rufiji

The Rufiji are an ethnic and linguistic group based in the central coast of Tanzania, near the Rufiji River. In 1987 the Rufiji population was estimated to number 200,000 [1].

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Polisi kuanza uchunguzi vifo vinavyodaiwa kuhusisha Askari- Tarime, Arusha na Rufiji

    AARIFA KWA UMMA UCHUNGUZI WA MATUKIO MATATU YA VIFO Jeshi la Polisi linafanya uchunguzi wa matukio matatu ya vifo vilivyotokea kwa nyakati tofauti Tarime/Rorya, Jijini Arusha na Rufiji. Tukio la kwanza ni la kifo cha Dickson Tadeus Joseph, mkazi wa Rebu Senta Wilayani Tarime kilichotokea...
  2. M

    Kama Mto Wami ukijengewa bwawa kubwa la Maji,Dar haiwezikujitosheleza kwa maji?

    Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini? Nawakilisha,ikiwezekana hata maji ya mto Jangwani nayo yajengewe bwawa
  3. Mafyangula

    GE2025 Mchengerwa aomba Rufiji ipande hadhi kuwa Mkoa, ili kurahisisha huduma kwa wananchi

    Mgombea ubunge wa Rufiji wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mohamed Mchengerwa amewasilisha maombi ya wananchi wa jimbo hilo kwa mgombea mwenza wa urais wa chama hicho, Dk Emmanuel Nchimbi la Rufiji kuwa mkoa ili kurahisisha huduma. Mchengerwa ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za...
  4. Mafyangula

    GE2025 Mchengerwa: Wananchi wa Rufiji wanakwenda kwenye Uchaguzi bila hofu kutokana na Maendeleo yaliyofanyika Jimboni humo

    Mkwe wa Samia naona anavyoendelea kuwaada wananchi wa Rufiji ============ Mgombea Ubunge wa Rufiji kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM)Mohamed Mchengerwa ameweka wazi kuwa Wananchi wa Rufiji wanakwenda kwenye Uchaguzi bila hofu kutokana na Maendeleo yaliyofanyika Jimboni humo. Mchengerwaameeleza...
  5. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kumpokea Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Vituko vinaendelea huko! Pesa zinasakwa jamani kwa kila njia Yani unajidhalilisha kisa mtu ambae akitoka hapo akukumbuki tena. Ni Huzuni kwa kweli =========================== Wanawake wa Rufiji wakigaragara chini kwa furaha wakati wa mapokezi ya mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt...
  6. Mkalukungone Mwamba

    Ajali Rufiji: Mwenyekiti wa CCM Kilwa na Wengine Watatu Wafariki, 28 Wajeruhiwa

    Watu wanne, akiwemo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi, Issa Kalupula (60), wamefariki dunia na wengine 28 wamejeruhiwa baada ya gari walilokuwa wamepanda (Higer T574 DZY) kuacha njia na kupinduka katika Kijiji cha Kiwanga, Wilaya ya Rufiji, Barabara Kuu ya Kilwa - Dar es Salaam...
  7. Stephano Mgendanyi

    Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa

    Miaka 10 imekuwa ya Mapinduzi makubwa ya fikra na uchumi Rufiji- Mhe. Mchengerwa Na John Jayros Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) wa Jimbo la Rufiji, Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema akichaguliwa tena atashirikiana na wananchi wa jimbo hilo kuboresha uchumi baada ya...
  8. Frank Wanjiru

    Rufiji: Kada wa CCM Shaban Matwebe akataliwa kuchukua form ya kugombea Ubunge jimbo la Mchengerwa.

    Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji. Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
  9. Just Pray

    GE2025 Mshindani wa Mchengerwa ndani ya CCM adai kunyimwa fomu kutia nia ubunge Rufiji

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amejikuta katika hali ya mshangao baada ya Katibu wa Chama hicho wilaya ya Rujifi kumnyima fomu ya kukiomba Chama chake kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Matwebe anatajiwa kuchuana na Mbunge anayemaliza muda wake Mohamed...
  10. R

    PreGE2025 Mwenyekiti MTR: Wanarufiji hatumdai Rais Samia, tunamkubali Mbunge wetu Mchengerwa atuletee maendeleo

    Mwenyekiti wa Mchengerwa Tumaini la Rufiji Movement - MTR - Juma Kiholobele amesema Wilaya ya Rufiji Rais Dkt Samia Suluhu Hassan na Mbunge wao ambaye ni Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa kwa waliyofanya katika kuwaletea maendeleo hakuna tunachowamdai Amesema hayo akiwa huko Kata ya Mkongo...
  11. Jack Daniel

    PreGE2025 Kiongozi akifanya vyema apewe maua yake, tuache siasa za chuki bila sababu

    Viongozi wengi wa kuchaguliwa haswa wabunge na madiwani wamekuwa ni wepesi wa kuahidi vitu visivyotekelezeka, huku ikiacha maswali mengi nini kinasababisha hawa ndugu kushindwa kuwaletea wananchi mambo mazuri. Lakini hebu kwenye Uzi huu nimzungumzie Mbunge wa Jimbo la Rufiji ambaye pia ni...
  12. Nipe Maji

    PreGE2025 Mchengerwa: Sitaki kusikia changamoto ya dawa hospitali ya Utete, Rufiji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amesema hataki kusikia tena kuhusu changamoto ya upatikanaji wa dawa katika Hospitali ya Utete na kumtaka Mganga Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Hamis Abdallah, kuhakikisha anashughulikia tatizo hilo ili wananchi waendelee kupata huduma bora...
  13. Just Pray

    PreGE2025 Mchengerwa, amtaka mkandarasi kuongeza kasi ujenzi wa Daraja la Mbambe Rufiji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, amemtaka mkandarasi wa Kampuni ya Nyanza Road Works kuongeza kasi ya ujenzi wa Daraja la Mbambe lenye urefu wa mita 81 ili likamilike kwa wakati na kuondoa adha inayowakabili wananchi wa Wilaya ya Rufiji. Mchengerwa akitoa maelekezo...
  14. Determinantor

    Serikali yatoa ufafanuzi kuhusu Tanzania kupanga kununua umeme nchini Ethiopia

    Naam kama kawa kama dawa, Wazee WA UFAFANUZI wameshatoa UFAFANUZI kuwa umbali wa kutoka Ethiopia Hadi Same ni mfupi kuliko Mwalimu Nyerere Hydro Power pale Rufiji Hadi Same Soma Pia: Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini
  15. Lycaon pictus

    Ronald De La Bere Barker 1889-1965. Mzungu aliyeishi kwenye mapori ya mto Rufiji.

    Simulizi hizi unaweza kuzisoma Bure ndani ya app ya Maktaba Sauti. Ipo Playstore. Huyu mzungu alizaliwa huko New Zealand. Baadaye akaja kuishi kwenye mapori ya mto Rufiji akiwa muwindaji. Majina yake mengine ni Mzee Rufiji au Mtawa maporini. Aliandika vitabu vinne vya kuchekesha sana juu ya...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee

    Wakuu Katibu wa CCM Wilaya ya Rufiji Prudence Sempa amesema atalifanyia kazi Ombi la Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji la kuwataka kumpitisha Mbunge Mohamed Mchengerwa kuwa Mgombea pekee wa Ubunge kupitia CCM. Bw. Sempa alitoa kauli hiyo baada ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Rufiji Abdul...
  17. SSH2025_2030

    Rufiji inastahili kuwa Mkoa

    Rufiji inafaa sasa kuwa Mkoa kamili. Ili kumpelekea mwananchi maendeleo. Kaskazini mtusubiri Kwanza. **Rufiji ndipo alipotokea Mpigania Uhuru maarufu nchini Mheshimiwa [Bibi Titi Mohammed] MAKAO MAKUU: Ikwiriri, Wilaya: 1. Mkuranga, 2. Rufiji, 3. Mafia, 4. Kilwa, 5. Kibiti.
  18. Stephano Mgendanyi

    Naibu Waziri Katimba: Rufiji Imepata Mafanikio Makubwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amepongeza jitihada za maendeleo zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika sekta ya Elimu,Afya na miundombinu ya Barabara za Mijini na...
  19. Roving Journalist

    Rufiji: Wawili wakamatwa na Shehena ya Kopa Tani 7.7 waya za kopa Kilo 2,628.5 7.7 za TRC na TANESCO

    Baada ya kutoa taarifa Desemba 12, 2024 ya kukamatwa kwa watuhumiwa wawili wenye asili ya Asia katika operesheni iliyofanyika katika Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Kipolisi Rufiji wakiwa na nyaya za copper ambazo zilitambuliwa kuhujumiwa kutoka miundombinu ya TANESCO na Shirika la Reli Tanzania...
  20. Mohamed Said

    Rufiji FM Kipindi Maalum Bibi TITI Mohamed

    https://youtu.be/MKE0ogAnTNk?si=cFfZRgBGJ1CZOah4
Back
Top Bottom