riadha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania John Gilbert Bayo au Gilbert John Bayo; Kipimo cha Uadilifu wa Dkt. Tiboroha

    Siku ya Alhamis ya tarehe 28 ya mwezi wa kwanza mwaka 2021, wadau wa Riadha Tanzania na Taifa kwa ujumla walipokea kwa furaha kazi nzuri yenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele iliofanywa na kamati maalum ilioteuliwa na Baraza la Michezo Tanzania BMT kwa maelekezo ya Wizara ya Michezo. Kamati...
  2. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Kanda ya Pwani, RT Atolewa, Adumu siku 15 tu.

    Mjumbe wa kamati ya Kanda ya Pwani,ya Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Bw. Robert Kalyahe Amefyekelewa Mbali na Kamati ya Uchaguzi, baada ya kukiuka kanuni za katiba ya RT inayokataza mgombea mwenye historia ya kufungwa Jela zaidi ya Miezi Sita. Adumu kwa siku 15 tu.
  3. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mtaka, Kalaghe Wamekatwa kwenye Usaili wa Uchaguzi RT, Wakata Rufaa na Maamuzi ya Kamati Yatoka

    Baada ya Aliyekuwa Rais (Anthony Mtaka) wa RT na Makamu wake (William Kallaghe) kuondolewa kwenye usaili wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Waliwasilisha rufaa zao kwenye kamati hiyo. Majibu ya kamati ya Usaili, ikawasilisha maamuzi yake.
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili ya Wagombea Uongozi wa Shirikisho la Riadha Tanzania ( RT)

  5. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais, Makamu wa Rais na Wajumbe Wawakilishi Wanawake wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT)

  6. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) Kufanyika tarehe 30/1/2021

    Uchaguzi Mkuu wa RT unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza, huku nafasi ambazo zitahitajika ni nafasi ya Rais na Makamu wake pamoja na Wajumbe 6, ikiwemo moja ya Viti Maalum Mwanamke. Fomu zitaanza kuchukuliwa Kesho (8 hadi 19, Januari), kwa ada ya shilingi laki mbili...
  7. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Sydney Gidabuday 2nd Place Men's 10,000m Section 1 - Sound Running Track Meet 2020

    Tinman Elite professional athlete Sydney Gidabuday took second in the opening section of the men's 10,000 meters in a personal-best 28:15.41 at the Sound Running Track Meet. Gidabuday, who ran his first 10,000 since 2018, achieved his first career sub-29 performance...
  8. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Gidabuday afunguka kuhusu kujiuzulu kwake na changamoto za Riadha Tanzania. Awasihi Mawaziri wapya wamulike hilo

    Nachukua nafasi hii kuwapongeza TOC kwa kufanya Uchaguzi wao kwa mujibu wa katiba yao. Pili, niwapongeze Shirikisho la Kenya (AK) kwa kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwake wakifikia mafanikio makubwa ya Riadha duniani. Shirikisho la Riadha la Kenya linasherehekea miaka 70 tangu kuanzishwa...
  9. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kamati ya Fedha RT chasambaratika

    Kikao Cha Kamati ya Fedha cha Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) limevurugika baada ya wajumbe wa kamati ya fedha kugundua matumizi mabaya ya Fedha ambayo haikupewa idhini na kamati hiyo, pamoja na kamati tendaji. Kikao hicho kilipata dosari kwa kuwa mabosi wakuu wa RT hawakuhudhuria , na...
Back
Top Bottom