ridhiwani kikwete

Ridhiwani Jakaya Kikwete (born 16 April 1979) is a Tanzanian lawyer and CCM politician.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ridhiwani Kikwete: "Kuanzia 2030 Katika madaraka yangu ya Urais nitawatumikia Vizuri"

    Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Ridhiwani Jakaya Kikwete ametangaza kuwa atagombea uraisi na kuwatumikia watanzanai mwaka 2030. Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya taarifa, umebaini kuwa madai hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ameikudu wizara nyeti. Walimu na watumishi wengine tumpongeze. Najua anachukiwa kwa mambo yake mengine ila...

    Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania. Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha. Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao. Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tizama Kikwete Akimtambulisha Ridhiwani Kikwete kwa Obama,William Ruto akimtambulisha Mwanae kwa Joe Biden ,Rais wa South akiwa na mwanae ziarani

    Ndugu zangu Watanzania, Tusipokaa sawa na kuwa makini na waangalifu tutajikuta tunajenga Taifa ambalo vijana wake muda wote na mwingi wanajadili Majungu ,Umbeya ,Uzushi ,uongo ,upashikuna na ushakunoko. Tutajikuta tunajenga Taifa ambalo watu wake na vijana wake wanashinda na kutumia muda wate...
  5. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Baadhi ya Maafisa Rasilimali Watu (HR) hawatumii busara, wanawachongea Watumishi wenzao

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amekemea tabia ya baadhi ya maafisa rasilimali watu (Human Resources) kuwachongea watumishi wa umma wanapohamia taasisi nyingine kwa kutoa taarifa hasi zisizo za kitaaluma. Akizungumza Juni 1...
  6. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Kuna matumizi mabaya ya madaraka katika Ofisi za Umma, Watumishi wanalalamika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Katibu Mkuu wa Utumishi ndiye ana nafasi ya kuhamisha mtumishi, Kila mtu apime urefu wa bega lake, lazima tuheshimiane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, akizungumza katika Mkutano wa ufunguzi wa Kikao Kazi cha Wakuu wa Idara/Vitengo vya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Wizara, Idara zinazojitegemea,Wakala za Serikali, Taasisi na...
  8. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete yuko live, anaongea kama Jakaya Kikwete. Like father like son, atatufaa sana in future baada ya zamu yetu!

    Wanabodi, Kwanza watch TBC Live Mubashara https://www.youtube.com/watch?v=wMOElr9lFGI Japo enzi za Rais Jakaya Mrisho Kikwete, sisi humu JF, tulimpiga spana za kutosha zikiwemo spana zangu, za kumkosoa JK, Mapungufu ya Kikwete: Constructive Criticisim! Pia JK, alikuwa na mazuri yake pia...
  9. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mafanikio Ya Tanzania Yanaonewa Wivu Na Wengi

    https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
  10. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete ameeleza Ndani ya siku 100 za Rais Samia ameajiri walimu 7000 na watumishi wa afya 5000
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku Uhamisho wa Watumishi

    Waziri wa Nchi, OR Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema, "Kumekuwa na maombi mengi sana ya baadhi yetu kuomba kubadilisha vituo vya kazi. Nitoe rai, hatutakuwa na mabadiliko ya vituo vya kazi kwa sasa. Nafasi zote zimetolewa kulingana na uhitaji wa kila...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Oktoba 29, 2025 yakutana na Ridhiwani Kikwete

    Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete. Mkutano kati ya tume na Waziri Ridhiwani...
  13. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete anataka Kutumia Sekretarieti ya Maadali kujisafisha?

    Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa Sisi tunaokaa na huyo Kikwete na huyo Mwigulu tunajua mali zao ambazo hazijaandikwa kwenye makaratasi yenu. Wanataka...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Ikulu ya Tanzania ilikuwa madrassa zamani

    Ajenda ya udini inazidi kusukumwa mdomdo na watawala, na mara hii Ridhimoko amesukuma kete nyingine kwa lengo la kuuteka umma wa wanazuoni wa kiislamu, wataalam wa eiilimu duuniya, na mambo ya Dua na daahawa!!. NB: huu ni ungese , sijui lengo lao ni nini sasa
  15. JamiiForums Tanzania Maoni ya Idu: Ridhiwani Kikwete ana hoja kuliko Waziri mkuu Mwigulu Nchemba

    Simtetei kuwa hausiki na ufisadi na nepotism inayombeba kiasi cha kupewa wizara nyeti kama hii anayoisimamia. Lakini kitendo cha kukilri hadharani kuwa tuhuma za ufisadi dhidi ya viongozi wa CCM ndio zilisababisha wananchi kuichukia CCM na kuandamana Oktoba 29 ni dhahiri kuwa yupo makini kuliko...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
  17. JamiiForums Tanzania Kama tusingeandamana Okt 29, Ridhiwani Kikwete angekua Rais 2030. Ila ndo hivo, HAIWEZEKANI Tena

    Wanamtandao wanajipangaaaaa lakini ndo hivo, hawatafanikiwa.
  18. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Kusimamia Usalama wa Taifa

    Hawa watu wanajua kujipanga sana kwa yanayokuja..wamepanga kujilinda.
  19. L

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Picha ya Siku: Ridhiwani Kikwete pamoja na Jesca Magufuli katika utulivu mkubwa Bungeni

    Ndugu zangu Watanzania, Hii ndio Picha ya Siku kutoka Bungeni ikiwaonyesha Viongozi wetu na watumishi wetu Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete pamoja na Mheshimiwa Jesca Magufuli vijana wetu wachapakazi,wacha Mungu,wapole wanyenyekevu,wasio na Makuu wala majivuno wala kiburi wala dharau kwa mtu...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Ridhiwani: Zaidi ya watu 1,200 wenye ulemavu wameajiriwa Serikalini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete, amesema serikali ya awamu ya Sita imefanikiwa kufungua milango ya ajira kwa watu wenye ulemavu ambapo zaidi ya watu 1,213 wameajiriwa katika taasisi mbalimbali za umma Amesema ajira hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…