rigathi gachagua

Geoffrey Rigathi Gachagua (born 1965) is a Kenyan politician who is serving as the 12th and current deputy president of Kenya since September 2022. He previously served in multiple capacities in public administration such as Assistant Secretary in the Ministry of Home Affairs & National Heritage, Personal Assistant to the Head of the Public Service, Personal Assistant to Uhuru Kenyatta, who was then Minister for Local Government and as a District Officer.
He was elected as the Member of Parliament for Mathira Constituency, Nyeri County from 2017 to 2022 under the Jubilee Party. Gachagua ran for the Deputy President in the 2022 Kenyan General Election on a joint ticket with William Ruto's running mate under the United Democratic Alliance party, winning with just over 50% of the votes.

View More On Wikipedia.org
  1. Etwege

    JamiiForums Tanzania Ya Rigathi Gachagua kumkuta mtu fulani Tanzania

    Kwa wasiojua Rigathi Gachagua alikuwa makamu wa Rais wa Kenya chini ya Rais William Ruto lakini alipoanza kwenda kinyume na matakwa ya Rais Ruto aliondolewa madarakani kwa aibu kubwa licha ya jitihada zake za kuzuia hilo kutokea. Yaleyale yaliyotokea nchini Kenya kuna kila dalili yakatokea...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Court Rules on Rigathi Gachagua Impeachment Case

    The High Court of Kenya delivered its judgment today in petitions challenging the October 2024 impeachment of former Deputy President Rigathi Gachagua. A three-judge bench - Justices Eric Ogola, Anthony Mrima, and Freda Mugambi - presided over the ruling at Milimani Law Courts, Nairobi. The...
  3. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua: William Ruto is exposing the Kenyan people to death

    Former Deputy President Rigathi has accused the government of mismanagement, corruption, conflict of interest and state capture, claiming Kenyans would resist attempts to expose the country to health risks. Gachagua, who welcomed the High Court decision suspending the establishment of any...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua issues 7-Day Ultimatum to President William Ruto, Threatens Mass Protests

    The United Opposition has demanded a special National Assembly sitting to, among other things, outlaw the G-2-G fuel deal, accusing President William Ruto of playing a key role in the recent spike in pump prices. Addressing the press in Karen on Wednesday, opposition leaders also called for the...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hivi battle ya Rais wa Kenya, William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kwa hapa Tanzania tunaweza kuwapa kina nani?

    Wakuu, Nimeona battle inayoendelea kati ya Rais wa Kenya na aliyekuwa Naibu Rais wake Rigathi Gachagua ambapo kwa Tanzania nafasi yake ni sawa na Makamu wa Rais. Gachagua alichagulia kuwa Naibu Rais Agosti 2022 lakini Oktoba 2024 aliondolewa madarakani akikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua akimwiga kwa utani Naibu Rais Kithure Kindiki

    Aliyekuwa naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua akimwiga kwa utani Naibu Rais Kithure Kindiki.
  7. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Trump akimfokea aliyekuwa Makamu wa Rais Kenya, Rigathi Gachagua

    Wakuu habari, Nimekwama hapa kupata details za kutosha kuhusu haya mazungumzo ya Rais wa Marekani Donald Trump na aliyekuwa makamu wa rais Kenya Rigathi Gachagua
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua: Katika Uchaguzi Ujao Nitahakikisha Ruto Anarudi Nyumbani

    Aliye wahi kuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2022 alifanikiwa kuwahamasisha watu milioni 4 kutoka eneo la Mlima Kenya kumpigia kura William Ruto, hatua iliyomsaidia kupata urais. Hata hivyo, Gachagua amesema mambo yamebadilika, na sasa ana...
  9. Daby

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Purukushani na Vurugu zatokea wakati aliyekuwa Makamu wa Rais Rigathi Gachagua akizindua chama chake DCP

    NTV Kenya: Wamepost video za walinzi wa aliyekuwa makamu wa Rais wa Kenya wakifyatua risasi hewani kuwatawanya wahuni waliovamia na kuleta vurugu wakati Gachagua akilaunch chama chake. Riggy G anaungana na makamu mstaafu wa Rais Kalonzo Musyoka, Waziri mstaafu Matiangi, Wamalwa na Martha Karua...
  10. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya asema maisha yake yako hatarini. Aomba ulinzi binafsi kwa Inspekta Jenerali wa Polisi

    Wakuu, Wakati hapa Tanzania wapinzani wakiwa wanalalamikia kukamatwa kwa Tundu Lissu huko nchini Kenya mambo pia yameeendelea kuwa sukari. Hivi karibuni Rigathi Gachagua, aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, amedai kuwa kumekuwa na njama ya kumuua na kuhatarisha usalama wa familia yake tangu aondoke...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake baada ya kuapishwa na kutoa onyo kwa Rais Ruto kuhusu matukio ya Utekaji

    Je, ni kweli Trump alitambua uwepo wa Rigathi Gachagua katika hotuba yake ya uapisho na kutoa onyo kali kwa Ruto kuhusu matukio ya Utekaji, na je, huyu Gachagua alihudhuria kwenye tukio hilo?
  12. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua alilazimika kukimbia baada ya kundi la wahuni kuvuruga mazishi ya Limuru, watu kadhaa wajeruhiwa

    Matukio yaliyofuata mazishi ya mpendwa Erastus Nduati huko Limuru, Kaunti ya Kiambu mnamo Novemba 28, 2024, yaligeuka kuwa machafuko baada ya wahuni kuvuruga tukio hilo. Makamu wa Rais wa zamani, Rigathi Gachagua, alilazimika kukimbia baada ya wahuni kuvuruga huduma ya mazishi ya Nduati huko...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu na Rigathi Gachagua, aliyekuwa Naibu Rais Kenya wanatofautiana nchi tu

    Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi. Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo. Mara nyingi watu wa...
  14. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua adaiwa kuanza mazungumzo ya kuungana na Upinzani ili kupambana na Ruto mwaka 2027, asema Gen Z ndio silaha yao

    Kalonzo and Gachagua’s camps are reportedly meeting in secret to devise a formula to defeat Ruto in 2027. For Gachagua, winning a duel with Ruto would be sweet revenge against the President. Wiper Leader Kalonzo Musyoka and Deputy President Rigathi Gachagua. FILE A political marriage between...
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto awasilisha pingamizi dhidi ya Mahakama Kuu kusitisha Gachagua kuvuliwa Madaraka

    Kupitia wakili Adrian Kamotho, Rais William Ruto amewasilisha pingamizi la awali dhidi ya ombi la kusitisha kumwondoa Naibu Rais, Rigathi Gachagua madarakani, akidai kuwa mahakama haina mamlaka ya kusikiliza na kuamua kesi hiyo, na akieleza kuwa ni matumizi mabaya ya taratibu za kisheria. Soma...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Ruto aliniondolea ulinzi nikiwa hospitali. Sikujua anaweza kuwa mkatili kiasi hicho; kitakachonitokea atawajibika

    Naibu Rais aliyeondolewa madarakani, Rigathi Gachagua, amethibitisha kuwa maafisa wake wa usalama waliondolewa alipokuwa amelazwa hospitalini Alhamisi, Oktoba 17. Akizungumza na vyombo vya habari alipokuwa akitoka Hospitali ya Karen jijini Nairobi, Gachagua alimshutumu Rais William Ruto kwa...
  17. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wote 108 wa Ofisi ya Naibu Rais wapewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa leo, Oktoba 19, 2024

    Wafanyakazi wote wa Ofisi ya Naibu Rais wa Kenya wamepewa likizo ya lazima kuanzia mchana wa Leo 19/10/2024 === Kwenye taarifa Jumamosi serikali iliamuru jumla ya wafanyakazi 108 katika walioajiriwa mahsusi kumhudumia Bw Gachagua kwenda likizo kutokana na kile kinachotajwa kama “mchakato wa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha jina la Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais wa Kenya

    Bunge la Kenya limepiga kura ya kuridhia Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais ambapo kwa kura 236 huku kukiwa hakuna iliyoharibika. Baada ya hatua hiyo, kinachofuata ni Prof. Kindiki kuapishwa na kuwa rasmi Naibu Rais wa Rais William Ruto. Atakapoapishwa atachukua nafasi ya Rigathi Gachagua...
  19. The Sheriff

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama ya Juu yasitisha kwa muda uamuzi wa Seneti kumwondoa Gachagua na Uteuzi wa Naibu Rais mpya

    Mahakama ya Juu nchini Kenya imetoa amri ya kusimamisha kwa muda uamuzi wa Seneti wa kuunga mkono kufukuzwa kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Jaji E.C. Mwita amechukua hatua hiyo akirejelea masuala makubwa ya katiba na umuhimu wa kulinda maslahi ya umma. Kikundi maalum, kilichoteuliwa na Jaji...
  20. Mstahiki Mea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ampendekeza Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa madarakani

    Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limepelekwa Bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang'ula alitangaza uteuzi huo...
Back
Top Bottom