Tarehe 4 Septemba 2024, kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Africa (FOCAC) uliofanyika mjini Beijing, China, makubaliano kati ya China, Tanzania na Zambia kuhusu kuihuisha reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) yalisainiwa mbele ya marais wa nchi hizo tatu. Hatua hiyo...