Rorya District is a district in Mara Region, United Republic of Tanzania. The district capital is the village of Ingri Juu, while the largest town is Shirati. The district was created in 2007 from a part of Tarime District. It is bordered by Tarime District to the east, Butiama District to the south, Lake Victoria to the west, and the Republic of Kenya to the north. The majority of inhabitants are from the Luo tribe. Other ethnic group is Kurya. Kine, Simbiti,Sweta and Hacha are sub-groups within Kurya ethnic group.According to the 2012 Tanzania National Census, the population of Rorya District was 265,241.
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji iliyopo kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara baada ya kipande cha video kusambaa kikionesha Wananchi wakichota maji kwenye eneo ambalo halina maji safi na salama.
Kusoma kilichotokea...
Hali ilivyo kuhusu changamoto ya ubahaba wa maji safi na salama kwa Wakazi wa Kijiji za Baraki, Kata ya Baraki Wilaya ya Rorya Mkoani Mara ambapo kuna takribani Kilometa 5 tu na lilipo Ziwa Victoria lakini huduma ya maji safi bado ni mtihani kwao.
===========================
Hapo ni Kata ya...
Mimi ni mdau wa JamiiForums.com nina kero ambayo naomba ujumbe ufike kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya pamoja na ofisini yake kwa jumla.
Sisi Watumishi katika ngazi Elimu Msingi hatujalipwa fedha yetu ya likizo tangu Desemba 2024, licha ya kuwa tulijaza fomu ya malipo...
Anonymous (7e77)
Thread
elimu
elimu msingi
likizo
malipo
mawakili
rorya
watumishi
Kamati Kuu ya CCM iko kwenye mchakato wa kupitia majina na kuwateua wale watakaopeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi ujao.
Binafsi nitashangaa sana kama CCM itamteua mtia nia aliyeongoza kura za maoni Jimbo la Rorya . Huyu mtia nia hakushinda kwa haki.
Ratiba ya uteuzi wa watia nia kwa nafasi ya Ubunge inaanza tarehe 22 Agosti, 2025. Tayari kura za maoni zilikwishapigwa katika Majimbo yote. Kuna habari kuwa Katika Jimbo la Rorya wapiga kura wengi walinunuliwa kwa Rushwa na hivyo mshindi aliyeshika namba moja hakushinda kwa halali.
Ninaiomba...
Kama ndiyo kupata uongozi ndiyo ulivyo tunaelekea pabaya. Katika zoezi la kura ya maoni Jimbo la Rorya RUSHWA ilitawala kwa kiasi kikubwa.
Kwa sasa kupata uongozi katika nchi hii aidha uwe Tajiri, uwe na connection na mengineyo mengi. Asilimia kubwa ya watia nia walioongoza kura za maoni...
CHEGE WAMBURA AONGOZA KWA KURA 7,866 JIMBO LA RORYA - MARA
Mbunge aliyemaliza muda wake katika Jimbo la Rorya Mkoa wa Mara, Jafari Chege Wambura ameongoza katika kura za maoni kwenye jimbo hilo baada ya kupata kura 7,866.
Chege amewashinda makada wenzake wanne aliokuwa akigombea nao kwenye...
SERIKALI KUJENGA STANDI YA KISASA KATIKA HALMASHAURI YA WIRAYA YA RORYA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imepanga kujenga standi ya Kisasa katika Halmashauri ya wilaya ya Rorya ili kusaidia upatikana wa huduma za usafiri na kuongeza mapato katika...
Changamoto ya watoto hasa wa kike kutomaliza shule mbunge wa Rorya Jafari Chege akamalisha madarasa kunusuru hali iliyopo kwa sasa.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
Nawashauri Ndugu zangu Wana Rorya twende na Namba Tatu (Ndugu Kiboye) awe Mbunge wetu kuanzia Bunge lijalo. Namba Tatu ni jasiri na haogopi. aliyepo naye amekula vya kutosha sasa ni zamu ya mwingine. Kama Mhe. Rais ndo analeta fedha kwenye majimbo ya uchaguzi ni vema sasa Mhe, Jaffari amuachie...
Akizungumza na wananchi na wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM katika Kata 3 za Nyamagaro kyang'asaro na Nyamtinga, Mbunge wa Jimbo la Rorya, Jafari Chege amewawetaka wananchi wa Kata hizo kutambua dira ya maendeleo tangu walipokuwa, walipo sasa na wanakoelekea.
Chege ameendelea kuwapa...
Wadau mwaka jana mwanajf Suley2019 alileta habari hapa jf kuhusu mgogoro wa ardhi katika kijiji cha nyambogo wilaya ya rorya iliyopelekea mwili wa marehemu kutozikwa zaidi ya miezi 8.
- Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo
Naam kuna...
Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
Jimbo la Rorya limeshinda vijiji 84 kati ya 87 na vitongoji 470 kati ya 508. Ushindi huu ni zaidi ya 97% .
"Ushindi huu unatupa dira na mwelekeo wa uchaguzi wetu wa Serikali kuu mwakani lakini pia kuonyesha jinsi utekelezaji wa ilani ya chama chini ya mwenyekiti wetu Taifa mama yetu Samia...
Ufisadi wa Kutisha Halmashauri ya (W) Rorya
Waziri wa Tamisemi Mhe Mchengerwa
Kamanda Mkuu wa kupambana na Kuzuhia Rushwa (PCCB)
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Usalama wa Taifa
Tunawaomba mtume wataalam waje wachunguze ufisadi unaoendelea katika Halmashauri ya Rorya
Kuna kiasi cha Tzs...
Mwenyeskiti Kijiji cha nyamkonge kata Nyahongo wilaya rorya kwa kushirikiana na diwani pamoja na mbunge , walihamua kupindisha ramani nakupitisha barabara kwenye makazi ya wananchi kwakutumia mabavu nakufukia mazao Yao nakuwaaribia muundo mbinunkwenye viwanja ivyo.
bila kulipwa fidia yoyote ata...
Rorya. Watoto wanne kati ya sita waliofariki dunia baada ya kuzama na kunasa kwenye tope katika bwawa la skimu ya umwagiliaji, Kijiji cha Ochuna wilayani Rorya, Mkoa wa Mara, wamezikwa kwenye eneo la pamoja katika kijiji hicho cha Ochuna.
Hata hivyo, Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Ochuna...
ACT WAZALENDO YACHARUKA HUJUMA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KYANG'OMBE, RORYA
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu ametoa Wito kwa Waziri wa TAMISEMI kumuwajibisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya kwa kuruhusu Mradi wa Kituo cha Afya Kata ya Kyang'ombe kujengwa chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.