Habari wakulima wenzangu,
Kampuni ya Kinasoru East Africa (T) Limited inauza shamba lake lenye ukubwa wa ekari 400 ambalo lilinunuliwa kidogo kidogo kutoka kwa wakulima tofauti kwa ajili ya uwekezaji wa Kilimo. Shamba hilo limejitenga na linafaa kwa kilimo cha Mbegu za Mahindi, Mahindi ya...