzwa juu ya hili?, Tulizoea ukininua Nokia,au Tecno,au Samsung, wakati wa kuiwasha ,kwenye main screen ya simu lilikuja neno moja tu, TECNO!.
  5. Mtu Alie Nyikani

    Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Wakuu kwema? Leo hii, moyo wa taifa letu unapitia majaribu. Kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji, mateso na mauaji ya raia hasa wale wanaotoa maoni tofauti au kusimamia haki. Hali hii inaleta hofu, giza, na ukimya wa kulazimishwa. Matukio haya yameipaka doa nchi yetu ambayo kwa muda...
  6. S

    Maono: Tundu Lissu yuko jela ili awe salama na kisha aje achukue uongozi wa nchi hii kutoka jela

    Sina mengi ya kusema ila ukweli ndio huo na hii ni kazi ya Mungu (NATURE). Angebki uraiani, ingekuwa ni hatari zaidi kwake . Kwahiyo, NATURE imemtafutia sehemu salama ingawa tunaona kama anateseka. Pia, kuwepo kwake ndani, kunachochea hamasa ya mabadiliko. Kwa kifupi, yuko jela kwasababu kuu...
  7. Stability

    Nisaidieni jina la wimbo unaosikika background kwenye podcasts za 'Salama Na'

    Wakuu Kwa yeyote anayejua, naomba msaada jina la wimbo unaosikika kama background kwenye podcasts za "Salama Na". Karibuni wakuu mwenye kufahamu wimbo huo.
Back
Top Bottom