rumande

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ‎Kiongozi wa Upinzani Cameroon, Anicet Ekane afariki dunia akiwa rumande. Familia yasema haijapewa maelezo ya kutosha kuhusu kifo chake

    ‎Kiongozi wa upinzani nchini Cameroon, Anicet Ekane (74), amefariki dunia akiwa rumande siku ya Jumatatu, baada ya kukamatwa kufuatia maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa Oktoba. Ekane alikuwa Mwenyekiti wa chama cha African Movement for New Independence and Democracy (MANIDEM) na mmoja...
  2. PostGE2025 Dar: Washtakiwa 18 wa Uhaini Warudishwa Rumande

    Washtakiwa 18 wa makosa ya uhaini yaliyotokana na vurugu za Oktoba 29, 2025 wamerejeshwa rumande kusubiri tarehe iliyopangwa kurudi tena mahakamani hapo kuendelea na kesi hizo. Jumla ya washtakiwa 198 kati ya 216 waliofikishwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wameachiwa huru ambapo ndugu...
  3. Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  4. S

    Hivi unawezaje, uwe au usiwe CCM, kufurahia Lissu kuwekwa rumande na kuwa mbali na familia na jamaa zake? Labda uwe na roho mbaya ya kishetani sana

    Unajua kitu kimoja ni kwamba kuna mambo na hisia ambayo yanakutambulisha wewe ni mtu wa namna gani. Kuna vitu ambavyo vitakutambulisha wewe kuwa mtu mstaarabu au mwenye roho mbaya ya kishetani sana. Kwa mfano, chukulia kibaka amekamatwa akijaribu kupora simu yako. Watu wenye hasira wanaamua...
  5. Nimepigwa na kudhalilishwa kisha nikalala rumande (msaada wa kisheria tafadhali)

    Kutoka kwa rafiki nanukuu bila kuongeza wala kupunguza chochote...mimi ni mwanamke mmiliki wa duka la dawa, siku ya jumatano tarehe 19.3.2024 walikuja watu dukani kwangu ambao hawakujitambulisha ila waliniuliza leseni ya biashara na CHETI cha utambulisho wa mlipa kodi TIN certificate hawakunipa...
  6. Kwa Kauli ya Manara Je alikuwa sahihi au atupwe rumande ya Michezo?

    Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii! Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee...
  7. W

    Nicole amekosa dhamana karudishwa rumande baada ya kesi yake kusikilizwa

    Mwigizaji Joyce Mbaga (32) maarufu kama 'Nicole Berry' leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Jijini Dar es salaam amesomewa mashtaka matatu ikiwemo kuendesha genge la uhalifu na kupokea shilingi za Kitanzania milioni 185.5 kutoka kwa umma bila kibali kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
  8. Mambo bado kesi ya Dr Manguruwe, kuendelea kusota rumande, kesi yaahirishwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa kutokana na kutokamilika kwa upelelezi ambapo anashtakiwa kwa makosa 29 ikiwamo ya uhujumu uchumi...
  9. Guinea: Video ya Baltasar Engonga akifungwa Pingu na kufikishwa Rumande kwa kashfa ya video za ngono ofisini

    Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za ngono zilizorekodiwa kuenea mitandaoni siku kadhaa zilizopta. Engonga amekuwa gumzo kubwa kufuatia...
  10. UPDATE: Boniface Jacob kuendelea kusota rumande baada ya jeshi la Magereza kukosa usafiri wa kumfikisha Mahakamani Kisutu kusikiliza dhamana yake

    Hatima ya dhamana ya Boniface Jacob "Boni Yai," itajulikana leo, Septemba 23, 2024, wakati Mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu maombi ya Serikali ya kuzuia dhamana yake. Boni Yai alikamatwa na kuletwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, ambapo alikabiliwa na mashitaka mawili...
  11. Alichokisema Peter Kibatala kuhusu Boni Yai kunyimwa dhamana na kurudishwa Rumande

    Haya ndio Mashtaka yanayomkabili Boniface Jacob @ExMayorUbungo , wakili Peter Kibatala @PKibatala_ azungumza
  12. Dhamana ya Boniface Jacob yadunda, aendelea kusota Rumande

    Wakati Jeshi la Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitandao, Boniface Jacob maarufu ‘Boni Yai’, wakili wa chama hicho, Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana. Mwasipu amesema, Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana jana...
  13. Tanga: Mahakama yazuia Dhamana ya Kombo Mbwana, ataendelea kubaki Rumande

    Baada ya mvutano wa siku kadhaa kuhusu dhamana ya kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana, Mahakama ya Wilaya ya Tanga imeuhitimisha kwa kufunga dhamana yake. Uamuzi wa kufunga dhamana umetolewa Alhamisi, Septemba 5, 2024 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya...
  14. Gavana wa Benki Kuu ya Nigeria aliyejiuzulu kwa Rushwa awekwa Rumande

    Taarifa iliyotolewa na Serikali imesema Bosi huyo wa zamani, Godwin Emefiele ameshtakiwa kwa makosa ya Ubadhirifu katika Manunuzi wakati aalipkuwa Gavana wa Benki Kuu, hivyo tarativu za Kesi na Dhamana zitasikilizwa Novemba 22, 2023. Hata hivyo, Mahakama ilimkuta hana hatia kwenye makosa...
  15. Unyama: George Sanga atimiza siku 1088 rumande kwa tuhuma ya Mauaji

    Ndio maana sisi wengine hatushiriki hata kwenye misiba yao. Kama aliyekuwa anafanya ukatili huu alishakufa na kuzikwa , kwanini hawa waliopo wanaacha haya yaendelee? Ikumbukwe kwamba huyu kijana George Sanga hajafungwa , yuko selo tu huku tukiendelea kuambiwa Upelelezi bado haujakamilika...
  16. M

    CHATO: Viongozi wa CHADEMA wasota rumande ya polisi kwa kukosa dhamana

    Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu. Wanasota rumande wamenyimwa dhamana. Leo hii zaidi ya wiki na na siku kadhaa wameshonwa nyavuni Mbowe...
  17. Daktari kesi ya Afande Rama asema baada ya vipimo amebaini kuna uwazi sehemu za siri za nyuma za mshtakiwa

    Shahidi namba moja Dkt. Fahad Nassor Mohammed katika kesi namba 59 ya Mwaka 2023, inayomkabili Mshtakiwa Ramadhan Hassan Ali ambaye anashtakiwa kutenda makosa mawili ikiwemo kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kosa la pili la maudhui ya king’ono ametoa ushahidi wake mbele ya Mahakama ya...
  18. M

    Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Imekuwa dhuluma hadi kwa watumushi wa Mungu. Raia wema wakimbilie wapi? Katika hali ya kushangaza Mchungaji mmoja wa kanisa la wasabato wilayani Kahama na familia yake wamejikuta wakinyanyasika pasipokuwa na uhalali wowote kufikia kuswekwa ndani na kulala rumande. Kadhia hii imemkuta mchunga...
  19. S

    Baada ya sheria ya haki ya dhamana kupitishwa, Serikali iangalie suala la Polisi kuvizia kukamata mtu Ijumaa ili akae rumande hadi Jumatatu

    Tunashukuru kwamba serikali hatimae imesikiliza kilia cha wananchi cha siku nyingi juu ya kuweka watu mahabusu bila kuwapa haki yao ya dhamana. Udhaifu wa hili ulikuwa pande zote mbili, polisi na mahakama, kwa sababu mahakimu nao pia walikuwa wakiwaendekeza polisi kwa kuachia watu warudishwe...
  20. Serengeti: Catherine Ruge wa BAWACHA akamatwa na polisi

    Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Catherine Ruge. Jeshi la Polisi, Mkoa wa Mara limemkamata Katibu wa Baraza la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…