rigathi gachagua

Geoffrey Rigathi Gachagua (born 1965) is a Kenyan politician who is serving as the 12th and current deputy president of Kenya since September 2022. He previously served in multiple capacities in public administration such as Assistant Secretary in the Ministry of Home Affairs & National Heritage, Personal Assistant to the Head of the Public Service, Personal Assistant to Uhuru Kenyatta, who was then Minister for Local Government and as a District Officer.
He was elected as the Member of Parliament for Mathira Constituency, Nyeri County from 2017 to 2022 under the Jubilee Party. Gachagua ran for the Deputy President in the 2022 Kenyan General Election on a joint ticket with William Ruto's running mate under the United Democratic Alliance party, winning with just over 50% of the votes.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rigathi Gachagua huwa akihitubia anachekesha sana

    Wakuu, Leo Ikulu ya Kenya imeandaa iftar sasa kama kawaida hotuba za viongozi, Riggy G baada ya salamu kasema kwanza amefurahi kufika kwenye sherehe ile, yaani iftar kwake ni sherehe tayari. Ukisikia anasema hii mzee ya maandamano ujue anamsema Raila. Ukisikia anasema hii mutu ya cerelac ujue...
  2. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu wa Rais Rigathi Gachagua awahi ofisini saa 11 alfajiri kwa siku ya 3 mfululizo

    Naibu wa Rais Rigathi Gachagua leo kwa mara nyingine tena alifika ofisini kwake, Harambee House, saa kumi na moja alfajiri na kama ilivyo ada alichapisha picha kwenye ukurasa wake wa Twitter akitoa Rai kwa wananchi kupambana katika kazi zao za Kila siku. Aliandika: "Kenya ni taifa la...
  3. TODAYS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua anatoa kauli kama za Hayati Magufuli. Ndiye ataleta machafuko Kenya

    Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya. Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake! Taarifa kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Nitahakikisha Ruto na Odinga hawapeani mikono

    Akizungumza katika mahojiano na waandishi wa habari, Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema “Hata (Raila Odinga) akienda mtaani kufanya ghasia akiamini Rais (William Ruto) atamwalika kwa mpango wa kupeana mkono, hilo halitafanyika.” Ameongeza “Ikitokea hivyo, nitakuwa nikizurura maeneo...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Tupeni Miezi 3, Tutatatua Mgogoro wa Kiuchumi

    Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua amesema Serikali ya Awamu ya 5 imerithi Uchumi mbaya kutoka katika awamu iliyopita na kuwataka Wananchi kuwa na subira maana Ndani ya Siku 90 hadi 100 Uchumi utaimarika Amesema, "Hali ni mbaya sana, hakuna pesa katika Hazina, na kidogo tunachokusanya...
  6. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Mh Rigathi Gachagua: Tunaingia ofisini Kenya ikiwa na serikali imefilisika kifedha na kiuchumi

    13 September 2022 Nairobi, Kenya HOTUBA MARA BAADA YA KUAPISHWA NAIBU RAIS MH. RIGATHI GACHAGUA Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Geoffrey Rigathi Gachagua amewaelezea raia wa nchi hii ya Kenya kuwa hali si hali pamoja ya kuwa ni nchi inayohesabika ina uchumi mkubwa na utajiri katika eneo hili la...
  7. Kumbusho Dawson Kagine

    JamiiForums Tanzania Naibu wa Rais Gachagua ashikwa na kiwewe wakati wa kuapishwa

    Video ni Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Rigath Gachagua mapema siku ya leo amelazimika kurudia tena kuapa baada ya kushikwa na kiwewe hivyo kukosea kuapa. Unadhani ni Kwa Nini Naibu wa Rais wa Kenya Mh. Rigathi alishikwa na kiwewe?. Disemba 9, 2020 mbele ya Rais Magufuli Naibu Waziri mteule wa...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemfahamu Rigathi Gachagua majuzi tu - hivi alikuwa wapi?

    Mzuka wanajamvi! Huyu makamu wa Rais mtarajiwa wa Kenya Rigath Gachagua Mbona hakuwa anasikika na kujilikana kwa saanaa? Inaonekana ni mwanasiasa mkimya Sana na anafanya kazi na mambo yake kwa vitendo siyo blah blah blah. Mimi mara yangu ya kwanza kumfaham ni Ruto alipomchagua kuwa mgombea...
Back
Top Bottom