saada mkuya salum

Saada Mkuya Salum (born 1975) is a Tanzanian CCM politician and a nominated Member of Parliament. She is a former Minister of Finance.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kingu: Kusema Watanzania milioni 60 kutibiwa Zanzibar ni kumdhalilisha Rais Samia na kudharau juhudi zake

    Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya nchini, hatua inayofanya huduma za tiba kuboreshwa kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali ya Tanzania Bara na Visiwani. Kingu ameeleza kuwa ni jambo...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya- Saada: Sio Ubaguzi. Tatizo kuna watu wanaweka vichwa vya habari wanavyotaka wao

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum, amefunguka kuhusu sintofahamu iliyojitokeza hivi karibuni kuhusu kauli yake juu ya matumizi ya Mfumo wa Matibabu Kadi, huku akisisitiza kuwa mfumo huo umekuwa ukitumiwa vibaya na kuingiza mzigo mkubwa wa gharama kwa Serikali ya Mapinduzi ya...
  3. Inside10

    JamiiForums Tanzania Kaimu Waziri wa Afya-Saada: Hatuwezi Kuwatibu wasio Wazanzibari

    Kaimu Waziri wa Afya Zanzibar, Saada Mkuya Salum amesema Serikali ya Mapinduzi Zanzibar haiwezi kugharamia matibabu kwa Watu wasio Wazanzibar. Saada ametoa kauli hiyo Juni 8, 2026 wakati akijibu hoja kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar kupitia vikao vinavyoendelea vya kujadili bajeti...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Namwona Saada Mkuya Salum kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais Samia kujenga taifa

    Hivi kuna uwezekano huyu dada akaachishwa kazi katika BARAZA la mapinduzi na kuletwa kwenye BARAZA la mawaziri la JMT? Namwona kama ana uwezo mkubwa sana wa kumsaidia Rais wa Jamuhuri ya Muungano katika SHUGHULI za kila siku za kulijenga hili Taifa. Je, kuna uwezekano waziri akateuliwa kwenye...
Back
Top Bottom