ruvu

The Ruvu weaver (Ploceus holoxanthus) is a species of bird in the family Ploceidae. It is endemic to eastern Tanzania.
Initially described as a distinct species by Gustav Hartlaub in 1891, it was synonymized with the eastern golden weaver (P. subaureus) by the majority of later authorities. However, critical morphological analysis in 2021 confirmed it as being a distinct species. It can be generally distinguished from P. subaureus by the darker brown eye of the male and the lighter lower mandible of the female.It has a very restricted distribution in Tanzania, being only found along the Ruvu, Wami, and Rufiji river basins. Several colonies are known from the vicinity of Morogoro.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Baleke anayetakiwa kusajiliwa Ulaya ni huyu huyu aliyefunikwa na Ruvu Shooting au mwingine?

    Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
  2. Robertinho: Tuko tayari kuifumua Ruvu Shooting

    Kocha mkuu wa club kubwa Tanzania(Simba SC) ndugu Robertinho, amesema kikosi kiko tayari kuikabili Ruvu Shooting ya Pwani. Akizungumza na Raia Mwema amesema wanatarajia kushinda kwa idadi kubwa ya mabao kwani mpira una maajabu hivyo yeye hajakata tamaa ya kutwaa ubingwa.
  3. J

    DAWASA yatangaza kuzimwa kwa mtambo wa uzalishaji maji Ruvu Juu Jumamosi April 15

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja na wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Juu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya maji kwa wastani wa saa 16 siku ya Jumamosi , Aprili 15, 2023. Muda: Kuanzia Saa 12 jioni hadi Saa 4...
  4. Polisi Tanzania na Ruvu Shooting hofu yatanda Ligi Kuu

    Polisi Tanzania na Ruvu Shooting wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kuokoa nafasi zao katika Ligi Kuu Bara. Kila timu imebakiza mechi nne kabla ya msimu kumalizika na zinaonekana kutegemea miujiza kutoka kwa wapinzani wao ili kuepuka kushuka daraja. Pengo la pointi baina yao na timu zilizo...
  5. Mtambo wa kuzalisha Maji wa Ruvu Juu umezimwa tena kwa Matengenezo

    Kwa mujibu wa Taarifa ya Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) mtambo huo umezimwa kuanzia leo Februari 23, 2023 hadi saa 6 usiku Februari 24, 2023 Maeneo yanayoathirika ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza, Mlandizi, Mbwawa, Visiga, Maili 35, Misugusugu...
  6. DAWASA kuzima Mtambo Ruvu Chini kwa saa 36 Januari 30, 2023

    Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Dar es Salaam, (DAWASA) imetangaza kuzimwa kwa mtambo wa kuzalisha Maji Ruvu Chini uliopo Wilayani Bagamoyo kwa saa 36 Jumatatu 30 Januari 2023 Kwa mujibu wa DAWASA, lengo la uzimaji huo ni kusafisha mifumo yote ya Mtambo ikiwemo Machujo, Matanki yote ya Maji...
  7. DAWASA kuzima mtambo wa Ruvu Juu kwa ajili ya matengenezo Januari 11, 2023

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema Mtambo huo utazimwa Januari 11, 2023 saa 12 asubuhi ili kufanya matengenezo ya Mabomba Makubwa ya Inchi 48 na 36 eneo la Mlandizi na Visiga. Maeneo yatakayokosa Maji ni Chalinze, Mboga, Ruvu Darajani, Ruvu JKT, Vigwaza...
  8. 'Tuoge' sasa 'tusinuke' tena 'Vikwapa' na 'Naniliu' kwani 'Dawasatz' wamesema 'Maji' yameanza 'Kuongezeka' Mto Ruvu

    Hali ya Maji imeanza Kuongezeka Mto Ruvu hivyo maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam yaliyokuwa hayapati Maji sasa yanaanza kupata baada ya Mvua Kunyesha. Chanzo: Dawasatz Tafadhali mlio jirani na Mto Ruvu tupeni Ushuhuda wenu isije ikawa Wachina Wawili, Mswahili Tabasamu na Tajiri wa Kujificha wa...
  9. J

    Tatizo la Maji: Mto Ruvu hauna maji au ni matengenezo ya DAWASA?

    Ni vema tukaelezwa Ukweli ili tujipangie Siku za kuoga Tatizo ni nini hasa? Ni matengenezo ya Pump za Dawasa au Mto Ruvu hauna Maji?! Msema Ukweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni!
  10. Rais Samia wasikudanganye nikodishie Helicopter nikakuonyeshe Wakubwa Watano waliochepusha Maji ya Mto Ruvu

    Tena Wawili uko nao katika Serikali yako ya sasa, Mmoja ni Mstaafu mkubwa mno na Wawili ni Wanawake ambao wanashirikiana na Wakubwa fulani pamoja na Wachina kadhaa. Mheshimiwa Rais Samia Mimi Mwanao GENTAMYCINE napinga na nakataa kata kata kuwa Mgao wa Maji ulionza katika Mikoa ya Dar es...
  11. FT: Ruvu Shooting 1-2 Yanga, Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Mkapa, Oktoba 3, 2022

    Wadau nawakaribisha ili tupeane kinachoendelea kwenye mech tajwa hapo juu. Mchezo umemalizika: Kocha wa Ruvu Charles Mkwasa anasema timu yake haikustahili kupotez mchezo huu kwa kuwa walicheza vizuri lakini walizidiwa uzoefu na wachezaji wa Yanga. 90' Mchezo unaweza kumalizika muda wowote...
  12. Ruvu shooting leo wanamfunga mdomo utopolo

    Leo natarajia tambo na shombo nyingi za Masau Bwire. Ruvu 2 Utopolo 1. Timu lao bovu msimu huu.
  13. Daraja jipya la Wami Ruvu kuanza kutumika Septemba 30, 2022

    DARAJA Jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3.8 litaanza kutumika Septemba 30, 2022.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…