riadha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Riadha: Baada ya Failuna Abdi Matanga Kufukuzwa Kambini, Gidabuday acharuka, Ashusha Cheche Mitandaoni.

    Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga, Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza Mwanariadha huyo, ndipo alipopata Vitisho na Mengine. Gidabuday Anasimulia hapa; Juni Mosi nilibishana sana...
  2. Melubo Letema

    Tanzania yaambulia nafasi ya 5 EAAR, Dar

    Tanzania kama Mwenyeji imeambulia nafasi ya Tano kati ya Nchi Saba zilizoshiriki mashindano ya Afrika Mashariki ya Riadha (EAAR), kwa Vijana wa Umri chini ya 18 na 20 yaliyoshirikisha Nchi zaidi ya Tano, na Kufanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Kwenye mashindano hayo...
  3. Melubo Letema

    Eliud Kipchoge Ameshinda Tokyo Marathon (2:02:40)

    Mwanariadha wa Kimataifa kutoka Kenya, Eliud Ameshinda Tokyo Marathon Kwa muda 2:02:40 huko Japan, Hadi Sasa Ameshinda Mashindano Makubwa manne (4), anatarajiwa kushiriki Boston Marathon itakayofanyika April 18, 2022 na New York Marathon itakayofanyika November 22, 2022. Picha Kwa hisani ya...
  4. Melubo Letema

    Emanuel Giniki ashinda Kilimanjaro Marathon 21K

    Mwanariadha wa kimataifa Emanuel Giniki ashinda Mbio za Kilimanjaro Marathon kwa Nusu Marathon (21K) kwa kutumia Muda wake mzuri Sana (Personal Best) wa 1:00:34 , akifuatiwa na Gabriel Gerald Geay na Inyasi Sulley mashindano yaliyofanyika Moshi, Kilimanjaro na kuhudhuriwa na Waziri mkuu. Japo...
  5. Melubo Letema

    RT wataja Wanariadha 15 Jumuiya ya Madola, Suleiman Nyambui Kocha Mkuu

    Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Limewatangaza Wanariadha 15 wa mbio Ndefu watakaoingia Kambini (West Kilimanjaro) Kwa kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayotarajiwa Kufanyika Birmingham, Uingereza mwezi Agosti 2022. Wanariadha waliotajwa ni Pamoja na Wana Olimpiki walioshiriki...
  6. Melubo Letema

    John Stephen Akhwari Athletics Foundation yayeyuka!

    Historia au Biography yake... John Stephen Akhwari was a Tanzanian distance runner who ran the marathon at the 1968 Mexico City Olympics. He is best remembered as a subject in a Bud Greenspan film of those Olympics. Akhwari was hobbled by a leg injury, and ran with his knee fully bandaged...
  7. Melubo Letema

    Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri (PB-1:00:03)

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu afanya Vizuri baada ya Kukimbia Kwa Muda wake mzuri wa saa Moja na sekunde Tatu (1:00:03), kwenye Mbio za Nusu Marathoni -katika Mashindano ya Riadha Falme za kiarabu ( TheRAKHalfMarathon) zilizofanyika Leo. Amekimbia Muda wake mzuri...
  8. Melubo Letema

    Kambi ya Timu ya Taifa ya Riadha kuanza Mapema

    Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanatarajiwa Kufanyika Birmingham,Uingereza na Mashindano ya Dunia Kufanyika Oregon, Marekani Mapema Julai Mwaka Huu. Hivyo, Baraza la Michezo Tanzania (BMT) wakishirikiana na Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) wameanza kusaka maeneo ya kuwaweka Wanariadha wa...
  9. MK254

    Kenyan Bags International Student of the Year Award

    Undated image of James Karanja during his graduation TWITTER FLINDERS UNIVERSITY A Kenyan student has received international recognition for his outstanding efforts towards creating change for people living with disabilities in Kenya. James Karanja, a Kenyan student at Flinders University in...
  10. MK254

    Nahisi Wakenya tutazuiwa riadha, haya Mkenya mwingine avunja rekodi

    Jameni tuanze kuachia achia, ila hamna mwendo huo huo mbele kwa mbele. Kenya's Angela Tanui celebrates her victory at Xiamen Marathon on April 11, 2021 Kenya's Angela Tanui has broken the course record to win the Amsterdam Marathon, Netherlands. She clocked in at 2 hours 17 minutes 57...
  11. Melubo Letema

    Gidabuday ashusha waraka mzito, amvaa Bayo

    Nathibitisha kwamba nimeanza taratibu za kisheria kutafuta haki ya Kikatiba kuhusiana na utata wa vigezo vya John Gilbert Bayo kuendelea kuhodhi nafasi ya Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT). Nimesimamia hilo kwakua nilisema mara kadhaa na hakuna alienipa sababu za msingi...
  12. Analogia Malenga

    Timu ya Riadha ya Tanzania yafuzu kupeperusha bendera Olimpiki

    Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo yatakayofanyika mwezi Agosti Timu ya Taifa ya Riadha ya Tanzania imekabidhiwa bendera ya Taifa, tayari kwa...
  13. Melubo Letema

    Kuelekea olympic, ukabila na ubinafsi unavyoleta vikwazo kwa wawakilishi wa nchi

    Kwa mfuatiliaji mzuri wa michezo hasa riadha, atakubaliana nami kwamba wachezaji watatu wa kitanzania waliofanikiwa kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki 2021 yanayotarajiwa kutimua vumbi kati ya mwezi Julai na Agosti mwaka huu, wanayo nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika michuano hiyo na...
  14. Melubo Letema

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo aiponda Katiba ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT)

    WAKATI sakata la sifa za kielimu la Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), John Bayo likizidi kuchukua hatua tofauti, shirikisho limedai linatarajia kufanya mabadiliko ya katiba yake. RT ilifanya uchaguzi wake mapema mwaka huu, baada ya kufanyika kwa mabadiliko ya katiba, ambapo...
  15. Melubo Letema

    Filbert Bayi wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na mikakati yake mibovu

    Mikakati mibovu ya Filbert Bayi yakamilika baada ya TOC kumtangaza Thomas Tlanka (kinyume na maamuzi ya Kamati Tendaji) kuwa kocha wa timu ya riadha ya Tokyo. Amekuwa akitumia ukabila kwenye teuzi zake au kuhamasisha ukabila ndani ya Riadha. Kwa Mfano, mtiririko huko hapa; Inawezekana vipi...
  16. Melubo Letema

    Mwanariadha wa kimataifa Gabriel Geay avunja rekodi ya taifa

    GABRIEL GERALD GEAY AVUNJA REKODI YA TAIFA Huko Milano , Italy na kufuzu kushiriki mashindano ya Olimpiki (Japan) kwa kukimbia kwa Muda wa saa mbili dakika nne na sekunde hamsini na tano (2:04:55) na kushika nafasi ya Sita. Hadi Sasa Tuna wanariadha watatu waliofuzu viwango vya olimpiki. 1...
  17. Melubo Letema

    Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  18. M

    John Gilbert Bayo au Gilbert John Bayo; Kipimo cha Uadilifu wa Dkt. Tiboroha

    Siku ya Alhamis ya tarehe 28 ya mwezi wa kwanza mwaka 2021, wadau wa Riadha Tanzania na Taifa kwa ujumla walipokea kwa furaha kazi nzuri yenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele iliofanywa na kamati maalum ilioteuliwa na Baraza la Michezo Tanzania BMT kwa maelekezo ya Wizara ya Michezo. Kamati...
  19. Melubo Letema

    Mjumbe wa Kanda ya Pwani, RT Atolewa, Adumu siku 15 tu.

    Mjumbe wa kamati ya Kanda ya Pwani,ya Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Bw. Robert Kalyahe Amefyekelewa Mbali na Kamati ya Uchaguzi, baada ya kukiuka kanuni za katiba ya RT inayokataza mgombea mwenye historia ya kufungwa Jela zaidi ya Miezi Sita. Adumu kwa siku 15 tu.
  20. Melubo Letema

    Mtaka, Kalaghe Wamekatwa kwenye Usaili wa Uchaguzi RT, Wakata Rufaa na Maamuzi ya Kamati Yatoka

    Baada ya Aliyekuwa Rais (Anthony Mtaka) wa RT na Makamu wake (William Kallaghe) kuondolewa kwenye usaili wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Waliwasilisha rufaa zao kwenye kamati hiyo. Majibu ya kamati ya Usaili, ikawasilisha maamuzi yake.
Back
Top Bottom