Huwezi kutuhumiwa na hapo hapo ukajichunguza na kujihukumu. Gambo alitoa shutuma nzito za ubadhirifu dhidi ya wizara ya TAMISEMI, ilitosha kwa spika wa bunge kumuagiza CAG kwenda kupitia matumizi ya pesa za ujenzi uliotuhumiwa na ripoti yake kujadiliwa bungeni, mwisho wa siku mbichi na mbivu...