Qalatak (Persian: قلاتك, also Romanized as Qalātak; also known as Rūbanī) is a village in Mashayekh Rural District, Doshman Ziari District, Mamasani County, Fars Province, Iran. At the 2006 census, its population was 349, in 88 families.
Hii ni hadithi ya maumivu ya ndugu Samuel Mawato, mkazi wa Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nchini Kenya.
Samuel hakuwahi kufikiria kwamba siku moja angekuwa muokota makopo. Kwa miaka 15 aliyoshi Marekani, ambako alisomea urubani na baadaye kufanya kazi kwa muda mfupi katika shirika kubwa la ndege la...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi.
Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi.
Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
Tume ya TEHEMA ya Marekani (FCC) hivi karibuni ilitangaza kuweka ndege zote zisizo na rubani na vipuri vyake vilivyotengenezwa nje ya nchi kwenye orodha ya kudhibitiwa, kwa kisingizio cha “tisho kwa usalama wa taifa”, na kupiga marufuku ununuzi wa aina mpya za ndege zisizo na rubani kutoka nchi...
Timothy James Clark, rubani raia wa Australia, alifariki katika ajali ya ndege huko Brazil. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la Coruripe, kwenye pwani ya Brazil.
Polisi walipochunguza eneo la ajali, walikuta ndege hiyo ikiwa imebeba takriban kilo 200 za kokeini zilizokuwa zimefungwa katika...
Jana Alhamisi, tarehe 28 Agosti 2025, katika Kituo cha Jeshi la Anga cha Radom kilichopo Warsaw, Poland, ndege ya kivita ya kimarekani aina ya F-16 ya Jeshi la Anga la Poland, ilipata ajali mbaya wakati wa mazoezi ya maonesho ya anga.
Rubani alijaribu mbinu ya barrel roll — yaani mzunguko wa...
Iran wamesema nchi na dunia itashuhudia kupitia TV rubani wa kike wa f-35 akisema wapi ndege zao ziliongezewa mafuta kabla ya kuelekea Iran,pamoja na mengine
Kumbe ndiyo maana israel imeshambulia TV ya serikali ya Iran,aibu ya f-35 na kupoteza soko
Mnamo Juni 10, 1990, Ndege ya British Airways nambari 5390 ilikuwa safarini kutoka Birmingham kuelekea Malaga. Ilipofika urefu wa takriban futi 17,300, tukio la kutisha lilitokea baada ya kioo cha mbele cha ndege kujitenga ghafla wakati ndege ilikuwa ikiruka katika urefu wa juu.
Nguvu ya...
Rubani huyo (İlçehin Pehlivan, 59) wa Ndege ya Shirika la Turkish Airlines Jetliner iliyokuwa ikItoka Seattle Marekani kwenda Istanbul ameripotiwa kufariki wakati akipewa huduma ya kwanza kabla ya Ndege kutua.
Kwa mujibu wa Msemaji wa Shirika hilo, ahya Üstün, amesema Rubani alipata shida ya...
Rubani wa ndege ya Kivita ya Urusi alimsurprise Rubani mwenzake aliyekua anaendesha ndege ya Kivita ya Marekani F- 16 akiwa katika doria karibu na pwani ya Alaska na kumfanya apagawe kwa namna Mrusi huyo alivompita ghafla katika tukio ambalo ni nadra sana kutokea.
Mpaka sasa Pentagon hawajatoa...
Wadau hamjamboni nyote?
Kazi nzito kuwasaka na kuwapeleka jehanam magaidi wa Hezbollah inaendelea kwa kasi kubwa
Muda mfupi uliopita gaidi mwingine ameliwa kichwa na drone ya IDF akiwa kusini mwa Lebanon
Jina la gaidi huyo MUHAMMAD NAJAM
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Soma Pia...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya Kiislamu ya Iran imeamua kujipanga kisawasawa
Imefanya uteuzi wa kihistoria Jenerali Aziz amekabidhiwa rasmi kuongoza wizara ya ulinzi ya nchini humo.
Ni rubani mzoefu mwenye weledi mkubwa na aliongoza kikosi cha anga cha Jeshi la Iran Kwa miaka minne...
Shambulio la ndege zisizo na rubani za Ukraine lilianzisha moto katika kiwanda cha kusafisha mafuta kusini mwa Urusi, na kulazimisha kusitisha operesheni, mamlaka ya kikanda ilisema mapema Alhamisi, na kuongeza kuwa hakukuwa na majeruhi.
Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege 13 zisizo na...
Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?
Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli?
Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya...
Swali chokonozi na fikirishi toka kwa Mjanja M1 kwenda kwa wajuzi wa mambo nchini.
Jeshi letu lina Ndege za kivita zisizotumia Rubani?
Kwa anaejua tunaomba miongozo tafadhali....
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewashutumu Rwanda kwa kufanya shambulio la ndege isiyokuwa na rubani lililosababisha uharibifu wa ndege ya raia kwenye uwanja wa ndege katika mji muhimu wa mashariki wa Goma, ambao ni mji mkuu wa mkoa wa Kivu Kaskazini.
Mapigano yamezuka katika siku za hivi...
Mkuu wa kitengo cha ujasusi wa kundi la waasi la M23 ameripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Maafisa wamefichua kwamba, Kanali Castro Elise Mberabagabo aliuawa jana Jumanne katika shambulio la vikosi vya jeshi la Congo kwenye...
Jamaa aliona isiwe tabu, kaondoka na ndege kama ambaye anakwenda kushambulia, ila katua Ukraine na kujisalimisha.
Ndio kilichobaki sasa, maana wanajeshi wa Urusi mpaka sasa hawaelewi nini sababu za wao kuendelea kufia kwenye nchi ya watu tena kwa maelfu, "mizoga" yao haitarejeshwa nyumbani...
Niende moja kwa moja.
Toka nianze kufuatilia siasa niwe mkweli wewe ni rubani wa kwanza kuwa na wakati mgumu zaidi hasa katika kipindi hiki cha utandawazi. Najiuliza Nini kimekupata? Mbona abiria Hawana Imani na wewe? Je umejikwaa rubani wetu au huna Nia ya kutufikisha salama. Tazama dege letu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.