roma mkatoliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 SAUTI YA MABADILIKO –Ujumbe kwa watanzania wote na Roma Mkatoliki

    Katika safari ya kudai mabadiliko ya kweli nchini, kumekuwa na misimamo tofauti, shutuma, dhihaka na hata manyanyaso yanayowakumba wale wanaosimama kidete kutetea haki, uhuru na ustawi wa taifa. Wapo wanaotubeza, wanaotukejeli na hata wanaofurahia mateso ya wapigania mabadiliko. Lakini katika...
  2. PostGE2025 Roma Mkatoliki: Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, wakosoaji wa serikali na viongozi wakiamua kukaa kimya, ndiyo mtajua thamani yao

    Aminini nawaambieni. Siku hawa wanaoitwa wanaharakati, na hawa wanaoikosoa serikali na viongozi wakiamua wanyamaze wakae kimya wasiongee kitu, ndio mtajua thamani yao. Na zaidi mtauona umuhimu wa kukosoa!! Hakuna kikubwa wanachopata zaidi ya kupoteza vingi, Sana sana nyie ndio mnafaidika!!
  3. GE2025 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo wa TEREMSHA BUNDUKI wa Roma Mkatoliki

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limeufungia wimbo mpya wa msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, uliopewa jinala “Teremsha Bunduki”, ikiwa ni siku chache tangu ulipotoka rasmi. Taarifa ya BASATA ya leo Oktoba 21, 2025, imesema wimbo huo umevunja kanuni za Baraza, na kwa hivyo umezuiliwa...
  4. Wimbo wa Roma Mkatoliki -Teremsha Bunduki 🎵🎶

    Huu wimbo mkali sanaa, sidhani kama hapa Tanzania atakuja msanii wa hiphop mwenye upeo kama huyu jamaa. NAAMINI PIA HUYU JAMAA ATAKUJA KUA KWENYE NYADHIFA ZA JUU SANA HAPO BAADAE PATAKAPOKUA NA TUME AMBAYO HAINA UPENDELEO KWA CHAMA CHA KIJANI (HUU UZI KUNA SIKU UTAFUFULIWA HATA USIPOONEKANA KWA...
  5. Roma kuishtaki CCM: Mnatumia beat yangu kwenye Kampeni bila idhini, Nilipeni Stahiki zangu!

    Msanii wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, ameibuka hadharani akilalamikia kile alichokiita uvunjifu wa sheria za hakimiliki baada ya kuona mdundo wake (beat) ukitumika katika mikutano ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) bila ruhusa yake. Kupitia andiko lake kwenye mitandao ya kijamii, Roma...
  6. Kundi la Rostam (Roma Mkatoliki & Stamina) kuachia wimbo wao uitwao Abdul usiku huu

    Muda wowote kuanzia sasa kupitia akaunti yao ya youtube kundi la ROSTAM wataachia wimbo wao uitwao “Abdul” ukiwa na dakika 7 zilizoshiba. Kaa mkao wa kula
  7. GE2025 Roma Mkatoliki amjia juu Rais Samia kwa jambo analotaka kulifanya kuteketeza bilion 700 kwa ajili ya uchaguzi usio na mbele wala nyuma

    Anaandika anasema "Like seriously unaenda kuteketeza Tsh. 700+Billions kuingia kwenye uchaguzi kushindana na hawa‼️⁉️ Kweli Mama hao ndio washindani wako na unapata amani kuingia madarakani? Na unashika Mic unasema Wataweza Kweli?😁 No disrespect kwa hao wapinzani!! BUT BIG ❌️ Nchi ina...
  8. Roma Mkatoliki akumbushia alivyotekwa na mambo aliyofanyiwa

    Msanii wa muziki wa Hip hop, Ibrahim Mussa maarufu kama Roma Mkatoliki, amekumbushia kwa uchungu tukio la kutekwa kwake lililotokea mwaka 2017, akieleza namna alivyoishi katika hofu, mateso na hali ya sintofahamu kwa siku kadhaa alipokuwa mikononi mwa watu wasiojulikana. "Wito wangu ni tukemee...
  9. Roma Mkatoliki: Wakati wa kukopa mnaliita DENI LA TAIFA, Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia mnaziita ni fedha za MAMA!!

    Wakati wa kukopa mnaliita DENI LA TAIFA (Mnatuhusisha) Mkizipata tu, wakati wa kuzitumia hizo fedha za mkopo mnatuondoa, mnaziita ni fedha za MAMA!! Daraja kajenga Mama, Shule Kajenga Mama, Mradi Wa Maji Kaleta Mama, Barabara Mama, Hadi Derby Fedha Za Goli La Mama. Kwenye marejesho...
  10. Video song: No Reforms No Election

    Hii Ngoma imeachiwa huko YouTube channel Ama kweli No Reforms No Election ni moto wa nyika huu na definitely ndio habari ya mjini na duniani kwa sasa... Actually kama ulisoma Fasihi shuleni na ukaambiwa kuwa; ".......Literature is a reflection of social realities...." Basi maudhui ya wimbo...
  11. Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

    Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha. Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
  12. SI KWELI PreGE2025 Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya

    Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya Taarifa kamili inafuatiliwa kwa kina na Watanzania waishio Marekani, inawezekana inachelewa kwasababu Roma sio msanii maarufu Marekani hivyo basi ili kupata taarifa zake inalazimu Watanzania waishio Marekani wafuatilie kwa...
  13. Legend wa hiphop Jos Mtambo wa tongwe record rafiki wa Roma aomba msaada hali yake inasikitisha

    Nayajua Maisha yangu mpaka TONGWE kama muvii..oooh kaa tayar...oooh... action...oohh.... Naanza mwisho kwenda mwanzo.... NGOMA Ina goooo...goooo.. nayajua Maisha yangu mpaka tongwe Kama muviiii oooh..kaa tayarii...NGOMA Ina goooo... Hiki ni moja ya kionjo kwenye wimbo wa Roma akishirikiana na...
  14. Roma Mkatoliki Ft. One Six

    Story ndiyo itakayobaki Mkombozi Anaitwa Roma
  15. Roma Mkatoliki abariki wasanii kupanda kwenye majukwaa ya CCM. Kwa sababu yanawanufaisha.

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X. "Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!! Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi...
  16. Roma Mkatoliki: Wanaosema Lissu anakosea kutoa siri za chama ndo hao hao wanamuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe

    Wakuu, Kufuatia maongezi ya Lissu, Club House jana, msanii Roma Mkatoliki ametoa maoni yake kuhusu nini hasa kinaendelea ============================================== "Wanaosema TAL anatoa siri za chama anakosea, ndio hao hao wanaomuuliza maswali ambayo majibu yake ndio siri zenyewe...
  17. Andazi! Kwanini mtu achague andazi?

    Katika hali ya kawaida ni ajabu kwa mtu kuamua kuthaminisha andazi na mtu au taasisi. Hata hivyo, kama ambavyo Sheria ya Sababu na Athari (Cause and Effect Law) ya Aristotle (384–322 BC) inavyoeleza; kila kitu hutokea kwa sababu na kila athari huwa na sababu maalumu. Aristotle anaona kuwa...
  18. Tetesi: Roma Mkatoliki amezaa nje ya ndoa

    Kwa wambea wa kimtandao inasemekana Roma amezaa ulaya anakoishi na amezaa ba mzungu. Ushahidi wa post alizopost mwenyewe kwenye ukurasa wake IG akisindikizwa na ujumbe wa THANKS God wenye kuonyesha picha ya mtoto wake.
  19. Roma Mkatoliki: Sera za Maji na Umeme tulipaswa kumaliza mwaka wa 10 baada ya Uhuru!

    Msanii wa muziki wa hip-hop Tanzania Ibrahim Mussa maarufu Roma Mkatoliki, ametoa maoni yake kuelekea Uchaguzi Mkuu na Serikali za Mitaa, kuhusu masuala ya uongozi na maendeleo ya nchi, akisisitiza kuwa changamoto za maji na umeme zilipaswa kutatuliwa tangu miaka ya mwanzo baada ya uhuru...
  20. Roma Mkatoliki atoa povu: Raia wajibikeni Wasanii sio wajibu wao kuleta mabadiliko

    Rapa Roma Mkatoliki amekiri kuwa wasanii wana ushawishi mkubwa katika jamii, lakini si jukumu lao kuongoza mabadiliko, akikosoa raia kwa kuwatumia kama kisingizio cha kutochukua hatua wenyewe. Katika andiko lake huko X (Twitter), Rapa huyo amehoji ni kwa nini watu wanategemea wasanii kama Zuchu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…