ripoti cag

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    GE2025 Wanaotajwa kwenye ripoti za CAG wangekuwa wanakamatwa kama wanavyokamtwa viongozi na wanachama wa CHADEMA, hii nchi ingekuwa mbali sana

    Ukweli ndio huo na habari ndio hio. Hii nchi inahitaji watanzania tufanye maamuzi magumu. Inasikitisha sana!
  2. M

    Ninaushauri juu ya ripoti CAG

    Mwenzenu toka nimepevuka kiakili miaka yote ninapofatilia ripoti ya CAG ni ubadhirifu na hasara tu na hakuna wakuchukuliwa hatua huku wananchi tusiyo na mamlaka tunazidi kuchoka. Sasa nashauri tupaze sauti CAG must go kwakuwa ni sawa na mbwa anayebweka huku anakimbilia ndani mana hata...
  3. Upekuzi101

    Pesa, zimeliwa, zimepotea, mama kasema by the way matumizi ya pesa yako vizuri, Rais tunaye?

    Hakika masikitio na maumivu ni makubwa kama umefuatulia report ya CAG. Kiufupi pesa zimepigwa, pesa zimemumunywa, pesa zimelambwa, everywhere pesa zimepigwa na Rais Samia amepongeza kuwa matumizi mazuri ya pesa za umma yamezingatiwa na akasisitiza kuwa fault inayoonekana ni muunganiko wa report...
  4. S

    Mwezi March, 2025 unayoyoma, taarifa ya CAG mbona kimya?

    Kwa kawaida, mwezi march ndio kipindi ambacho taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) hukabidhiwa kwa Rais. Swali: March ya mwaka huu wa 2025, inaanza kuyoyoma,. Vipi taarifa ya CAG kwa mwaka huu inakabidhiwa lini kwa Raisi? Mwenye majibu tafadhali ingawa hatutarajii jipya...
  5. D

    Ili jamii iweze kuendelea kiuchumi, wizi ni lazima. Efficient Market Mypothesis (EMH) haipo na wala hai-exist

    Ukiona rais anayeingia madarkani anasema atakomesha wizi huyi ni mwongo wala ukweli haumo ndani yake. Hata Mungu amesharuhusu wizi pale aliposema mwenye nacho ataongezewa na asiyenacho hata kile anachoamini anacho atanyanganywa (ataibiwa)
  6. J

    Fahamu yaliyomo katika Ripoti Kuu ya Ukaguzi ya Mifumo ya TEHAMA 2021/22

    1. Kutokuwepo kwa Ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa Niligundua kuwa ufuatiliaji wa miamala ya simu za mkononi isiyofanikiwa haufanywi katika mfumo wa TTMS. Nilielezwa kuwa muundo wa TTMS haukuzingatia miamala hi sababu haipaswi kuwa na ada zaidi ya gharama za mtandao...
  7. kimsboy

    Wasanii acheni kutumika kwa kiki kuwatoa watu kwenye mjadala wa ripoti ya C.A.G, kuna waliopewa pesa

    Wasanii muachege kutumika vibaya aisee. Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu. Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki. Nyie wasanii ndo maana...
  8. Chagu wa Malunde

    Spika Ndugai: Mbowe alikuwa Ulaya sasa katumwa na watu wake anapotosha kuhusu ripoti ya CAG

    Spika wa Bunge Job Ndugai, amezitaka kamati za Bunge za Hesabu za Serikali (PAC) na Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) zichambue ripoti ya CAG na kuiwakilisha bungeni katika mkutano wa nne, kwa kuwa inapotoshwa huku akimtaja Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kuwa mmoja wapo Spika wa Bunge...
  9. ACT Wazalendo

    ACT–Wazalendo walivyoichambua Ripoti ya CAG

    UCHAMBUZI WA ACT WAZALENDO KUHUSU RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA MWEZI JUNI 2019/2020 Tunalipia Gharama za kuendesha Nchi Gizani UTANGULIZI Leo tarehe 11 Aprili, 2021 ni Mwaka mzima kamili tangu Chama chetu kifanye uchambuzi wa Ripoti ya...
  10. Ngaliwe

    Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
  11. T

    CAG: ATCL imeendeshwa kwa hasara kwa miaka 5 mfululizo

    Maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu. Nani atafidia hii hasara?
Back
Top Bottom