repair

  1. kayanda01

    JamiiForums Tanzania Mnaomiliki na kutumia Volkswagen 'chuma ya mjerumani' ni gereji zipi mnafanyia service & repair? Popote pale nchini

    Kwa kuzingatia viwango vya safety, stability, comfortability, inaonekana wazi kabisa kuwa watu wengi wanatamani sana kumiliki magari ya Ulaya. Lakini wanaogopa kuyamiliki kwasababu kuu tatu: - Uhaba wa mafundi/garage for European cars. - Uhaba wa spea (kupata spea ni shida, sometimes...
  2. No SQL

    JamiiForums Tanzania Computer repair and maintanance, malipo baada ya matengenezo

    Habari, Natoa huduma ya matengenezo ya computer (desktop na laptop) na malipo utatoa baada ya computer yako kufanya kazi. Kama kuna kifaa kitakuwa ni cha kununua, gharama ni juu yako. Kwa wale wanaohitaji kufungiwa CCTV cameras, watahudumiwa weekend tu. Napatikana kigamboni Dar. tuwasiliane...
  3. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Fahamu tafsiri ya neno Maintenance kwa lugha za kiafrika

    Maintenance. Actions performed to keep some machine or system functioning or in service. [wiktionary]. Tusichangananye maana na matengenezo Repair. To restore to good working order, fix, or improve damaged condition; to mend; to remedy. [wiktionary] Maintenance Kwa Kiswahili: ukarafati...
  4. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania RAM DDR3 4GB (SAMSUNG Made in Philippines)

    Niko Arusha Nauza Ram 4GB DDR3 (Samsung planet first,Made in philippines) kwa ajili ya Laptop iko poa kabisa katika hali nzuri na ifanya kazi poa kabisa bei ni Tsh.37000 maongezi yapo nicheki zaidi kwa biashara kwa namba 0767142928 call,SMS au WhatsApp. Karibu tufanye biashara
Back
Top Bottom